polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kanusho la Dorothy Gwajima kuhusu kuzushiwa kusema Polepole alikuwa rafiki wa kweli linaongea mengi sana

    Kwanza kabisa sikubaliani na watu wanaosambaza uzushi wa aina yoyote ikiwemo kuwalisha watu maneno kwa njia yoyote ile, ila pia nadhani Gwajima alitakiwa kukanusha uzushi kwa maneno mafupi sana kuwa, Sijawahi kutoa kauli hiyo na pia si sahihi kusambaza taarifa za uzushi iwapo kulikuwa na ulazima...
  2. Dalton elijah

    SI KWELI Dkt. Gwajima amesema Kumusahau Polepole Ni Ngumu Maana Alikuwa Rafiki wa Kweli

  3. baz kaiza

    Watanzania wote wapenda HAKI na amani ni muda sasa wa kuamka kudai kuachiliwa kwa Lissu tena kwa nguvu zote na mamlaka kutwambia yuko wapi Polepole

    Ni mda watanzania wote bila kujali itikadi za vyama na dini zetu kutoka na kushinikiza mamlaka kumwachia Tundu Lissu bila masharti yoyote. Na mamlaka kutoka na kusema Polepole yuko wapi hii nchi sio mali ya mtu hii ni nchi ya wananchi wote au Mamlaka mnataka kuona Nguvu ya Umma ile ya October...
  4. baz kaiza

    Tuomba mamlaka zitoke ziseme Polepole yuko wapi ? Acheni Utani kwenye Uhai wa watu

    Sisi wana CCM wazalendo bado tunataka mamlaka zitoke ziseme Polepole yuko wapi tofauti na hapo ayo maridhiano hayapo bila kujua Polepole yuko wapi kama alifanya kosa kisheria afikishwe mahakamani. Unataka kwenda kwenye maridhiano mtu balozi amepotea kama kuku...
  5. Mshana Jr

    Wakati Trump wa TFF "akiahidiwa" utekaji basi.. Kaka yake Polepole anusurika kutekwa Sweden

    Baada ya siku kadhaa za kimya cha TFF, Juzi kiongozi wa kundi hilo Bwana Trump aliibuka na ujumbe wenye mashaka mengi.. Nitaweka video hapo chini Mashaka hayo yaliyojaa maswali mengi tatanishi kama si kinzani yapo mpaka kwenye taswira yake na body language yake Kwenye video hiyo anadai...
  6. Titicomb

    Ujasiri: Maliyamungu wa Uganda, Ukimya wa watu wema huruhusu upumbavu kukua

    Nimekutana na bandiko moja la hadithi ya Idd Amin na ujasiri wa Maliyamungu(Maliyamungu) nikamkumbuka shujaa Humphrey Polepole na ushujaa wa kanisa Katoliki. Andiko limeandikwa kwa kiingereza nikatafsiri kwa kiswahili kwa msaada wa Chatgp. Soma hapo chini :- Wanasema hofu huwafanya hata...
  7. P

    Nafasi ya Polepole yajazwa, Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule apangiwa kuwa Balozi nchini Cuba

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uhamisho na kuwapangia vituo mabalozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, mabalozi waliopangiwa vituo ni kama ifuatavyo:- (i) Balozi Togolani Edriss Mavura...
  8. Dogoli kinyamkela

    Nimeoteshwa Polepole bado yupo hai

    Dr dogoli kinyamkela ☠️ 💀 pamoja na kwamba tunajihusisha na asili lakini pia, tunamwamini Mungu wa Mbinguni na kuitumikia ( Asili ) « Nikiwa nimelala nimepelekwa mpaka alipo Polepole, Polepole yupo jeshini anadhibitiwa na jeshi. Yupo humo kama Mfungwa hatoki ndani ya geti hilo. Alikua kwenye...
  9. R

    Hilda Newton usilogwe ukaja Bongo, usifanye makosa kama ya Polepole

    Umeandika kuwa utakuwa Musoma 8.3.2026 siku ya Wanawake Duniani. Usilogwe ukaja huku maana nyinyi hamsikii? Bado tuna fresh memory of Polepole whereabouts! USILOGWE, LABDA KAMA UKO HAPA BONGO SAWA, LKN KAMA UKO NJE USILOGWE By the way, hivi huwa unaripoti kesi ya Lisu ukiwa mahakamani au vipi...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Lengo la Agustino Polepole kujitokeza ni lipo haswa?

    Hamjambo! Mara ya mwisho Agustino Polepole alituaga na Kauli tata, za kibabe, mikwala kama yote. Lakini pia mikwala yake ilijaa msisimko wa kihisia. Maumivu ya kisaikolojia ambapo ingekuwa ngumu kutabiri ukweli wa kile anachokizungumza. Alitoa vitisho vikali ambavyo hata kwa jemadari yeyote...
  11. Carlos The Jackal

    Kwa UFUPI MAFWELE the Killer, hatoonekana tena as long as Mh Polepole, Mdude na wengineo walotekwa wataendelea kushikiliwa

    Hii inaitwa ya DUNIANI tumalizane wenyewe hapahapa DUNIANI. Hawa Wasenge wameua sana watu , wameua , tena wanaua huku wanajiamin na kutoa vitisho. No way , potelea mbali !!!. Mtasubiri sana MAFWELE ajitokeze ila holaaaaaaa !!!
  12. Cute Wife

    Augustino Polepole: Najua Humphrey Polepole yupo Kigamboni, mumpeleke kwa mama yake, mkimhamisha mtajuta

    Wakuu, Kuna habari gani kuhusu huyo Mafwele, naona mapichapicha tu huko mtandaoni! Kweli jamaa aliingia kwenye kumi na nane za Kanali? Baada ya kaka wa Augustino Polepole kuongea mchana wa leo, amerusha tena video nyingine akisema amepata habari wanataka kumhamisha Polepole kutoka hapo...
  13. Chizi Maarifa

    Kaka yake Humphrey Polepole nadhani hayupo Serious ni wa kumpuuza kwa sasa

    Kama angekuwa amemkamata Mafwele sidhani kama mtu serious anamkamata na kumwachiai. Huo ni uongo wa mchana. Mtu ambaye amemteka ndugu yako au kamuua. Unamkata unamwachia? Yaani unaona adhabu yake ni hiyo kama ni kweli? Ni uongo. Aanze kuwa serious. Huyu bwana mdogo anaongea sana vitendo hamna...
  14. S

    Watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ni wateule tu ili watanganyika mkombolewe kupitia mateso na hata vifo vyao

    Usipokuwa na uwezo wa kufanya reasoning na kushndwa kuelewa historia, unaweza usielewe kuwa watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ujasiri na uthubutu walio nao ni kazi ya Nature ( Mungu) ili kupitia shida na mateso yao au hata vifo vyao, mlio wengi mkombolewe. Hata wale waliouwawa Oktoba 29...
  15. R

    Nimekukumbuka Polepole: You made a terrible mistake!

    Usingelifanya harakati zako ( nzuri, I can say by now) ukiwa hapa! Walijua una siri zao nyingi, lazima wakumaliza as they have done! Nakuombea huko ulipo tukuone tena. AMINA
  16. Hance Mtanashati

    Yuko wapi Augustino Polepole

    Jamaa alichimba biti zito la mdogo wake kuachiwa ndani ya masaa 24, yakipita hayo masaa atakinukisha vibaya mno. Cha ajabu yamepita masaa, siku, wiki, mwezi hatimaye miezi sasa jamaa hakuna lolote alilolifanya. Je yeye ndiye amefanyiziwa? Huu ukimya unaleta mashaka.
  17. DuaZaMama

    Mchungaji Mwakipesile amkosoa Butiku kuhusu sakata la Polepole 'Huaminiki'

    Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile amemshambulia kwa maneno Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Butiku, akimtuhumu kuonesha chuki dhidi ya aliyekuwa Balozi Humphrey Polepole, ambaye hivi karibuni kumeripotiwa sintofahamu juu ya alipo. Mchungaji Mwakipesile...
  18. Nyankurungu2020

    Dkt. Bashiru anapata wapi ujasiri wa kufanya kazi na serikali hii ili hali Polepole haijulikani alipo!

    Dk Bashiru Kakulwa alituaminisha kuwa mmoja wa watu ambao hawataki siasa za kihuni. Nashangaa sana kumuona ameungana na wahuni wa CCM kiasi cha kutokuwa na huzuni juu ya kilichompata Humphrey Polepole. Au ndio amendekeza njaa na kuungana na wahuni? Hyocrites pharisees
  19. britanicca

    Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika-survive kwa saa 48 zijazo kutoka sasa. Polisi wamegoma kupokea orders

    Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa. Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC. Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa...
  20. Club Mate

    Siku 93 na tutaendelea kuhesabu: Polepole yuko wapi, na wako wapi wale wenye uadilifu kama wake?

    Imepita zaidi ya miezi mitatu tangu aliyekuwa “balozi” wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM atoweke. Tukio hili, kwa wengi, lilikuwa tone la mwisho kukata kabisa imani yoyote kwamba CCM bado ni chama kinachoendeshwa na mijadala ya wanachama wake na think tanks...
Back
Top Bottom