polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole kapotelea Cuba, ameungana na Kabudi na Dr. Bashiru Ali kujisomea majarida. Maskini kutoboa si kazi ndogo!

    Polepole amejitahidi kuandika andika na kusema ila mwisho ameishiwa pumzi baada ya vyombo vya habari kumkataa pamoja na mvuto kwenye social media kupotea. Huyu ni moja ya watu waliotoka familia maskini kama ilivyo kwa Bashiru na Kabudi. Kwa kuonekana wanataka kukitutumua familia za kifalme...
  2. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Natamani kumtembelea Balozi Polepole nchini Cuba

    Namuona Polepole mbali sana katika historia ya Tanzania, nakiona kivuli chake kikitoka mbali kuja karibu, namuona kama mtu atakaye ipandisha Nchi hii juu zaidi kutokea pale atakapoikuta kivuli chache kikiwasili. Natamani niwe bado hai kuziona siku zake, nilitamani nimtembelee aliwa Malawi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole anafanya kazi ya Ubalozi hasa! Anatafuta fursa kwa nchi. Kwa hili, nampongeza

    Diplomasia ya uchumi anaimudu na hii si mara ya kwanza. Kiwanda cha biological pesticide hicho hapo kinakuja Kibaha. Msikilize hapa kwenye video clip hii
  4. voicer

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole jitokeze sasa tukuunge mkono kuwakataa wahuni

    Kwa sababu Samia hajiamini ndani ya CCM.kuelekea 2025! CCM-Samia wanatumia nguvu kubwa Sana ili kuhakikisha kwamba. Hakuna mwana CCM ambaye anaweza kupata ushawishi wa kisiasa ndani na nje ya CCM nchini zaidi yake Samia! Hii yote ni kwa sababu Samia bado ana uchu wa madaraka kuliko kitu...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli katika mabalozi wote wa Tanzania Polepole anajitahidi

    Naona kila anapopangiwa hatulii. Atapambana kutafuta fursa na kujaribu kuconnect na watanzania wanaovutiwa. Nimeona matangazo yake huko Cuba anajitahidi. Sijajua matokeo ya ubunifu wake lakini kwa mtazamo wangu wa kiraia anajitqhidi. Kuna wengine wakipangiwa ndio unasahau kama huyo mtu yupo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Polepole: Ukiwa mwadilifu tegemea vikwazo kutoka kwa wahuni

    Pasi na kupepesa macho dhidi ya wahuni sikia mambo: "Kama si fitna, zengwe au kurogwa tegemea kujikuta ana kwa ana na wasiojulikana." Ama kwa hakika wahuni si watu wazuri! Tumesikia wakitishiwa watu kuuwawa. Uthibitisho kuwa wahuni huupiga mwingi hadi nje ya CCM. Tunaporumbana nao kuhusu...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Polepole Marekani inaelekea kutambua kuwa dunia si mali yake

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bibi Janet Yellen amemaliza ziara yake ya siku nne nchini China, ziara ambayo wachambuzi wa mambo ya kidiplomasia na hata Bibi Yellen mwenyewe, wanasema kuwa ni ziara iliyopata mafanikio makubwa. Ziara ya Bibi Yellen ni hatua nyingine ya Marekani katika juhudi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole: Wahuni ni Watu wa hovyo sana!

    Balozi Polepole anesema Wahuni ni Watu wa hovyo sana Polepole ambaye kwa sasa ni mwakilishi wa Rais Samia nchini Cuba alikuwa anahojiwa na East Africa Radio Jumaa kareem!
  9. JF Member

    JamiiForums Tanzania Salamu toka kwa Balozi Polepole

    Huyu jamaa anajielewa sana sema watu fulani wanamchukulia poa tu. Ipo siku atakuwa pale.
  10. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Balozi Humphrey Polepole ateuliwe Waziri wa Habari

    Great thinkers kama tunavyofahamu tukio la msiba mkubwa wa taifa wa Mh. Membe bado kama taifa tunaomboleza. Ninashauri Rais Dkt Samia akitaka mambo yake ya 2025 yaende amteue Mh. Balozi Polepole kwa nafasi wa Waziri wa Habari. Werevu na hekima ya Polepole ni muhimu ktk kipindi hiki ambapo...
  11. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, una sifa za kuwa Rais wa Tanzania

    Mimi ni Mtanzania wa kuzaliwa, Nina haki ya kutoa maoni yangu kama ilivyowekwa katika katiba yetu na tamko la Haki za Binadamu. Kwanini nasema unafaa kwasasa? 1. Nimekufuatilia nimeona una uthubutu, 2. Ni mjamaa mbepari, falsafa nzuri kuongoza taifa kama letu. 3.Ni mzalendo na mwadilifu 4...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole hapoi, hachoshi na anaongea kimamlaka. Azionya Wizara ya Afya na TAMISEMI

    Najua kuna Msiba, ila Kilio kilivyokua kwetu Kuna sherehe zilifanyika! Ni kweli wazuri Hawafi. Mhe. Polepole anawaonya wale wanaokwamisha maendeleo. Ilitafutwa Mbinu za kumnyamazisha lakini ndio kwanza akiwa ndani ya Kaunda Suti Nyeusi, Safii kama Nyerere vile anawaonya walafi.
  13. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Polepole wana upeo mdogo sana wa kifikra, muda si mrefu atawashangaza watu

    Ndugu Humphrey Polepole, Tarehe 28/11/2020 Ndugu Hamphrey Polepole aliteuliwa na Hayati Rais Magufuli kuwa Mbunge, hapo awali alikua ni Katibu Mwenezi wa CCM Taifa. Baada ya kifo cha Rais Magufuli mambo yakabadilika.Tarehe 14/3/2022 Rais Samia akamteua Ndugu Polepole kuwa Balozi nchini Malawi...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi mmoja na kumhamisha Humphrey Polepole kuwa Balozi nchini Cuba

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili (02) na uteuzi wa Balozi mmoja (01) kama ifuatavyo: 1. Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba. Kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa Balozi wa Tanzania, nchini Malawi. 2. Amemteua...
  15. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaipa Malawi Helkopta 2 na Dola milioni moja

    Balozi Polepole anazipokea helikopta mbili toka Tanzania kwenye uwanja wa ndege Chileka Blantyre Malawi, ndege hizi ni kwa ajili ya kutoa msaada wa uokoaji wananchi waliokumbwa na kimbunga Freddy, hizi zitafuatiwa na misaada ya chakula, madawa na mahema ambavyo vinaelekea huko kwa njia ya...
  16. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polepole, Bashiru, Makonda, Kabudi nk walikuwa wanaamini katika maguvu na ubabe tu?

    Katika uongozi uliopita kila kitu ilikuwa amri na bunge lilikosa kabisa uelekeo wake mana wanachojadili kinaweza kupinduliwa kibabe na asiwepo wa kuhoji. Ikatengenezwa image kwamba wapinzania ni maadui wa nchi kumbe siyo kweli. Mpaka lisu akashambuliwa kwa masasi eti ni msaliti while in actual...
  17. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Ubunifu, Kanasaidia uchujaji wa polepole mafuta ya nyonyo warm pressed castor oil

    Ipo changamoto ya kuyapata mafuta ya nyonyo yasiyounguzwa katika moto na kuwa meusi. Jamaican black castor oil. Katika kutafuta kupata mafuta halisi ya nyonyo natural yaliyokamuliwa na kuchujwa bila kuunguzwa ndio tukafikia hatua hii. Warm/cold presssed castor oil Kimashine kinaweza kuundwa na...
  18. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Ila Polepole kazimishwa vizuri sana

    Kachuo kake uchwara ka uongozi kamepotelea wapi sijui? Wahenga waliosema "Mbwa mwenye mnofu mdomoni hapigi kelele." Waliona mbali sana.
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaosafiri kuelekea Malawi, wapewa Namba ya simu ya dharura

    Toka mwaka 2023 uanze hatujasikia lolote toka kwa Mkuu wa shule ya Uongozi. Hivyo basi, wadau tukiwa bado tunasubiri nondo za shule ya uongozi toka kwa Mheshimiwa Balozi H. Polepole. Ni Bora tuone taarifa mpya kuhusu wanaosafiri kuelekea Malawi, alipo Mkuu wetu wa shule.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Amb. Humphrey Polepole MBC exclusive interview

    23 January 2023 Amb. Humphrey Polepole MBC exclusive interview Mahojiano ya Balozi Humphrey H. Polepole, Balozi wa Tanzania 🇹🇿 Nchini Malawi 🇲🇼 na Shirika la Utangazaji la Malawi (MBC) leo tarehe 22 Januari 2023. Malawi Broadcasting Corporation (MBC) exclusive interview with Ambassador...
Back
Top Bottom