pili

The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).

View More On Wikipedia.org
  1. madindigwa

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa pili

    Kama kichwa cha habari kinavyo sema kutokana na changamoto za safari za utafutaji na kukaa muda mrefu nje ya familia nahitaji mke wa pili mimi ni muislam nae jitahid kufuata maadili ya kiislam kabila mnyamwezi /msukuma umri sasa miaka 39 makazi ya familia yangu dar mwanamke nnae muhitaji Awe...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makete: Mzee wa miaka 62 ambaka mwanafunzi wa kidato cha pili

    Mwanafunzi anayesoma kidato cha pili mkazi wa kijiji cha Ihela wilayani Makete mkoani Njombe ameelezea tukio la ubakaji alilofanyiwa na mzee wa miaka 62; "alisema nisiogope anafanya haraka na kundoka, nikaondoka kwa hasira na kwenda kukaa kwenye kitanda, nlisahau kufunga mlango, alivyoingia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania KERO Maisha ya Wakazi wa Njelela na Ngaranga (Njombe) yapo hatarini wanapotaka kuvuka kwenda upande wa pili, hatuna daraja

    Maisha yetu sisi Wakazi wa Vijiji vya Njelela na Ngaranga vilivyopo Kata ya Mundindi, Wilaya Ludewa Mkoani Njombe yapo hatarini kutokana na Mto Ruhuhu kukosa sehemu ya kuvukia. Inapotokea tunataka kuvuka kwenda kwenye vijiji vya jirani au kama kuna mtu anakuja huku kwetu ni lazima wanaofanya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Vikundi havijapata mkopo wa Halmashauri wa 10% mpaka sasa, hatujui sababu ni nini

    Vikundi vya ujasiriamali hatujapokea fedha mpaka Leo tokea tarehe 25-10-2024 mkopo wa asilimia 10 (4-4-2) tatizo nini serikali ya halmashauri haina hizo fedha na kama haina ni kipi kiliwafanya kutuita hiyo tarehe wakati wanajua yakuwa hawana hela Wametuweka kwenye hali ya sintofahamu nyingi...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aucho, Mzize na Boka warejea kikosini kwa mchezo wa pili dhidi ya MC Alger Ligi ya Mabingwa Afrika

    Kiungo mkabaji wa Yanga SC Khalid Aucho, Clement Mzize na Boka wamejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 25 kitakacho safiri leo Alasiri kuelekea nchini Algeria kwaajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger utakaopigwa Disemba 7 2024. Wachezaji...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aliyefutiwa Uraia Afrika Kusini, Chidimma aibuka mshindi wa pili Miss Universe 2024

    Malkia wa urembo wa Miss Universe Nigeria, Chidimma Adetshina, ameibuka mshindi wa pili katika shindano la Miss Universe 2024 lililokamilika Mexico City Jumamosi usiku. Miss Denmark, Victoria Kjaer Theilvig ndiye aliyeibuka Miss Universe mwaka huu 2024. Chidimma Adetshina ambaye awali...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mbolea gani ya kunyunyizia (Foliar fertilizer) inayofaa kwenye shamba la nanasi?

    Nimepanda shamba la nanasi. Huu ni mwaka pili. Nimeshaanza kuvuna. Nahitaji kuongeza/kuweka mbolea ya kunyunyizia [Foliar fertilize]. Ni ipi inayofaa?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa Draft ndio mchezo unaoshika nafasi ya pili kwa kupendwa nchini Tanzania, Serikali ikae na wadau kuanzisha na kuendeleza mchezo huu

    Ukiondoa mpira mguu, mchezo wa draft ndio mchezo ambazo unachezwa katika wilaya zote nchini, hakuna wilaya hapa nchini utaenda utakosa wachezaji wa mchezo huu, nenda wilaya yoyote draft lipo na wachezaji wapo, Dar es salaam ndio balaa, kule manzese, mbagala, kinondoni ndio kuna mafundi wakubwa...
  9. Organic Uncle

    JamiiForums Tanzania Barafu imeshamiri Mlima Kilimanjaro kwa siku ya pili leo

    KILI YANG'ARA
  10. G

    JamiiForums Tanzania Starlink katuma maombi hajaruhusiwa. Internet ina speed na gharama nafuu lakini ni ngumu kuruhusiwa kwasababu haiwezi kuzimwa wala kublock Twitter

    Naandika uzi huu kwasababu naona watu wakilipukwa kwa furaha kujiandaa kutumia Starlink, internet yenye kasi, isiyo na kikomo, gharama ndogo na inashika mpaka maporini kama kingamuzi cha dstv / azam Ni mara ya pili sio mara ya kwanza starlink wanatuma maombi , mara ya kwanza walituma lakini...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Al Fatah Ilipotembelea Maktaba Sehemu ya Pili

    https://youtu.be/T-yuovEhtwQ?si=A6xJADkt2L1dTQvk
  12. M

    JamiiForums Tanzania FYI: Israel ni taifa la pili kwa kuiuzia silaha China baada ya Urusi

    Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites China is a vital market for Israel's aerospace and defense industry. Wavaa kobazi kabla ya kujiuliza...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye Bunge la 12 Mkutano wa 17 Kikao cha pili, Oktoba 30, 2024

    Kwa sasa, Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali na mawaziri wanatoa majibu kwa hoja zinazotolewa. Endelea kuwa nasi tukifuatilia yanayojiri moja kwa moja kutoka viunga vya Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=I0lXFZKm-sE
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nawiwa kuongeza mke wa pili

    Habarini Wana jamvi.. mimi ni mkristo na muhudhuriaji mzuri sana kanisani na hata jumuia... Lakini Kuna baadhi ya Mafundisho Nina mashaka nayo sana hasa haya ya ndoa.... Eti mkristo kuoa mke mmoja,,,, mbona kwenye Biblia hakuna maelekezo hayo? Ninacho kumbukusha ni kwamba mtume Paulo alishauri...
  15. comte

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumelipa awamu ya pili ya tuzo ya International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID)

  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba huko Arusha hatutaki Kufunga Kipindi cha Kwanza ili Kuzuga kuwa Mechi ni Ngumu ili tukimalizana nao Kipindi cha Pili ubao usome 9-0 au?

    Kwa Timu yangu ninavyoijua (tena baada ya Kijili hivi majuzi Kuwasaidia) hadi sasa ningekuwa mbele kwa Goli 4 hivi.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Upande wa pili walikuwa wanamsikia tu king ateba: Leo watamwona!

    Ateba leo watamwona live maana wamekuwa wakimsikia tu!! Simba 3 - Yanga 0, na Ateba atafunga mawili. Poleni uto!!
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wanaouliza eti Benja mbona hafi kishujaa kama wengine. Kwanza: Ushahidi huu hapa alipokuwa jeshini. Pili: Mnaoita mashujaa ni magaidi na matapeli

    SOURCE BBC: Benjamin Netanyahu, Israel's defiant leader "Katika umri wa miaka 18, alirudi Israeli, ambapo alitumia miaka mitano mashuhuri katika jeshi, akihudumu kama nahodha katika kitengo cha makomandoo wasomi, Sayeret Matkal. Alijeruhiwa katika uvamizi wa ndege ya Ubelgiji iliyotekwa nyara...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Upande wa pili wa ndoa

    Siku mbili tangu ziibuke taharuki na malumbano katika Mtaa wa Mabibo Wilayani Ubungo Jijini Dar es salaam baada ya nyumba zaidi ya nne na fremu zaidi ya tano kuvunjwa licha ya Mahakama kutoa zuio kwakuwa eneo lina mgogoro kati ya Mume na Mkewe. Anayedaiwa kununua eneo hilo amerudi tena na...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Deschamps ashangaa Mbappe kuipotezea Ufaransa upande wa pili akubali kuichezea Real Madrid

    Kocha wa Timu ya Taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps amesema ameshangazwa na uamuzi wa Kylian Mbappe kuomba kupumzishwa katika Timu ya Taifa ili awe fiti baada ya kupona majeraha lakini mchezaji huyo ameonekana akicheza klabu yake ya Real Madrid. Mbappe (25) alipata majeraha ya thigh injury...
Back
Top Bottom