The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).
Ni salon ya kiume, tayarii nina computer imebaki tu kununua storage bas, Lakin kuna mawazo yamenijia Leo usiku kua kwanini nisiongeze saloon ya pili ambayo kwa eneo naloishi kwa wiki napata 75000-85000.
lengo nisogeze kama mita 200 hivi kutoka hii salon ya hapa iliyopo, nikaona nije kwanza...
Katika taarifa ya hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi iliyowasilishwa katika taarifa ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ya mwaka 2025/26, Tanzania imeeleza kuwa kumekuwepo na tishio la kiusalama katika mpaka wa Tanzania na Uganda kutokana na mgogoro wa kimpaka."Hali...
Mchezo wa fainali ya pili ya Kombe la shirikisho barani Afrika (CAFCC) utapigwa uwanja wa New Amaan Complex, Visiwani Zanzibar, saa kumi jioni.
CAF wameshaanza kufanya branding ya uwanja wa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC.
Nianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali...
Kwa mambo yanavyoendelea... huko CAF kuko corrupt...kuweza kutoboa hapo kwa hao waarabu ambao wanapambaniwa...
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa mechi ya pili ya fainali ya Simba vs Berkane itachezwa Zanzibar.
Ndiyo, kuna uzembe mkubwa umefanyika katika ukarabati wa uwanja wa Mkapa na wachache tumekuwa tunapigia kelele hili suala kwa muda mrefu.
Ndiyo, kuna watu tulio nao hapo hapo Tanzania wana...
Habarini, viongozi wa Simba chukueni huu ushauri msiupuuzie Mechi ya jumamosi Tarehe 17 Berkane atashinda,
ila mechi ya pili iliyokuwa imepangwa kuchezwa Dar es salaam majira ya saa kumi ilikuwa lazima Simba ita Draw hata pia ikichezwa Zanzibar kwa majira hayo hayo ya saa kumi pia Simba ita...
Niaje waungwana.
Leo katika historia ya nchi tunazopeana nazo mpaka, ningependa nikuletee hostoria ya nchi ya Malawi chini ya uongozi wa mwana mapinduzi wa kweli, mwana mageuzi ya uchumi na maendeleo ya nchi hiyo. Na si mungine, ni muheshimiwa Bakili Muluzi.
Mhe. Bakili ambae jina lake halisi...
Watu wake wanatekwa mchana kweupe, she doesn't care.
Wananchi wanauawa waziwazi, anasema, KIfo ni Kifo tu, hata vyenye utata?
Katiba iliyomuwena madarakani anaita, KATIBA ni KIJITABU tu.
Baada tu ya Magufuli kufariki March, Julai ukamshtaki Mbowe kwa Ugaidi, leo Lissu yupo ndani umemshtaki...
Niaje wakubwa
Ni Asubuhi njema na kupendeza, kumekucha kumepambazuka. Eeeh bhana nikiwa kwenye harakati za hapa na pale akapita mdada mrembo aseee. Macho yangu hayakuweza kukatika kwake na nikaona ameingia kwenye mgahawa kupata chakula. Basi namimi mtoto wa kiume nikamfuata.. Nimemsemesha akawa...
Katika dunia ya leo yenye kasi na mitazamo ya haraka, mara nyingi tumekuwa wepesi wa kutoa hukumu dhidi ya watu kwa misingi ya taswira au taarifa za juu juu. Mojawapo ya maeneo haya ni matumizi ya bangi. Ni kweli bangi imeorodheshwa kama kitu haramu katika sheria nyingi, lakini je, hiyo inatosha...
Hii hali ya kuteka, kutesa na kupoteza watu ni torture kubwa sana kwa ndugu wa mtu aliyetekwa na kupotezwa. Najaribu kujiweka kwenye nafasi ya ndugu zake Mdude, aisee ni maumivu makali sana wanapitia ndugu zake.
Kwa kosa gani kijana mdogo yule atendewe aliyotendewa?
Kwa kosa gani alilolifanya...
Habari wakuu.
Mkuu uliyejipata ni Bora ununue hiki kiwanja ili badae uuze Bei ya juu kuliko Kununua Gari lingine alafu badae uje uuze Bei ya kutuma.
Gari kila baada ya Muda linashuka Bei na likipata ajali ndio kabisa.
Lakini kiwanja kila baada ya Muda kinapanda Bei.
Hivyo basi nakupa hiki...
Kufanya siasa ukiwa CCM ni raha na rahisi sana tu ila sasa nenda upande wa pili yaani upinzani especially Chadema. Utajuta kwanini umechagua upande huo. Taabu na subili vyote ni vyako.
Polisi, kuumizwa, kupotezewa muda, kuharibiwa uchumi wako, kuonekana wewe ni gaidi, hayo yote kuwa tiyari...
Habari zenu waungwana.
Nina ndoa ya kikristo. Ninahitaji huyu mwanamke niliye naye atambulike, hasa kwaajili ya benefits flani kutoka ofisini.
Amejifungua muda sio mrefu, chata yangu kabisa. Nifanyeje ili ndoa tutakayofunga iwe ya halali? Kataa ndoa naombeni mkae pembeni kidogo. Shukran.
Tunaomba ujumbe wetu huu ufike hadi kwa Waziri wa Ujenzi, kwa muda wa Miaka miwili, sisi Wananchi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam tunapitia changamoto kubwa ya usumbufu wa maji ya mvua kutokana na udogo wa ‘Kalavati’
Tumelalamika sana...
Kinda wa Leicester City, Jeremy Monga jana usiku aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa pili kwa umri mdogo kucheza EPL.
Kwakuwa Monga yuko chini ya miaka 18, hivyo jezi yake haikuwa na maandishi ya wadhamini ambao ni kampuni ya kamari ya BC Game.
Monga mwenye miaka 15 aliingia dakika ya 74...
Eee! Mola wetu mlezi! Muumba wa mbingu na aridhi, umetuonyesha kwa macho yetu tumeona na sasa twakuomba, Uirehemu nchi yetu, sisi na viongozi wetu na kwamba Ee Mungu wetu, isijirudie tena ya kutwaa wa kwanza ambaye tokea akiutafuta uongozi, hubeba machungu, shida, dhiki za Watanzania na kwamba...
Majaribu ndio hayo wakuu,
Dogo ana miaka 23, mwaka 2020 matokeo ya form 4 yalitoka akiwa na division 1, wengi walidhani ataenda advance ila haikuwa kwenye mipango yake, alienda chuo.
alipoingia degree alibahatika kupata mkopo (anakula boom)
Kimasihara aliomba ajira kwa cheti chake cha...
Ikiwa nchi Ina uchumi mzuri kidunia je inakuaje watu wake wanakuwa wanahangaika na maisha ?
Mfano angalia raia wa kichina wanavyoangika na Maisha kufika hatua ya kufanya Kazi ambazo wanafaa wafanye waswahili.
Je kuna siri gani hapa ?
Maana hauwezi kuwakuta raia wa marekani wanaishi Kama hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.