Binti wa miaka 16 anaitwa Recho, yuko kijiji cha NITU, wilaya ya LAELA, Mkoa wa Rukwa.
Ameozeshwa kwa kulazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka zake, ambao wamechukua mahari ya shilingi 700,000, tena ameozeshwa kwa mzee kama mke wa pili.
Huyo binti yeye hataki kuolewa na kwa sasa ametoroka...