Pigo la Pili kwa Yanga SC Mchezaji Namba 6 waliyekuwa wakimtegemea awatosa na amesaini Club Ismailia ya Misri

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,110
Haya Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe, Wachambuzi na Watangazaji wa Redio wenye Uyanga tafadhali Tangazeni upesi hii Taarifa.

Na huyu Mchezaji wa Club ya Asec ndiyo alikuwa Mchezaji anayetegemewa na Yanga SC na ndiyo Yule Namba 6 aliyokuwa akiimbwa na akinadiwa Kimajigambo na Msemaji wa hovyo hovyo wa sasa wa Yanga SC Ali Kamwe.

Jana tu amesaini Club Ismailia ya nchini Misri baada ya Yanga SC kutaka Kumkopa ili wamsajili kwa Mbwembwe na Waweze Kuwakoga wana Simba SC na Kulizima Sakata la Kuporwa Mchezaji waliyekuwa Wakimhitaji mno Fabrice Ngoma anayetegemewa Kutambulishwa rasmi na Simba SC Kesho Jumamosi kwa Taarifa za ndani GENTAMIYCINE nilizozipata.

Haya Pigo la Pili hili Yanga SC na poleni sana na hapo bado mtaomba Pooo....mwaka huu.

Kudadadeki....!!
 
Haya ni matumizi mabaya ya Neno pigo. Ingekuwa mchezaji huyo alikua akiitumikia yanga na akaondoka hapo Neno pigo linakuwa na maana. Lakini hizi tetesi za usajili na wewe kusema ni pigo napata mashaka na uelewa wako.

Pia Ingekua yanga imethibitisha kuwa wamekamilisha usajili Kisha aondoke hapo ni pigo, lakini mpaka Sasa hakuna anaejua namba sita ni nani hata wewe unapopoma tu.
 
Sajiri kwa ajili ya Mashindano, sio Kwa ajili ya mechi ya Yanga/Simba

Aliyeshinda Mataji msimu huu, hakushindwa kwa kuifunga tu Simba, bali vilabu vingine pia

Aliyeshindwa kupata kikombe msimu huu hakukukosa kwa sababu ya kufungwa na Yanga, bali kupoteza mechi nyingi kwa vilabu vingine

Ifike wakati si kila shabiki awe na akili za Haji, Ahmed, Ally au Hashim..
 
Haya Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe, Wachambuzi na Watangazaji wa Redio wenye Uyanga tafadhali Tangazeni upesi hii Taarifa...
Kuondoka kwa sawadogo ndo pigo kwetu wanayanga maana tulitaka muendelee kubaki na michezaji mibovu ila kanjibai kawaokoa kulipa hiyo 700 milioo akitegemea mzigo wa b5 wa supa kapu atamega b2 kujilipa iyo loss...KENGE NYIE
 
Nyie kwa bigrimana ziliwatoka shilingi ngapi, na Bado nyingine kwa Doumbia zinakuja
 
Haya ni matumizi mabaya ya Neno pigo. Ingekuwa mchezaji huyo alikua akiitumikia yanga na akaondoka hapo Neno pigo linakuwa na maana. Lakini hizi tetesi za usajili na wewe kusema ni pigo napata mashaka na uelewa wako. Pia Ingekua yanga imethibitisha kuwa wamekamilisha usajili Kisha aondoke hapo ni pigo, lakini mpaka Sasa hakuna anaejua namba sita ni nani hata wewe unapopoma tu.
Mimi nilidhani kunamchezaji ameumia anaungana na yule wa jana alieumia kule Malawi.
 
Haya Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe, Wachambuzi na Watangazaji wa Redio wenye Uyanga tafadhali Tangazeni upesi hii Taarifa.

Na huyu Mchezaji wa Club ya Asec ndiyo alikuwa Mchezaji anayetegemewa na Yanga SC na ndiyo Yule Namba 6 aliyokuwa akiimbwa na akinadiwa Kimajigambo na Msemaji wa hovyo hovyo wa sasa wa Yanga SC Ali Kamwe.

Jana tu amesaini Club Ismailia ya nchini Misri baada ya Yanga SC kutaka Kumkopa ili wamsajili kwa Mbwembwe na Waweze Kuwakoga wana Simba SC na Kulizima Sakata la Kuporwa Mchezaji waliyekuwa Wakimhitaji mno Fabrice Ngoma anayetegemewa Kutambulishwa rasmi na Simba SC Kesho Jumamosi kwa Taarifa za ndani GENTAMIYCINE nilizozipata.

Haya Pigo la Pili hili Yanga SC na poleni sana na hapo bado mtaomba Pooo....mwaka huu.

Kudadadeki....!!
watafute mchezaji mwingine tu chap. huyo hakuwa anawafaa.
 
Back
Top Bottom