Binafsi nakerwa sana na Wanawake wenye tabia ya kuvaa wigs kichwani au kushonea nywele za bandia. Hii ni tabia ambayo kwakweli mimi huwa siipendi kabisa na huwa namwona Mwanamke wa namna hiyo kuwa ni mchafu na limbukeni.
Kwanini Wanawake msiridhike na kile mlichonacho? Kama nywele zako ni...