Hii picha inaonesha nyoka akipambana na msumeno

Hii picha inaonesha nyoka akipambana na msumeno

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
20,552
Reaction score
42,803
IMG-20200504-WA0011.jpg

Hii picha inaweza ikatufundisha Mambo kadha wa kadha katika MAISHA yetu ya kila siku
 
ni sawa na RC kuwafukuza watu wasiishi mkoa anaouongoza


ngoja awamu iishe tumrudishe kwao burigi...
 
ni sawa na RC kuwafukuza watu wasiishi mkoa anaouongoza


ngoja awamu iishe tumrudishe kwao burigi...
Misungwi.... Kolomije......
Ujipasua unatokea Magu.
Akirudishwa kule ataliwa na Nani? Wasukuma wanaogopa kudidimiza miipwenganga
 
Katika maisha, si kila vita unaweza ukapambana nayo na ukashinda.
Jaribu kuangalia consequences zitakazojitokeza pale unapotia mguu ktk battle. Wakati mwingine kadri unavyopambana ili umbane pumzi adui yako ndivyo unavyozidi wewe mwenyewe kuumia na adui kubaki salama akiwa mshindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Absolutely correct
 
Back
Top Bottom