Anayeijua picha ya mmea wa Mlungulungu naomba anitumie tafadhali

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,761
141,627
Nipo napata darasa la kujifukiza kupitia ITV kipindi cha Kipimajoto kwa wataalamu wa NIMR na Muhas.

Watu wameutaja mmea wa mlungulungu kwamba ni mzuri sana kwa kujifukiza.
Naomba anayeujua huu mmea anirushie picha yake.

Ahsante kwa ushirikiano.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ndo huu mkuu mlungulungu
26232364_323742804784718_4824931764810274884_o.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom