picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Picha: Mbowe alipokuwa anaingia viwanja vya Bomang'ombe - Ardhi yatikisika, Umati ni mkubwa kuliko maelezo!

    Wakuu wakati mwingine tunaandika humu JF hadi tunashindwa kueleza , Kiukweli haya mambo sometimes hayaelezeki . Tunaomba radhi sana kwa tunaowakwaza kwa habari zetu hizi motomoro za Mbowe na Chadema , hatuwezi kuficha , maana kuna msemo wa kiswahili unasena hivi , Kizuri kula na nduguyo
  2. JamiiForums Tanzania Coronavirus: tupia picha | tuone hali ilivyo huko china

    Tushare kwa picture hali ilivyo huko china; *soon nawaletea pictures*
  3. JamiiForums Tanzania Mheshimiwa mbowe Katika picha ya Pamoja na kachero mbobezi

    Wadau.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Polisi wakihakikisha Usalama wa katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara

    Polisi wakihakikisha Usalama wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara mapema leo hii. Je, inawezekana kwa Katibu Mkuu wa chama cha upinzani mathalani CHADEMA, John Mnyika kusindikizwa hivi?
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kuamini lakini Harmonize is the new king of bongofleva. Mbeya wamethibitisha hilo. Afroeast album ndio itayotoa majibu

    Mapokezi makubwa aliyoyapokea mbeya... Yamemshtua sana kijana wetu anaepambana kuukuza mziki Wa bongo fleva. Mji wa mbeya umezizima siyo kawaida... Na hapo unaambiwa ni maandalizi ya kuupokea album. Ya afroeast . 2009 diamondplatinumz alianza hivihivi. Kama matani. Mwishowe akaubeba ufalme....
  6. JamiiForums Tanzania Picha ya mwaka

    Salute kwako Mama wa Kenya. Huu ndiyo upendo.
  7. JamiiForums Tanzania Picha zikionesha stesheni za reli ya kisasa - SGR zikiwa mbioni kukamilika

    Picha hizi zinaonesha Maendeleo ya Ujenzi wa Stesheni za Dar es Salaam, Pugu na Soga. Katika kipande cha kwanza cha Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR ambao utakuwa na jumla ya Stesheni Sita ikiwemo Stesheni kuu mbili ambazo ni Dar es Salaam na Morogoro huku Stesheni ndogo (za kati) zikiwa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha, Nimelia sana: Hii picha ya Dr Bashiru ni usaliti mkubwa, sikutarajia

    Kwa kweli kama Watanzania hatutasimama pamoja na wazalendo wakubwa nchii hii yaani RC Gambo pamoja na RPC shana basi historia itatuhukumu sana Jana nimeweka picha ya jaji namba 62 alivyopost picha ya kuidhalilisha nchi na kuhujumu uchumi leo tena tunaona Dr Bashiru kafanya the same, tunaomba...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa wazazi wote wanaokumbia shule za St Kayumba kwakua hawataki watoto wao wawe Waswahili, anagalieni hii picha.

  10. JamiiForums Tanzania Picha za shule ya msingi Chato; hakika maendeleo hayana chama

    SERIKALI YARIDHISHWA NA MAJENGO YA SHULE YA MSINGI CHATO Serikali imepongeza hatua ya ujenzi na ukarabati wa shule ya msingi Chato kwa kujenga majengo yanayozingatia ubora na thamani halisi ya fedha. Hayo yamesema na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga alipofanya ziara...
  11. JamiiForums Tanzania Je, wewe unapenda kupiga picha? Je, waweza piga picha hili eneo? Shuhudia ujasiri wa huyu!

  12. JamiiForums Tanzania Wavaa nywele bandia wakiona picha hizi wanaumia sana

    Binafsi nakerwa sana na Wanawake wenye tabia ya kuvaa wigs kichwani au kushonea nywele za bandia. Hii ni tabia ambayo kwakweli mimi huwa siipendi kabisa na huwa namwona Mwanamke wa namna hiyo kuwa ni mchafu na limbukeni. Kwanini Wanawake msiridhike na kile mlichonacho? Kama nywele zako ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…