Fikiria haya madudu yangefanywa na CHADEMA sipati picha ingekuwaje!

kagoshima

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
1,620
2,000
OK kesi ya Kangi lugola vipi. Tulitangaziwa upelelezi umekamilika kwamba kuna elements za uhujumu uchumi baada ya hapo kimya
 
Mag3

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,087
2,000
CHADEMA ndio CUF yenyewe, kwa sababu huwezi kusatenganisha chini ya UKAWA
Hayo ya CUF mbona ni cha mtoto, je ya Chama Cha Mafisadi unayajua? Mathalani unajua Mwenyekiti wa hicho chama ndiye Kiongozi Mkuu wa serikali na Katiba kwake si lolote si chochote. Anaweza akajichotea kiasi chochote kile kutoka hazina na kama vile hiyo haitoshi, maamuzi yake katika matumizi ya hizo kodi za Watanzania hayawezi kuhojiwa na chombo chochote ndani ya taifa hili.

Mtakuwa mnaionea bure CUF, hawajawahi kuvunja ghala, hazina wala Benki Kuu na hivyo kama walipata hela walipewa na wanaotakiwa kujibu ni waliotoa ruhusa wapewe. Kwa bahati mbaya mwenye uwezo wa kubariki ruhusa ya aina hiyo ni moja tu, hakuna mwingine. The buck stops with one man and one man alone, period.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
73,013

Hakika haya anayotenda yatafukuliwa , Nakuhakikishia huyu atakuwa rais wa kwanza Tanzania kufungwa kwa aibu , tuombe sana uzima
 
Dickson Edwin Mgaya

Senior Member
Apr 2, 2020
126
250
Hiyo ya CUF mbona ya kawaida, kuna kile chama kinachoongozwa na malaika 1.5tr hazionekani na wala hakuna wa kuuliza as far as always Engels are righteous
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
5,576
2,000
Nimebaki mdomo wazi, sina hata cha kusema.

Yaani haya yanafanyika katika awamu ya 5. Maana hii ni awamu ya hapa KAZI TU. Siamini.
Wamebaki wana pambana na Mbowe ambae alipewa hati safi na huyu alie ongea haya maneno juu ya CUF wabeba mbeleko ya Ccm.
Hujasikia hata jana wana sema Lwakatare ni turufu ya kupambana na Chadema na sio Ccm??
 
chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
4,148
2,000
Wamebaki wana pambana na Mbowe ambae alipewa hati safi na huyu alie ongea haya maneno juu ya CUF wabeba mbeleko ya Ccm.
Hujasikia hata jana wana sema Lwakatare ni turufu ya kupambana na Chadema na sio Ccm??
Hizo ni audit queries subirini CAG atoe majibu. Ishu ya mboe ni kuikopesha Chadema na kujilipa mabilioni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom