picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Pozi la mdude Nyagali hii ni baada ya mateso ya jela kupona

    HABARI PICHA Mwonekano mpya wa Kada maarufu wa @ChademaTz Mdude Nyagali @mdudechadematz https://t.co/6WxGqZrEBO
  2. JamiiForums Tanzania Urusi: Kremlin wametoa picha za Rais Putin akiwa mapumzikoni Siberia baada ya minong’ono juu ya afya ya Rais huyo kuwa mingi

    Rais Putin anaetimiza miaka 69 wiki ijayo, hutumia muda mwingi kujitenga (isolation) kutokana na wimbi la maambukizi ya Covid 19 yaliyoikumba nchi hiyo.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mugalu kapost picha instagram saa 8 usiku akiwa anatafuta goli vs Yanga, atukanwa vibaya

    Kuna uwezekano MSHAMBULIAJI NAMBARI MOJA NA TEGEMO KUU LA SIMBA SC, Chris Mugalu akawa na ugonjwa wa akili nawaambia nyie hata kama ni mgeni hujali kuhusu derby kuwa na uchu basi kama wale vijana wa utopolo kina Aucho mbona wao ndiyo mara ya kwanza wamepambana wewe una mechi 3 na utopolo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hizi picha miaka 60 baada ya uhuru, ni kielelezo tulikosea kutaka kujitawala na tulitakiwa tuendelee kutawaliwa

    Ukiacha swala zima la utawala bora na mambo mengineyo yaliyotushinda mpaka sasa, hata hili la vyumba vya madarasa na matundu ya choo,nalo bado ni tatizo miaka 60 tangu tuanze kujitawala. Cha ajabu, 2025 CCM watataka tena wachaguliwe ili waendelee kuongoza hii nchi na kuna watu watawapigia...
  5. C

    JamiiForums Tanzania PICHA ZA NJE NDANI BASI(MABASI 3)MAPYA YA SIMBA WALIYOPEWA LEO.KUDOS CEO

    Aisee naona ni double diff(sijui nimeandika sahihi?) naona pia ndani kuna screens kwa mbele muonekano mzuri kwa kweli tena sana tu Moja litakuwa kwa senior team,jingine kwa simba queens,jingine kwa u-20 Hongera sana Barbra na mkataba wa milioni 800 juu Jezi (nembo ya mdhamini africarriers)...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha Hii Picha Ya Yanga Sc: Bumbuli, Msolla Watengwa

    Picha inayosifiwa na washabiki wa utopwinyo huko mtandaoni kwamba klabu yao ina ma misoooosiiiiiii imeleta maswali mengi sana kwa kuwa Bumbuli na mwenyekiti wa klabu wametengwa kwenye kikao cha ki mkakati Ama kwa hakika kua uyaone, ila msolwa asiwe na wasiwasi kina Davis Mosha watamlinda...
  7. JamiiForums Tanzania PICHA: Jeshi la polisi la Tanzania lina mengi ya kujifunza kupitia picha hii

    Habari wadau..! Kilichonivutia kwenye picha hii sio ujumbe kwenye haya mabango, bali hii picha ya hawa mapolisi waliopiga picha na waandamanaji hapa kwetu Buza kwa Lulenge nadhani baada ya picha hii kusambaa IJP atawasimamisha kazi maafisa hawa kwa kushiriki maandamano badala ya kuzuia 😂😂😂
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Waliowahi kuwa Marais wa Zanzibar Katika Picha ya pamoja

    Hayati Abeid Aman Karume & Aman Abeid Karume
  9. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

    Jaji ameingia Mahakamani. Kesi Na. 16 ya mwaka 2021 inatajwa Kesi namba 16 ya 2021, jamhuri dhidi ya Khalfan Bwire, Adam Hassana Kasekwa (Adamoo), Mohammed Abdalah Ling'wenya na Freeman Aikael Mbowe Jaji anamuita Wakili wa Serikali... Wakili wa Serikali anatambulisha Jopo lake Robert...
  10. JamiiForums Tanzania IGP Sirro alituahidi kumkamata Mange Kimambi kwa udi na uvumba, leo hii tunamuona akipiga picha na Rais wa JMT. Ndio kusema hakuikosea Jamhuri?

    Ni cardinal principle kuwa jinai haina mwisho. Ndio maana hata kama ulitenda jinai baada ya miaka 20 ukikamatwa wanaanza na wewe. Mange alitukana na kukashifu serikali. Igp Sirro akasema lazima amkamate kwa vyovyote vile. Sasa hii ya Mange kupiga picha na rais akiwa Usa si kumkatisha tamaa...
  11. JamiiForums Tanzania Natamani Watu Wengi Waelewe Maana ya Hii Picha

    Tupeana maana ya hii picha?
  12. JamiiForums Tanzania PICHA: Cheti cha chanjo dhidi ya pandemic kipindi cha utawala wa Sultan Abdulhamid II wa Ottman mwaka 1908/1326 AH

    Habari wadau...! Katika pita pita zangu maktaba nimekutana na hii document ya chanjo kumbe haya mambo ya kuchanjana yalianaza kitambo sana sasa sijuhi hawa wanaokataa kuchanja wanapata wapi ujasiri. Chanjo ilikuwa dhidi ya ugonjwa wa Plague ugonjwa ulisumbua sana dunia ukaenea Afrika mpaka...
  13. JamiiForums Tanzania Picha ya siku

  14. K

    JamiiForums Tanzania Mada za BBC na picha zao zina malengo gani?

    Natumia laini ya Voda, mara zote lazima ni Google kuingia kwenye mtandao fulani. Sasa, Mimi binafsi, huwa nakerwa na mtindo huu ambao BBC wameanzisha, nadhani kwa kushirikiana na Vodacom. Mada iliyohewani hivi sasa ni: "Nilijiuza Kimwili Kukidhi Kiu Yangu ya Mihadarati" imeambatana na picha ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kumekucha huko Nigeria waendako Yanga SC kwa Picha ambayo Msemaji wa Rivers United FC aliyepigwa Rungu Utosini ameisambaza Mitandaoni

    Katika kuonyesha kuwa lile Rungu la Kichwa lililompasua Kichwani na Komandoo wa Yanga SC Uwanja wa Mkapa limemchangasha Ubongo sasa Msemaji wa Rivers United FC Charles Mayuku kaja Pigo la Kisaikolojia la Kwanza kwa Yanga SC. Muda si mrefu Msemaji huyo wa Wapinzani wa Yanga SC wanaorudiana nao...
  16. JamiiForums Tanzania Si vyema kumuita Rais wetu Tour Guide. Na hii picha kweli huyu Mzungu anaonesha dharau kubwa kwetu

    Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
  17. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Picha yaanza kuungua polepole

    Washitakiwa namba 1,2,3 katika kesi ya Uhujumu uchumi namba 16/2021 inayomkabili Freeman Mbowe wamekubali Kuwa walikuwa waajiriwa wa JWTZ na waliwahi kufanya Kazi kama makomando na baadae kufukuzwa Kazi kwa sababu za kinidhamu. Pia wamekiri Kuwa wanafahamiana kwani waliwahi kufanya Kazi Pamoja...
  18. JamiiForums Tanzania Picha hii ni somo kubwa kuwa maisha ni safari ndefu sana inayoandikwa ikifika ukomo

  19. JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Kumbukizi ya utawala wa Kidikteta Tanzania

    Mabounsa wakimzuia Devota Minja(Chadema) kurudisha fomu kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Morogoro mjini mwaka 2020. Kwa haya Tanzania ni Taifa la aibu na laana.
  20. JamiiForums Tanzania Mikutano ya CCM ruksa pamoja kuna Uviko-19. Wapinzani wanazuiwa

    Jeshi la Polisi limeshindwa kutoa maelezo ya kwanini linazuia mikutano ya ndani ya chama cha NCCR Mageuzi kwa sababu za kiusalama na Kuepusha maambukizi ya Covid-19 kwenye mkoa wa Dar es Salaam lakini limeruhusu mkutano wa CCM kwenye aneo lilelile.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…