Kumekucha huko Nigeria waendako Yanga SC kwa Picha ambayo Msemaji wa Rivers United FC aliyepigwa Rungu Utosini ameisambaza Mitandaoni

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Katika kuonyesha kuwa lile Rungu la Kichwa lililompasua Kichwani na Komandoo wa Yanga SC Uwanja wa Mkapa limemchangasha Ubongo sasa Msemaji wa Rivers United FC Charles Mayuku kaja Pigo la Kisaikolojia la Kwanza kwa Yanga SC.

Muda si mrefu Msemaji huyo wa Wapinzani wa Yanga SC wanaorudiana nao Jumapili Rivers United FC ametuma Picha Mitandaoni akiwa pamoja na Afisa wa CAF aliyeteuliwa Kufanya Vipimo vya UVIKO-19 ( COVID-19 ) kwa Wachezaji wa Timu zote hizo Siku ya Jumamosi katika Mji wa Bandari wa Port Harcourt ambako Safari ya Yanga SC katika Mashindano haya ndiyo inaenda Kukomea ( Kuishia )

Na kinachoshangaza zaidi katika Picha hiyo Afisa Habari wa Rivers United FC aliyepigwa Rungu la Utosini na Komandoo Mpuuzi kama siyo Juha wa Yanga SC ameonekana akicheka sana pamoja na huyo mpimaji UVIKO-19 ( COVID-19 ) Wachezaji hali inayoashiria kuwa huenda Yanga SC na huyo Mpiga Rungu wao wakajuta kwa kile watakachokutana nacho huko nchini Nigeria wanakoelekea ( wanakoenda ) Siku ya Ijumaa.

Kwa dalili ambazo Mightier naziona kuna Uwezekano Wachezaji wote wa Yanga SC wakakutwa na COVID-19 ya Kimafia ( Kihujuma ) kama sehemu ya Rivers United FC kulipiza Kisasi kwa Wachezaji wao Waandamizi kufanyiwa hivyo na Afisa Habari wao Charles Mayuku kupigwa Rungu la Kichwa ( Utosi ) na Komandoo wa Yanga SC hivyo Yanga SC ikalazimika Kuchagua Mashabiki wanaojua Mpira watakaoenda nao, Viongozi wa Yanga SC na Rubani Mmoja wa ATCL ili Wawachezee hiyo Mechi.

Na nasikia hii Mechi Wanaijeria ( Klabu ya Rivers United ) wamekataa isionyeshwe ( isiwe televised ) kama ilivyokuwa kwa Simba SC ilivyocheza na Plateau United FC hali inayoonyesha kuwa huenda Wachezaji wa Yanga SC wasiishie tu Kufanyiwa Hujuma bali wanaweza hata wakirejea Tanzania wakawa Wanarembua mno Macho kuliko Feisal Salum ( Fei Toto ) na wanajirambaramba Ulimi zaidi ya Herritier Makambo.

Si mnajifanya Wababe mtakiona Nigeria.
 
20210915_1820432246.jpg

Uto bora wasiende
 
Kweli umbumbumbu ni kilema, huyo mganga Wa kienyeji ndio afisa afya!? By the way Naamini timu imejiandaa kwa kila hujuma na tutawapa ugumu Wa mchezo mpaka waamini maisha si mepesi hata kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga Wana zaidi ya miaka 40 wamekua walicheza CAF champion league yaani Leo ii ndio watishike na mikwara ya Rivers kweli? Ebu utendee haki ubongo wako.
 
Katika kuonyesha kuwa lile Rungu la Kichwa lililompasua Kichwani na Komandoo wa Yanga SC Uwanja wa Mkapa limemchangasha Ubongo sasa Msemaji wa Rivers United FC Charles Mayuku kaja Pigo la Kisaikolojia la Kwanza kwa Yanga SC.

Muda si mrefu Msemaji huyo wa Wapinzani wa Yanga SC wanaorudiana nao Jumapili Rivers United FC ametuma Picha Mitandaoni akiwa pamoja na Afisa wa CAF aliyeteuliwa Kufanya Vipimo vya UVIKO-19 ( COVID-19 ) kwa Wachezaji wa Timu zote hizo Siku ya Jumamosi katika Mji wa Bandari wa Port Harcourt ambako Safari ya Yanga SC katika Mashindano haya ndiyo inaenda Kukomea ( Kuishia )

Na kinachoshangaza zaidi katika Picha hiyo Afisa Habari wa Rivers United FC aliyepigwa Rungu la Utosini na Komandoo Mpuuzi kama siyo Juha wa Yanga SC ameonekana akicheka sana pamoja na huyo mpimaji UVIKO-19 ( COVID-19 ) Wachezaji hali inayoashiria kuwa huenda Yanga SC na huyo Mpiga Rungu wao wakajuta kwa kile watakachokutana nacho huko nchini Nigeria wanakoelekea ( wanakoenda ) Siku ya Ijumaa.

Kwa dalili ambazo Mightier naziona kuna Uwezekano Wachezaji wote wa Yanga SC wakakutwa na COVID-19 ya Kimafia ( Kihujuma ) kama sehemu ya Rivers United FC kulipiza Kisasi kwa Wachezaji wao Waandamizi kufanyiwa hivyo na Afisa Habari wao Charles Mayuku kupigwa Rungu la Kichwa ( Utosi ) na Komandoo wa Yanga SC hivyo Yanga SC ikalazimika Kuchagua Mashabiki wanaojua Mpira watakaoenda nao, Viongozi wa Yanga SC na Rubani Mmoja wa ATCL ili Wawachezee hiyo Mechi.

Na nasikia hii Mechi Wanaijeria ( Klabu ya Rivers United ) wamekataa isionyeshwe ( isiwe televised ) kama ilivyokuwa kwa Simba SC ilivyocheza na Plateau United FC hali inayoonyesha kuwa huenda Wachezaji wa Yanga SC wasiishie tu Kufanyiwa Hujuma bali wanaweza hata wakirejea Tanzania wakawa Wanarembua mno Macho kuliko Feisal Salum ( Fei Toto ) na wanajirambaramba Ulimi zaidi ya Herritier Makambo.

Si mnajifanya Wababe mtakiona Nigeria.
Yanga wanayajua haya hope watakua wamejipanga nayo.
 
Safari hii sio rungu tu,goli tatu kwa pitch,tukimaliza mechi tunamtafuta safari hii rungu la mdomo na kidole cha kati makatoni
 
Back
Top Bottom