picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jeshi la Ukraine laweka hadharani picha ya mwanajeshi wake alitoka matekani Urusi.

    Aiseeh kuna watu wanajua kutesa.
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Msafara wa Warusi wanaotoroka usaili jeshini

    Urusi sasa hivi hakukaliki kwa wanaume.... Watu wameamua kwenda kuanza maisha upya kwingine, wanamuachia nchi wazimu na vita vyake.... ISTANBUL (AP) — Military-aged men fled Russia in droves Friday, filling planes and causing traffic jams at border crossings to avoid being rounded up to...
  3. JamiiForums Tanzania Tukumbushane maneno, misemo ya mtaalamu "Julio" picha yake IPO kama humjui

    'Ukiongea na Mimi hakikisha akili yako imekaa vizuri.' sio maneno yangu Julio Kwa wanaomfahamu ni mtaalamu wa soka na maneno yake makali
  4. JamiiForums Tanzania Weka 'caption' kwenye picha hii

  5. JamiiForums Tanzania Kamwe Mwanaume hupaswi kujikombakomba

    KAMWE MWANAUME HUPASWI KUJIKOMBA KOMBA KAMA LOFA! Anaandika, Robert Heriel Vijana nisikieni! Nisikilizeni Kwa makini. Msisikie kelele za wapuuzi wanaotaka kuwapora hadhi zenu. Najua wengi wenu Kwa sasa labda mnalelewa upande wa kiukeni. Lakini kamwe hiyo isiwe sababu ya ninyi kuwa kama...
  6. JamiiForums Tanzania Shenkin: Mbuzi anayeonekana kwenye taratibu za msiba wa Malkia Elizabeth II

    DESTURI. Nimemfuatilia huyu mbuzi anayeonekana kwenye taratibu za msiba wa Malkia maana ni wazi wenzetu wanaheshimu jadi zao. Mbuzi anaitwa SHENKIN. Inasemekana mbuzi huyu anatokana na kizazi cha mbuzi waliokuwa wakitumiwa kama "hirizi?" wakati wa vita kwa karne nyingi. Mila hii ilianzia...
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha hizi zinathibitisha uhusiano wa karibu kati ya Kenya na Uingereza

    Karibu marais wote wa Kenya wamewahi kuonana na malkia Elizabeth II kasoro William Ruto ambaye ameenda kumzika. Hapa kwetu ukiondoa mwalimu Nyerere Nani mwingine? Tuliwahi kumuweka mtu mmoja pale ikulu kila uchwao yeye alikuwa akiwaita wazungu mabeberu. Yule mtu sijui tuliteleza wapi?
  8. JamiiForums Tanzania Picha ya Rais William Ruto kuuzwa Tsh. 5,900

    Katika tangazo lililotolewa leo Alhamisi Sept. 15, 2022, Msemaji wa Serikali, Cyrus Oguna amesema Picha ya Rais itapatikana katika ofisi za Idara ya Habari zilizopo Uchumi House ghorofa ya 5, Nairobi. Oguna aliongeza kuwa watu binafsi katika kaunti wanaweza kununua picha za Rais kutoka ofisi za...
  9. JamiiForums Tanzania PICHA: Gari lenye choo maalum cha Rais Yoweri Museveni wa Uganda

    Gari hili lina jiko kubwa, eneo la ofisi na sehemu ya kupumzika pia shughuli za mapishi zinafanyika wakati gari likiwa kwenye mwendo ambapo Rais anaweza kupata chakula kwa wakati anaotaka Kwa nje gari hili lina mifumo mingi ya kumsaidia Dereva kwenye kuliendesha, mifumo hiyo inahakikisha...
  10. JamiiForums Tanzania Kama una demu, mchumba au mke anapiga picha huku makalio ameyatazamisha kwenye kamera hapo ujue kabisa hauko peke yako.

    Mada inajieleza. Usije kusema sijakutonya. Ukiona makalio yametazamana na camera sijakuambia muachane ila nimekuambia tu kuwa wewe pia uko kwenye foleni.
  11. JamiiForums Tanzania Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

    Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi. - Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Binti anamaanisha kuwa hapendi kutolewa mahari

    Ametoa kauli fikirishi Sana. Nami najiuliza kwanini wazazi wanabadilisha mabinti zao na fedha, ng'ombe, mashuka, mikuki, pombe na majembe?
  13. JamiiForums Tanzania Picha: Makarani wa sensa Mbagala wagoma kukatwa tozo

    Makarani wagoma kupokea 300,000 badala ya 340,000 walizotakiwa kulipwa, inasemekana kuna makato yamekatwa ya 40,000.
  14. JamiiForums Tanzania Picha yangu ya Leo. Hongereni sana mliofika hapa

    Hongereni sana mliofika hapa Usajili wa E ushaanza mda kumbe
  15. S

    JamiiForums Tanzania Zoom picha hii kisha tuijadili kwa utulivu sana, ni nini kinaendelea kwenye vichwa vya wanawake?

    Wanamke kutamani kutembea uchi ama kuonesha maumbile na makalio yao:- (a) Wanasukumwa na nini nafsini mwao? (b) Lengo lao ni nini? (c) Ili wapate nini?
  16. JamiiForums Tanzania Picha: James Mbatia yupo makini kuliko Mbowe

  17. JamiiForums Tanzania Nimenunua luku unit 0.5KWH kwa shilingi 1200/=, picha inaeleza

    Dah, haya ni majanga aisee, kwa kutumia tigo pesa muda huu nimenunua unit 0.5KWH kwa 1,200/ aisee. Hivi hii ni shida gani tena?! Sms ya mwisho inaelezea ufisadi huo wa unit 0.5KWH kwa shilling 1200 aisee, sina jinsi najiuliza tatizo nini?
  18. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zinapaswa kujifunza zaidi fitna za mechi za kimataifa, tulichokiona Sudan ni trailer tu, picha lenyewe linakuja

    Kwanza nikiri mechi ya Jana kati ya Simba na Al hilal sikuangalia Kwa lakini kutokana na mazingira nilikuwa sehemu za kugonga vyombo. Lakini nimejifunza kitu Watanzania tuna ukarimu wa kiboya sana, tunawakarimu wageni wakija kwetu lakini tukienda kwao ni tofauti. Kwa mechi kama ya Jana tena...
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Makao makuu ya Urusi yalipuliwa kwenye operesheni ya kuirejesha Kherson

    Urusi baada ya kuteka mji wa Kherson, walipata jeuri hadi ya kusimika makao makuu na kujichimbia, sasa kibao kimegeuzwa, operesheni fagia fagia na kufyatua, Ukraine wanakomboa ardhi ya mababu zao..... makombora ya HIMARS yanachana anga. AUkrainian strike in occupied Kherson on Tuesday morning...
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia achapishwa ukurasa wa mbele wa Gazeti la The Scotsman la Scotland

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la The Scotsman la Scotland umekuwa ukisambaa mitandaoni ukiwa na kichwa kinachosema "Rais Samia aongeza matumaini mapya kwa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Scotland na Tanzania," Gazeti hilo linalosomeka kuwa ni toleo la 1 Novemba 2021 la gazeti la kitaifa la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…