picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Picha ya Siku kutoka Nairobi

    Ama kweli ubaya hauna kwao😂 mabomu waliyopiga yamewarudia wenyewe
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyetegemea kumuoa nimekuta picha zake group la Telegram

    Wakuu habari za Jumapili? Kwangu si njema hata kidogo ila nina Imani Kila mmoja ni buheri wa afya. Nisiwachoshe sana ngoja niende moja kwa moja kwenye mada husika kuhusu yaliyonikuta japo imekuwa ghafla sana kinyume na mategemeo yangu Ni hivi, mwaka 2019 baada ya kuona mahusiano niliyokuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mkristo ukivuta picha unajiona ukiwa muislamu? Muislamu unajiona ukiwa mkristo?

    Hizi dini mbili kubwa Tz hii zote zumepetwa. Wazazi waliozipokea wamerithisha watoto wao. So, wengi wako kwenye dini si kwa sababu wameitafuta na kujua ni ya kweli au inawafaa. Ni kwa sababu hasa tumepewa na wazazi wetu. Nao waliitoa kwa waarabu na wazungu. Kwa hiyo watanzania wengi wako kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Picha: BAWACHA wakianandamana Mikumi

  5. JamiiForums Tanzania Ufaransa: Muswada unaozuia wazazi kuweka picha za watoto Mtandaoni wawasilishwa Bungeni

    Wazazi nchini Ufaransa wanaweza kupigwa marufuku ku-post picha za Watoto wao kwenye mitandao ya kijamii iwapo muswada mpya uliowasilishwa wiki hii utapitishwa kuwa sheria. Muswada huo utaipa Mahakama mamlaka ya kuwapiga marufuku Wazazi kuweka picha za Watoto wao mtandaoni ambapo wote wawili...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

    Wanawake hasa hawa weusi hawajiamini wanatumia filter ili kuibia watu na kuwaachia majuto makubwa. Hii imetokea jana, rafiki yangu kayakanyaga baada ya kumkimbia Mwanamke wake wa mtandaoni waliyekutana Facebook, hii imesababishwa na kakutana na sampuli mbili tofauti. Hawa Wanawake weusi...
  7. JamiiForums Tanzania Picha: Wachezaji Kinda Wanaokuja kwa kasi Chama na Inonga Wakutana na Mayele, Wamuomba picha ya kumbukumbu

    Kushoto ni mchezaji kinda anayekuja kwa kasi anayechezea Kilabu cha mpira cha Simba Sc na Kulia Kabisa ni Mchezaji anayetajwa kuwa tarajio kubwa kwa kikosi hicho, Wakiwa katika picha ya pamoja na mchezaji Nyota anayekipiga katika klabu maarufu na kubwa ukanda wa mashariki ya Afrika na Afrika...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Maafisa wa Jeshi la KDF wamtembelea Yesu wa Tongaren, wapiga naye picha

    Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) wamemtembelea kiongozi huyo wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem Sect, Eliud Simiyu maarufu ‘Yesu wa Tongaren’ anayeishi Kaunti ya Bungoma ambaye anajinasibu yeye ni Yesu ambaye yupo kwenye mchakato wa kuiokoa Dunia. Kumekuwa na Wakenya wengi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Moja ya shule zilizokarabatiwa na kujengewa madarasa na pesa za UVIKO, Tozo na Tril 1.3 za foreign reserves

  10. JamiiForums Tanzania Walioruhusu picha hii itumike hawakuwa wajinga

    I hope y'all are doing just fine, It has been long time since I was here[JF Inteligence] Kuna mtu alileta mada humu akiuliza kwamba picha inayotumiwa na wakristo hasa wakatoliki ya mtu mmoja mzungu kua “ndie” yesu, je hiyo picha ni ya Yesu kweli? Akaongeza kwa kusema kwamba wakati yesu akiwepo...
  11. JamiiForums Tanzania Weka picha: Uko wapi sasa hivi na unafanya nini?

    Uko wapi na unafanya nini muda huu? Weka picha za uthibitisho N.B: Usiweke sura lako hapa kwa usalama zaidi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Umuhimu wa mazoezi kwa akina dada. Wanawake wa Dar wajifunze sio kunenepa hovyo na kuvaa madela uswazi

  13. JamiiForums Tanzania Majibu ya Juma Lokole kwa Baba Levo

    ====== Watangazaji wa kituo cha wasafi Baba Levo na Juma Lokole wamezua sintofahamu baada ya kurushiana maneno yanayo hashiria kuhusika na vitendo vya kishoga na ufiraji ambavyo ni kinyume na maadili ya kitanzania! Baada ya picha za mtoto wa Kajala kusambaa kwenye mitandao ikidhaniwa kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Historia ya TANU Katika Picha Mbili 1955 na 1993

    HISTORIA KATIKA PICHA MBILI 1955 NA 1993 Picha hizo mbili hapo chini zimepishana miaka 38 kwa mkato na kifupi unaweza kusema zimepishana miongo minne yaani miaka 40. Picha ya kwanza ni mkutano kwa kwanza wa mwaka wa TANU Ukumbi wa Ghandhi, Hindu Mandal Dar es Salaam na picha ya pili ni kumbi...
  15. JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa liquor (whiskey and spirits) tukutane hapa. Tupia picha ukiwa unaenjoy kinywaji chako

    Chat na picha ya kinywaji🥂
  16. JamiiForums Tanzania PICHA: Feisal akila ugali sukari Yanga

  17. JamiiForums Tanzania Wasanii wa kike wote waliotoka wako na skendo za picha za ngono/ video za ngono na serikali inafumbia macho

    • WemaSepetu • Aunt Ezekiel • Nandy • Lulu diva • Amber lulu • Amber Ruty • Gigy money • Divadeboss • Jackline Wolper • ....... 📌 Msanii ni kioo cha jamii, ila sio kwa sanaa ya kipindi hichi aisee. Asilimia kubwa wasanii wengi wanapotosha jamii na kwakuwa wao ni maarufu ndo kizazi kinazidi...
  18. JamiiForums Tanzania Nyota wa zamani wa Yanga afungua kijiwe cha mishkaki

    Mchezaji wa zamani wa Yanga SC na Singida United Kipanya Malapa amefungua biashara ya mishikaki na kachori maeneo ya nyumbani kwao Buguruni. Kipanya anamshukuru sana mchezaji mwenzie wa Yanga Said Maulidi Kalikula kwa kumuunga mkono na kuomba wadau wengi wapite maeneo ya Buguruni Kona kupata...
  19. JamiiForums Tanzania Ila Fei Toto kapitia mateso makali sana. Jionee hii picha mwenyewe

    Hapa kavalishwa Jacket la Suit ya Mwakalebela. Zito limemvaa. Anajitahidi kusimama wima. Unamwona tu kachoka. Huyu dogo ameteswa sana. na miwani ya welding anasema hapo alikuwa hata haoni vizuri mbele. Ila ndo aliambiwa avae hivyo apendeze Sielewi kwa nini walikuwa wanamfanyia hivi. Hapo bado...
  20. JamiiForums Tanzania Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia macho masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…