picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aliyemuua, kumtupa mwanafunzi UDOM ahukumiwa kunyongwa

    "Ni kweli nilimuua Happiness na nilimuua Kigamboni mji mpya nyumbani kwetu kwenye chumba ninacholala,” hii ni sehemu ya maungamo ya muuaji wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), Happiness Fredrick. Idrisa Mwangobola ambaye Ijumaa iliyopita alihukumiwa kunyongwa alieleza hayo katika maelezo...
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Ualimu ni Wito

  3. JamiiForums Tanzania Picha: Ulikuwa Wapi Enzi za Shujaa Huyu?

  4. JamiiForums Tanzania Picha: Fabrice Ngoma Simba Sc akikaba kikundi

    Taarifa za huyu mtu huko Uturuki zinadhihirisha Yanga walikuwa sahihi kulia kuibiwa mchezaji.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Unaona nini katika hii picha?

    Habari wakuu naomba mnisaidie wewe unaona nini kwenye hii picha? Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita. Ufunuo 13:18
  6. JamiiForums Tanzania Picha: Huku ng'o kule ng'o ndio hii sasa

  7. JamiiForums Tanzania Picha: Dar es Salaam waonesha uhalisia suala la bandari nchini. Viongozi wajitafakari sana

    Habari zenu wana JF na wazalendo wenzangu wote mliopo humu kwa ujumla, Ndugu zangu wana JF, hapa nchini au duniani tunapozungumzia Mkoa wa Dar es Salaam basi ni ukweli ulio wazi kwamba ni kama vile tunakuwa tumeizungumzia Tanzania nzima. Nasema hivi kwa sababu kuu mbili. 1. Dar es Salaam ndio...
  8. JamiiForums Tanzania BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

    Pamoja na Mvua kunyesha kuanzia Alfajiri huku Temeke, lakini mpaka sasa kwenye viwanja vya Bulyaga, ambako kuna Mkutano kabambe wa kupinga Mkataba mbovu na kupiga spana madalali wa Bandari za Tanganyika , watu wameanza kuja. Vikundi vya kutumbuiza wananchi tayari viko jukwaani , awali watu wa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Waliopewa kazi ya kupiga picha za Mikutano ya CCM kwanini wanapiga watoto(wanafunzi) picha badala ya watu wazima?

    Picha wanazopost wanaosimamia mitandao ya kijamii ya CCM zimejaa sura za wanafunza tena baadhi ya wanafunzi wakiwa na uniform siku za shule; Mfano picha za Mtwara na leo picha za Tanga zimejaa suraza wanafunzi. Kwanini wasiwapige picha watu wazima? Fanyeni maboresho vinginevyo tafuteni wapiga...
  10. JamiiForums Tanzania Picha: Reli ya gharama kubwa, ajabu, vichwa vya treni yenyewe vya ajabu ajabu

    Unajenga reli ya gharama kubwa, ajabu, unacholeta wala hakifanani! Haya, kichwa chenu hicho hapo.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia ni vipi Nape anabaki kuwa waziri baada ya kupatikana ushahidi wa kitendo dhalili cha kuwakanyaga wanawake migongoni kule Mtama?

    Mheshimiwa rais Samia inashangaza kwamba unakuwa na waziri katika baraza lako ambaye imedhihirika wazi kwa ushahidi wa kutosha kuwa mwaka 2015 aliona fahari kuwakanyaga akina mama waliojilaza chini huku akipita juu yao mithili ya mtu atembeaye juu ya carpet! Itashangaza mno kama wewe mheshimiwa...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Nape anaendelea vipi kuwa Waziri baada ya kupatikana ushahidi wa kitendo dhalili cha kuwakanyaga wanawake migongoni jimboni Mtama?

    Mheshimiwa rais Samia inashangaza kwamba unakuwa na waziri katika baraza lako mtu ambaye imedhihirika wazi kwa ushahidi wa kutosha kuwa mwaka 2015 aliona fahari kuwakanyaga akina mama waliojilaza chini huku akipita juu yao mithili ya mtu atembeaye juu ya carpet! Itashangaza mno kama wewe...
  13. JamiiForums Tanzania KWELI Maeneo nje ya Jiji la Dar es Salaam yalikabiliwa na upungufu wa Mafuta ya Petroli mwaka 2023

    Kuna maeneo fulani nimepita ya mkoa wa dodoma wilayani huko; nimekuta kuna msururu mrefu sana wa vyombo vya moto kwenye moja ya petrol station. Nikajaribu kuuliza kuna shida gani hapa? Wenyeji wanasema mafuta ya petrol hamna kabisa wilayani hapo. Baadhi ya vituo vya mafuta vimesitisha huduma...
  14. JamiiForums Tanzania MVP wa Cameroon na Rwanda kwenye picha ya pamoja

    Sio kwa ubaya lakini. Mnatuchukia kwani kosa letu ni nini?! 😀😀😀 Nunueni jezi kwanza ndio mpate hela ya usajili
  15. JamiiForums Tanzania Picha na Utawala wa Siri

    SWALI KUBWA picha ulizoziona zimekuathri kwa namna gani au kwa ukubwa gani ? (Maamuzi, Mawazo, Hisia, Maisha, Matendo)
  16. JamiiForums Tanzania Picha za matukio: Ziara ya Rais Samia Nchini Malawi akiwa na mwenyeji wake, Rais Dkt. Chakwera

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni View Point pamoja na Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Picha; kabla na baada ya kusafisha sink la choo

    Nimepata kazi hapa ya kusafisha sink la choo na mwana jf shukrani kwake pia kama unauhitaji wa kusafishiwa sink la kunawia ama la choo lililofubaa ni cheki pm ama piga namba 0783672221 .Karibuni ,Bei ni 10k kwa choo na7k kwa sink la kunawia nakuja popote kwa waliopo Dar es salaam
  18. JamiiForums Tanzania Tulimpa mwizi mateso haya, kila siku ile picha inanijia akilini

    Miaka ya 2005 wizi wa kutumia silaha za jadi ulikithiri sana Dodoma. Katika kijiji tulichokuwa tunaishi. Pale nyumbani tulikuwa na duka kubwa hivyo siku hiyo jamaa walipanga kuja kuvunja na kuiba. Mida ya sa 5 usiku duka limefungwa, tumeingia kulala, tukasikia jamaa wanafoka nje huku wananoa...
  19. JamiiForums Tanzania Hebu pata hii picha na uone mambo yanayowapata Wanawake wa leo

    Ni kijana msomi au sio msomi ila anajitambua kila nyanja. Ana kipato kizuri, ni God fearing Person, anajua kukaa na jamii yake na kujishusha pale ikibidi. Mpole na ana upendo wa kweli, sio mtu wa wanawake ila ni monogamist, ana uwezo kuhudumia vizuri familia yake na mke kwa kile alichojaliwa...
  20. JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Hayati Magufuli: Pata picha saa 8 za usiku mtu anaweka hadi nne akisoma mlichompelekea

    Nukuu:- Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha! Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…