Serikali kwanini inaficha picha za Katesh, Hanang?

Blender

JF-Expert Member
Mar 5, 2022
3,449
5,333
MANYARA: Mafuriko yaliyosababishwa na Mvua zilizonyesha kuanzia Desemba 2 huko Hananga ,yameleta maafa makubwa,vifo , uharibufu wa Mali.

Maporomoko ya mawe, miti , Tope kutoka Mlima Hanang yakielekea katika Mji wa Kateshi yakiwa na nguvu yamebomoa nyumba za wananchi.

Lakin mpaka Sasa bado picha za mlima ulio sababisha madhara hazionekani .

Ni kama mafuriko ya Tope yametokea From no where Yan.

Je, waandishi wa habari wazuiwa wasipige picha za mlima ulio sababisha madhara ?.

Ila wananchi wanaishi karibu na huo mlima walidai kuona Moshi ukitoka kwenye huo mlima,siku chake kabla ya mvua kunyesha.

ina maana serikali ilijua ikamua kukaa kimya, matokeo yake ndio Haya 👆 Sasa vifo na uharibufu wa Mali.

Jamani tunaomba hizo picha kuna kitu cha kujifunza kwenye hili tukio linalosababishwa na maumbile ya dunia.

Wanafunzi mashuleni wanatakiwa kujifunza na wananchi pia kuelewa Tabia ya nchi.

Na Sio kuficha madhara ya tukio, Kwan haisaidii wala kuzuia lisitokee tena.

Pia soma >Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63
 
Back
Top Bottom