picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu ‘Squad Goals’: Marafiki wa Kwenye Picha au Maisha Halisi?

    Zama hizi za mitandao ya kijamii, tunaishi kwenye ulimwengu wa aesthetic friendships – zile picha za kikundi cha marafiki wakiwa kwenye vinywaji, sherehe, au safari za kifahari wakitabasamu kana kwamba maisha yao yote ni perfect. Lakini swali linabaki: Je, marafiki wa namna hii ni wa kweli...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Taarifa ya kutekwa kwa Abdul Nondo kutoka ACT Wazalendo

    Wakuu, KUTEKWA KWA MWENYEKITI WA NGOME YA VIJANA NDUGU ADBUL NONDO Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Ndugu Abdul Omar Nondoametekwa asubuhi hii na watu wasiojulikana akitokea mkoani Kigoma alikokuwa sehemu ya viongozi wa kitaifa walioongoza kampeni kwenye mikoa ya magharibi mwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ahsante. Nani Angeamini Historia Niielezayo Kama Nisingeonyesha Ushahidi wa Picha?

    Yuko ambae anaweza kuniambia kuwa kauli yangu peke yake ingetosha na angeniamini bila ya ushahidi wa picha?
  4. JamiiForums Tanzania Hii ni dawa ya nini?

  5. JamiiForums Tanzania Hii picha inanifrahisha sana kumbe Marekani kuna kipindi alikuwa analisha Urusi na hamsemi

  6. U

    JamiiForums Tanzania Picha bora kabisa ya mwezi huu wa Novemba 2024

    Kichwa cha habari chahusika
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hizi shower kits na bathtubs (picha) zinapatikana wapi?

    Swali kama lilivyo kwenye subject. Hizi zinatengenewza kwa acrylic au fiberglass. Zinakuja vipande vitatu vinaunganishwa kwenye site. Naweza kuzipata wapi Dar?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Angalia picha ustaajabu hapo chini

    Ule mradu wetu wa bwawa umefika asilimia ngapi?
  9. JamiiForums Tanzania Mmmh! Kapigage picha za hivi?

    ..
  10. JamiiForums Tanzania USHAHIDI WA PICHA: Wakuu wa Mikoa kuingilia soka Tanzania

    mwanajamvi jionee mwenyewe haya mambo yalikotokea
  11. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha hii ni ya tukio la mauaji ya mvuvi huko Masese, Uganda

    Nimekutana na hii taarifa nahitaji kujua kama ni kweli tukio hili limetoa Masese Uganda.
  12. JamiiForums Tanzania Elimu picha:Kazi ya defroster button

    KAZI YA DEFROSTER BUTTON kwenye gari ni kukausha au kuongeza joto ili kukausha vioo vya gari wakati wa hali ya mvua au unyevunyevu unaosababisha vioo kuwa na ukungu au majimaji na kukuziba kuona vizuri nje. HIZI BUTTON HUWA KWENYE DASHBOARD YA GARI MFANO Namba 1. Ukibonyeza hiyo button...
  13. JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii ya wanyama wanaoonekana wakiwa mbugani imetengenezwa

    Salaam wana JamiiCheck Hii picha inanipa ukakasi kuitofautisha kama imetengenezwa na Akili mnemba au ni ya kweli, wataalamu wa masuala haya naomba msaada wa kupata uhalisia wa picha hii tafadhali.
  14. JamiiForums Tanzania Picha iliyobeba maana kubwa kwenye jinsia zetu na matatizo mengi yaliyokosa maelewano

    Hii ni picha iliyobeba maana kubwa kwenye jinsia zetu na matatizo mengi yaliyokosa maelewano. Mwanaume hajui kuwa chini kuna nyoka. Na mwanamke haelewi kuwa juu kuna jiwe kubwa limemkandamiza Mwanaume wake. Mwanamke anafikiri, naenda kuanguka na siwezi kupanda, kwasababu nyoka atanin'gata...
  15. JamiiForums Tanzania Picha: Pongeze zenu Mawaziri mmefika Kariakoo kufanya kazi. Hongereni sana

    Mawaziri wakiwa eneo la tukio kuendelea kuokoa wahanga
  16. JamiiForums Tanzania Waliosoma CUBA a.k.a Legends ndio wataelewa hizi Picha

    Kuna ukweli mkali sana ambao utaeleweka kwa wachache.
  17. JamiiForums Tanzania Picha: Kada wa CHADEMA ambae husema ukweli daima.

    👇
  18. JamiiForums Tanzania Siku Mungu akinijalia kadri ya mapenzi yake nitanunua chuma hiki alicho simama nacho alex jones katika picha hii

    "Labda najipiga fix tu, ila sio kosa kutumaini"
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Amesema kama nampenda tushone hivi kwa gharama zake halafu twende kwao Sinza kwa miguu

    Duh! Ila mabinti wa kishua hasa hawa wa 2000 wana matatizo gani lakini? Aliniambia atanipatia jibu, badala ya jibu akaniambia niingie WhatsApp, akanitumia picha, akaniambia kama kweli namtaka kimahusiano niwe tayari kuvaa hivi kwa gharama zake, kisha tutoke Kagera hadi Sinza kuanzia saa 10 jioni...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Ichambue hii picha kwa maana ulivyoielewa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…