pesa

  1. JamiiForums Tanzania Sehemu kubwa ya pesa inaenda USA na simu ni kampuni ya China

    Hesabu ziko HIVI; ukinunuwa SIMU yeyote iliyotengezwa china kama Tecno, Itel, Huawei, Redmi, sumsung, etc,etc sehemu kubwa ya hela INAENDA USA. Kwa Nini? SIMU zetu Zina hardware na software, yaani program kama fb, Whatsapp, Twitter, etc,etc. Sehemu kubwa ya hizo software ni makampuni ya USA...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ni nini hatma ya Pesa zetu zilizotafunwa na zinazotafunwa na Hawa wabunge 19? Watanzania tumefanywa wajinga kiasi hiki?

    Nimewaza sana hivi sisi watanzania ni wajinga kiasi hiki ,Tunakatwa kodi na Tozo ,tunaishi maisha magumu ili kulisha Wanasiasa ? Ni takribani miaka 2 sasa tangu wabunge wa CHADEMA wanao daiwa kuingia bungeni kinyume na utaaratibu kuwepo bungeni . Pesa zetu zinapigwa CHADEMA wamechukua zaidi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Hili la kukopa pesa IMF/ WB kwa ajili ya Ruzuku ya Mafuta hapana

    Pamoja na Nia njema ya kuleta unafuu wa bei za mafuta/ petroli lakini njia ya kwenda Kukopa haifai. Tulikubaliana kama Taifa tutakopa kwa ajili ya miradi ila sio kwa ajili ya kula na mambo kama hayo. Kwa sasa Tanzania ina nafasi ya kukopesheka na ni fursa ya kuitumia kwa ajili ya kujengea...
  4. JamiiForums Tanzania Unapowaambia wanaume watafute pesa, elewa wanatafuta pesa kwa ajili ya wanawake wa namna hii

    Kwema Wakuu! Siku hizi kila mwanamke anakuambia tafuta pesa, kama huna pesa hunipati, basi unakatazama kademu kenyewe unabaki kusema Shiiiii! Kimoyo moyo. Badala kademu kamshukuru Mungu tusio na pesa tupo wengi ndio maana nako kanapata nafasi ya kuonekana koo! Kanajikuta ati kanakubaragaza...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuona raha ya pesa yako tafuta chawa

    Ukitaka kuona raha ya pesa yako tafuta chawa ,akyanani utajiona upo peponi.
  6. JamiiForums Tanzania Pesa imepotea kwa mazingira ya kutatanisha

    Habari wana jamvi Leo katika pita pita zangu nikaingia mgahawa mmoja kwaajili ya kupata breakfast ambapo nilifika na kuagiza na nikaletewa kama nilivoagiza baada ya kula nikatoa noti ya shilingi elf kumi na kumkabidhi yule mama ambapo alinirudishia chenji ambayo ni shilingi elf 6 niliipokea na...
  7. JamiiForums Tanzania Napendekeza kazi za kuhesabu idadi ya watu (Sensa 2022) ifanywe na wajumbe wa nyumba 10 , pesa zitakazookolewa zikajenge flyover TAZARA

    Kwa kupitia serikali za mitaa / vijiji (local government) , wajumbe wa nyumba 10 wapewe fomu za sensa na wapite kwenye nyumba zilizochini yao, wapewe wiki moja tu wawe wameshazitembelea nyumba zote zilizochini yao na kuzijaza fomu zote kwa kila nyumba, wakazikabidhi fomu hizo kwenye ofisi za...
  8. JamiiForums Tanzania Taifa limekuwa la kamari. Kila kona kila mahali kamari. Watu wanaibiwa pesa zao

    Naanza na swali, Je ! Hivi ni sahihi!? Radioni, TV , Simu, Michezoni, Mpira(kubeti) ni kamari tupuu. Hivi ni sawa!!? Na je hii michezo haramu haina age restriction!? Hivi ni nini kinaendelea nchini. Yani hapa nimewasha Radio huyu mtangazaji anavyohimiza watu wacheze hiyo buku ni hatari, yani...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi Tajiri aitwaye saa tatu alivotumia nguvu ya pesa kubomoa nyumba huko Tunduma.

    Tukio hilo la kubomolewa Kwa nyumba hiyo limetokea huko Tunduma na nyumba hiyo inasemekana ni mali ya marehemu pamoja na mke wake ambaye yuko hai. Inasemekana marehemu aliacha watoto kutoka kwa wake tofauti na kila mke alikuwa na nyumba yake. Baadaye watoto wa marehemu Wakafungua shauri la...
  10. JamiiForums Tanzania Zijue siri za kuitawala Pesa

    Usiiruhusu pesa kuwa muamuzi wa maisha yako bali wewe ndio uwe muamuzi wa maisha yako, usiruhusu pesa ikuamulie nini cha kufanya. Watu wengi pesa ndio inayo waamulia nini cha kufanya na ndio maana wanaishia kuwa maskini, wale wanaoongozwa na pesa ndio wale ambao unakuta mtu akishapata pesa...
  11. JamiiForums Tanzania Zitto kabwe hana usafi wowote kujinasibu kuwa anafaa Urais. Alishawahi kupata kashfa kubwa ya kuhongwa pesa

    Nimeshangaa sana kuona kwenye mitandao ya kijamii Zitto akijinasibu kuwa eti ana uwezo, elimu na kila hali ya kuwa rais wa JMT. Watanzania wengi wanajua kabisa hafai hata kiduchu maana ni oppoturnist, mpenda fedha na mnafiki. Nani atampa kura yake Zitto Kabwe? Huko nyuma ziliwahi kuwekwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kwanini watu wenye pesa wakiwa na shida huwa kimbilio lao kwa masikini na kuwasumbua?

    Kuna vitu huwa najiuliza watu wengi wakiwa na pesa hujitenga sana na watu masikini tena hawa masikini hata wakiwatafutaga huwa simu zao hazipokelewi lakini sasa inapotokea watu wenye pesa wana shida basi kimbilio lao la kwanza ni kwa watu masikini. Yaani unashanga mtu kipindi ana pesa alikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Unawezaje kulinda pesa zako dhidi ya mfumuko wa bei?

    Eti wataalamu unawezaje kufanya hivyo? Maana kama una ukiba halafu ikatokea inflation labda ya 10%, basi asilimia kumi ya ukwasi wako inapotea. Mtu anawezaje kujilinda?
  14. JamiiForums Tanzania Kuna hekima kubwa yenye mantiki juu ya asilimia kubwa ya vijana kukosa pesa za ziada

    Ni vyema vijana tukashukuru mfumo wa maisha uliopo ambao sio rafiki kwa sisi vijana kumiliki pesa nyingi katika umri mdogo. Kama tunavyojua ujana una mambo mengi na pesa ni lugha ya dunia combination ya vitu hivi viwili yaani pesa na ujana matokeo yake kwa vijana wachache yaweza kuwa mazuri ila...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna tatizo gani CHADEMA? Linapokuja suala la michango mbona hamuiweki wazi?

    Nashangaa sana mpaka napigwa na butwaa kubwa. Hivi pesa alizokusanya Mbowe mitaani akijoinisha watu ze chain ni siri? Kwa nini zisitangazwe kiasi kilichopatikana na kuwapa morali wachangiaji? Au ndio kale kamtindo kenu kanaendelea? Wekeni mambo hadharani kujenga imani kwa wananchi.
  16. JamiiForums Tanzania UVCCM Mwanza" watapeli" mamilioni ya pesa, viongozi wagawana

    UVCCM Mwanza" watapeli" mamilioni ya pesa, viongozi wagawana Katika hali ya kusikitisha Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, wanadaiwa kutapeli zaidi ya milioni 80. Tuhuma za UVCCM wilaya ya Nyamagana zinawakabili watu wawili ambao ni viongozi, Mwenyekiti wa UVCCM wilaya...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa bidhaa ninayoweza kufungasha kwa hivi vifungashio na nikauza nikapata pesa

    Habari wajasiriamali wenzangu,naomba msaada tafadhali kwa hivi vifungashio hapo chini kama nitaondoa hizo label na kuunda yangu na kubandika,ni bidhaa gani haswa naweza kufungasha na nikauza na kupata faida maeneo ya dar es salaam na morogoro mjini?! nawasilisha🙏
  18. JamiiForums Tanzania Pesa zilizotumika kutengeneza filamu ya Royal Tour ni mali ya nani?

    Serikali ya Tanzania imesema zaidi ya shilingi bilioni 7 zilikusanywa kutoka kwa watu binafsi ili kufadhili uandaaji wa filamu ya Royal Tour. Serikali inakiri mambo haya: 1. Serikali ndio iliyoomba watu mbalimbali wachangie pesa za kuandaa hiyo filamu. 2. Serikali ndio iliyoratibu ukusanyaji wa...
  19. JamiiForums Tanzania Ufisadi na ubadhirifu kwenye halmashauri za miji umerudi kwa kasi. Pesa za umma zinatafunwa kama njugu

    Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa. Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa. Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Njaa ya Chadema imewatoa kwenye mstari. Mbowe anawaza pesa kuliko maslahi ya taifa

    Dah kumbe ule msemo kuwe adui muombee njaa nj kweli. Chadema wana hali mbaya sana kifedha. Wamesahau hata majukumu yao kama wapinzani makini wanapaswa kupinga mambo yasiyo na tija yanayoendele hapa nchini. Lakini wameunga mkono na wanasifia bila aibu. Mbowe amefyata mkia kama mbwa koko na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…