pesa

  1. Vijana tafuteni pesa, mapenzi hayana umri ukiwa na pesa

    Mwanadada Regina Daniels(21) asherehekea mume wake huyo Ned Nwoko(61) kumtumia zawadi ya Xmas dola $50,000 ambazo ni zaidi ya milioni 115 za Kibongo. Mrembo huyo ambaye ni mwigizaji maarufu Nigeria ametupia screenshot ya hamisho la pesa hizo Wawili hao walifunga ndoa 2019 na wana mtoto mmoja...
  2. Tafadhari leo Xmas kwa wale wapenda sifa kutumia akiba ya pesa kwa pupa

    Tafadhari kaa mbali na simu usijekutumia simbanking kaa mbali na atmcard leo siyo siku nzuri kwa wale wapenda masifa 😎😎 January school fees
  3. I

    Waamuzi ligi Kuu wadhulumiwa PESA zao tangu mzunguko WA nne,Tff,azam,bodi ya ligi,nbc,gsm mko wapi?

    Hali ya waamuzi wa ligi kuu Tanzania ni mbaya, hawajapewa malipo yao tangu mzunguko WA nne WA ligi Kuu,licha ya uwepo wa wadhamini wengi. Si haki hata kidogo watu wanaenda vituoni wanachezesha mechi wengine wanazaidi ya mechi tatu hadi nne bila kupewa pesa yao. Kwa mazingira haya kweli tutapata...
  4. Daraja la Tanzanite upotevu mkubwa wa pesa ambazo zingetumika kuimarisha sekta ya afya tungeokoa maisha ya akina mama wengi vijijini

    Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa. Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini...
  5. Watoto wafundishwe elimu ya pesa kuanzia awali

    HABARI
  6. P

    Msaada: tafsiri ya ndoto ya kuokota pesa na biashara ndogo.

    Habari zenu wakuu. Samahani nina jambo nimelikumbuka nikaona bora nifuatilie kuna nini nyuma yake juu ya ndoto hizi. Ama hazina maana. Nimeota usiku mmoja. Ya kwanza nimeota niko njiani natembea sehemu siifahamu hakika, nikaona noti kadhaa za efu kumi kumi hivi nikapiga chabo pembeni kama kuna...
  7. Jinsi Ya Kupokea/ku-withdraw Pesa Kutoka Upwork Au Fiverr (Beginners Freelancing Guide)

    Hii ni special kwa all internet money hustlers! (Read more....) Kama umekuwa interested au umefanya research kuhusiana na freelancing then utakuwa umekutana na platforms za freelancing kama vile Upwork, Fiverr, Freelancer na zaidi. Lakini, swali linalokujia akilini at the beginning ni namna...
  8. Yupi ni mbaya zaidi kati ya anayekuroga usipate pesa na anayekuroga jogoo asisimame?

    Hello guys, good morning! Ukosefu wa nguvu za kiume na ukosefu wa fedha vyote ni tatizo. Je, yupi ni mchawi mbaya zaidi kati ya anayekuroga usipate pesa na anayekuroga jogoo asisimame?
  9. Kwa mara ya kwanza niliijua maana halisi ya "Mtoto wa kishua" kupitia huyu dogo. Kuna watoto wamezikuta pesa aisee!

    Nilikuwa nimeripoti chuoni mwaka 2011 kwa mara ya kwanza baada ya kuhihitimu form 6, Nilifikia hostel mnakaa watu wawili kwenye chumba, nilimkuta dogo flani yeye kamaliza form 4, alikuwa ameshaanza form 5 lakini aliachana nayo ili asome chuo. kwa haraka haraka tu nilijua kwamba huyu dogo...
  10. Fahamu kwanini ukizikamata pesa za kutosha tu matatizo yanakujia.

    Habari! Hii mada nimeileta kutokana na uzi aliouandika bwana mmoja hapa jf akilalamika jinsi simu za ndugu na marafiki zinavyomiminika kuomba msaada pindi tu anapopata fedha. Kuna watu mpaka kanisani wanashuhudia jinsi Mungu alivyowavusha walipopata tatizo, wakisema kuwa tatizo lilipokuja...
  11. Kuuliza si ujinga: Hivi pesa za kupambana na Covid-19 zinahusikaje na ujenzi wa madarasa?

    Habari! Sina maneno mengi nakwenda kwenye mada. Hivi pesa za msaada sijui mkopo zilizotolewa na wazungu kupambana na UVIKO 19 zinatumikaje kujengea madarasa? Tumeshindwa kujenga madarasa kwa fefha zetu wenyewe huku tukithubutu kununua ndege ambazo ni gharama kuliko hayo madarasa? Je, elimu...
  12. nina kifurushi cha data (MBs) na dakika nyingi kwenye simu yangu, jinsi ya kuvitumia kuniingizia pesa

    wadau mimi ni hybrid customer wa mtandao fulani hapa nchini, kila mwezi napokea Gb 5 na 900 min. matumizi yangu mtandaoni na kupiga ni machache hivyo kila mwezi zinajikusanya, naomba mawazo namna gani ninaweza kuzitumia kuingiza pesa.
  13. Pesa za UVIKO ziende hadi vyuoni

    Hata vyuo viliathirika sana Na covid 19, vyuo binafsi ndio kabisaaa! Pesa tulizopata za kupunguza athali za corona zisiishie kupanua madarasa shule za msingi Na secondary tu, Bali ziende hadi kwenye vyuo vya kati Na vyuo vikuu ili kusaidia kuweka mazingira ya kupokea wanafunzi wwngi...
  14. Hivi matatizo yanaonaga pesa?!

    Wakati huna pesa yametulia tuli,pata pesa Sasa utasikia Bibi kameza chemli huko kijijini😥 Hii sayari yetu yatatu hii imekaa kimichongo Sana😬
  15. Rais Samia fahamu kwamba Wakurugenzi wa Halmashauri, Maafisa elimu, Wakuu wa wilaya na walimu wakuu wana mtandao wa wizi wa pesa za madarasa

    Mimi ni mwalimu wa miaka mingi. Nina mates wangu wengi ktk taaluma ya ualimu mikoa mingi ya nchi hii. Hii siyo mara ya kwanza kuwa na ujenzi wa madarasa, tatizo ni ubora duni unaotokana na wizi wa watendaji wakuu wilayani na halmashauri. Wizi mkubwa ni wa Sementi, mbao na mabati kiasi kwamba...
  16. Je, ni jeuri ya pesa? Diamond atembeza R-R bila plate number kwenye usiku wa WASAFIBET

    Usiku wa tarehe 10 December wadau mbalimbali wa burudani na michezo waliweza kushuhudia uzinduzi kabambe kwa WASAFIBET. Katika uzinduzi huo C.E.O na boss wa wasafi media alionekana akiwasili ukumbini ndani ya gari yake ya kifahari kabisa RR ikiwa na bila namba ya utambulisho maalum. Bado...
  17. Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
  18. Jinsi ya kuwithdraw pesa toka paypal iliyokuwa held baada ya akaunti kuwa limited kwa siku 180

    Nadhani wale wenzangu na mimi mnaotumia Paypal mlishawahi kukumbana na tatizo la paypal kushikilia pesa yako kwa miezi 6 na kisha baada ya hapo kukwambia uitoe ila option iliyopo ni kupitia akaunti ya bank ya US. Sasa leo nawapa njia ya kuwithdraw hiyo pesa. Unatakiwa kuwa na US dollar account...
  19. Je, kukataa pesa iliyochakaa kama malipo ya bidhaa na huduma ni kosa kisheria?

    Mfano mtu amepewa huduma fulani, ila wakati wa kulipa akatoa noti iliyochakaa (halali na haijkatika sehemu yeyote ile), endapo yule mtoa huduma atakataa kuipokea nyaraka hiyo halali kabisa ya serikali kisa imechakaa, ni kosa kisheria?
  20. B

    Kuna binti nilimuonesha nia ya kumtaka kimapenzi ila sikumtongoza, tangu hapo akiniona unanikimbia

    Kuna binti nlimwonesha dalili ya kumtaka Kimapenzi, ila sikumtongoza direct, kaishia kunitangaza kwa rafiki zake kuwa namtaka, Hajawahi kunikosea chochote na mm sijawahi kumkosea chochote, nashangaa sahiv tukikutana anabadilisha njia tusionane, au saa ingine akiniona anakimbia kabisa..Yani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…