pesa

  1. JamiiForums Tanzania Yanga yalamba bonus ya Tsh. Milioni 480 kutoka SportPesa

    Yanga yalamba bonasi ya milioni 405, kutoka Sportpesa, kwa kumaliza Mabingwa wa Ngao ya jamii, Ligi Kuu ya NBC, Kombe la Shirikisho bara na kufikia hatua ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho la Shirikisho la soka barani Afrika CAF.
  2. JamiiForums Tanzania Shairi: Kama hamtaki ndoa, Rudisheni Pesa Zangu

    Mlikubali wenyewe, bila mtutu kichwani, Mkaazimu nipewe, kwa udi na kwa ubani, Akasaini mwenyewe, kwa agizo la fulani, Kama hamtaki ndoa, rudisheni pesa zangu. Aliyeleta mzozo, ni mtoto mtukutu, Akavujisha uozo, ukafika hadi Mbutu, Wakatilia mkazo, wananzengo wenye utu, Kama hamtaki ndoa...
  3. JamiiForums Tanzania Vikontena / vifuko vya kuwekea pesa za mauzo havitoshi ama nafasi inbaki, Naweza kupata wapi vimifuko ama container vya kimo nachohitaji

    Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana muajiriwa na pia ni mfanya biashara Katika biashara yangu huwa napenda sana kuiendesha kwa kuongezea vitu vya darasani, kuna hii system nataka niitumie ya kutenganisha pesa za mauzo mfano ya kwa siku, baada ya siku kadhaa, kwa wanaolipa madeni, kulingana na...
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Wakazi wa Arusha wailalamikia TASAF kuwapa vijana pesa huku wazee na masikini wakiachwa

    Baadhi ya wananchi wa Jiji la Arusha wamesikitishwa na upendeleo unaofanywa na TASAF kwa kuwapatia vijana wenye nguvu na wenye kujiweza pesa badala ya wahitaji wa mfuko huo ambao ni wazee wasiojiweza, na kaya maskini. Akizungumzia suala hilo Mwenyekiti wa Mtaa wa Olkirowa, Kata ya Lemara...
  5. JamiiForums Tanzania Nashukuru baada ya mke wangu kuondoka, pesa inaonekana mfukoni

    Kwakweli nina furaha kubwa sana isiyofaa kuelezea. Kabla ya kuoa maisha yangu yalikuwa mazuri sana pesa inaonekana mfukoni. Baada ya kuoa mambo yakabadilika sana mke akaja pesa zangu zikaanza kupukutika kwasababu ya matumizi, hali ile ikanitesa sana nikaona umasikini huu umeshaingia kwangu...
  6. JamiiForums Tanzania Niagize China, angalia wanavyopiga pesa

    Hawa wadada wanaojitangaza kuwa wanakuletea mzigo toka China huwa wanapiga pesa ndefu. Hizi mishe walizianza akina Faiza Ally. Kwa sasa wamekula wengi hasa wadada. Iko hivi, wao wanaenda China au wengine wanakua hapa bongo lakini kule anakua na Mchina anaye muamini tayari. Sasa anachagua...
  7. JamiiForums Tanzania Kutoka kusukuma mkokoteni na kubeba magunia sokoni mpaka kua Mfanyabiashara Mkubwa

    ✍️✍️✍️ Mnao ni uliza utajiri na pesa nime pataje 👉 👉 Niulizeni na ule Umaskini Nili Utoaga wapi 🙏🙏🙏 Fisi hafi Kwa shida Kichwa cha habari hapo juu sio maneno yangu Mimi ni caption ya what's up status ya Moja ya wapwa wangu. Kutoka kusukuma mkokoteni na kubeba magunia sokoni mpaka kua...
  8. JamiiForums Tanzania Hii nchi ni yetu sote. Bunge liyavunje maridhiano, DP World wasipewe banadari. Tutafute pesa na kuwekeza wenyewe

    Kwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World? Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi? Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
  9. JamiiForums Tanzania Kupata pesa na kuimiliki ni vitu viwili tofauti

    Nilichogundua na kuona kwa macho sio kila mtu anaweza kuimiliki pesa na ikakaa upande wake . That way watu wana vipato vikubwa but they still broke . Nb: Maarifa wanayo watu wachache na hao watu wachache ndo wapo huru nadhani Kazi ya heshima au kuingiza pesa nyingi bado haiwezi kukufanya...
  10. JamiiForums Tanzania Wadogo zangu mnapotea, bila nidhamu ya pesa utaenda kukariri plate number za wenzako

    Ofcourse naelewa kwamba hakuna kupangiana matumizi, ila nisiposema hili nitakua sijatimiza wajibu wangu kama "kaka"(kwa baadhi ya wadogo zangu). Wadogo zangu, ukiwa bado hustler, kupiga dili ya laki 2 na ukaji-shukuru kwa kutumia laki moja na nusu ni upuuzi grade A. Usituone sisi tunalewa...
  11. JamiiForums Tanzania Kama waziri Mwigulu anakataa kuwa pesa hazijaibiwa serikalini, ina maana kuwa anapingana na ripoti ya CAG?

    Wakati akifunga mjadala wa bajeti ya wizara ya Fedha ya mwaka 2023/2024 waziri Mwigulu alinukuliwa akiwaambia wabunge kuwa, kama ripoti ya CAG inadai kuwa pesa nyingi zimeibiwa serikalini, je pesa yote anayoitoa Rais Samia kwenye miradi mbalimbali nchini, angezitoa wapi, iwapo pesa nyingi...
  12. JamiiForums Tanzania Mpina ajibu mapigo, asema Mwigulu hana sifa ya kuwa Waziri. Adai anakopa hadi pesa za semina ilhali kuna matrilioni hayajakusanywa

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema Mwigulu amesababisha matatizo makubwa kwenye SGR zaidi ya trilioni 4. Luhaga amesema Mwigulu hatakuwepo kwenye nafasi ya uwaziri labda kwa neema ya Mungu akidai hana sifa ya kukaa kwenye nafasi aliyonayo. Mpina amedai Mwigulu amepiga ngonjera kwenye hotuba...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna muda unatamani kwenda kuroga kwa mganga ili nipate chaneli za pesa

    Eh bwana wakuu chaneli za pesa ni ngumu sana kuna muda mambo yanabana moka unatamani hata ungekua una imani ya kishirikina ukaroge ilimradi na mm nipate chaneli za pesa wazee mambo hayaendi ukiangalia vijana wenzetu wanafanya mambo ya maendeleo sisi tunakomaa kupambana lakini inakua ni kama...
  14. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Ukipewa dhamana polisi kutoka ni bure usitoe pesa

    Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amepiga marufuku tabia ya baadhi ya Askari kuomba rushwa pale ambapo Mtuhumiwa anapokamatwa na kupewa dhamana na Ndugu zake kwa kumtaka atoe chochote katika Vituo vya Polisi. Akiongea na Wakazi wa Kata ya Kamoge Wilayani Bukombe Mkoani Geita...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ukweli usemwe! Kijana usipojifunza kutafuta pesa umasikini ni rafiki yako

    Tunatumia pesa kila siku na tunahitajika kutafuta pesa kila siku usiruhusu siku ipite bila kutengeneza pesa,na njia pekee ya kutengeneza pesa nikujifunza kutengeneza pesa.naumia sana nikimuona kijana mwenzangu wasasa pamoja na fursa zote hizi zilizopo bado anashindwa kujipatia kipato chochote...
  16. JamiiForums Tanzania Somo kwa wastaafu: Pesa za pensheni siyo za kufanyia biashara kama unataka kuishi Maisha marefu

    Watu hawana huruma na wastaafu, huwapa michongo ya pesa wanaishia kufa kwa pressure. Ukistaafu idea nyingi sana unaletewa na ndugu. Pana mstaafu alipata milion 250. Shemeji yake akamwambia tufate pikipiki China ukileta kwa jumla pesa ipo, akampa pesa shemeji yake akalala nazo kona China, hadi...
  17. JamiiForums Tanzania Ukitafuta mali usijinyime kuzitumia, ukifa utaziacha watatumia wengine

    Yapo madhara makubwa sana ya tamaa ya mali na pesa nyingi ambayo watu wengi hawakumbuki mara nyingi wanajisahau sana. Madhara ya kumiliki pesa na mali nyingi sana kwanza kabisa lazima utambue kuwa unakesha usiku na mchana kutafuta pesa na mali nyingi hata wakati mwingine unaogopa kula na...
  18. JamiiForums Tanzania Napendekeza kura za uchaguzi mkuu zipigwe kwa kutumia Tigo pesa

    Itakapofika uchaguzi mkuu 2025, mtu aruhusiwe kupiga kura kwa kutumia simu yake ya mkononi kwa kutumia mifumo ya mobile money. Pawekwe kipengele cha kupiga kura kwenye menu, ambapo atachagua Rais, Mbunge, Diwani, kisha atatuma kura yake. Kwa wasio na simu wataenda kwa mawakala kwa kutumia...
  19. JamiiForums Tanzania Wabunge tumieni pesa yenu vizuri, wengi hamtorudi msimu ujao

    Hali niionayo sasa na ajenda za uchaguzi zinazozidi kuzaliwa, hasira ya wananchi ninayoiona kwa mabo mengi mchanganyiko, kuchoka kwa walio wengi kuona mambo yaleyale kwa miaka 62 Ongezeko la unemployment inayoongezeka, utumwa unaoongezeka wa walionacho na wasionacho, uongozi usiolidhisha wa...
  20. JamiiForums Tanzania Hii nchi ni rahisi kupata pesa. Kijana usikubali kukaa bila pesa

    Mwone kijana mwenzako huyu ana pesa. Tanzania pesa kila sehemu zimejaa, shambani, sokoni, kazini, mitaani. Ni wewe tu kutumia akili kidogo unazipata.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…