US-backed financier has slapped the Treasury with a default notice for delayed payment of a Sh57.8 billion loan that the government guaranteed Kenya A

Mwanafalsafa

Platinum Member
Jun 24, 2007
662
851
Hebu jifunzeni kutoka kwa jirani ili siku nyingine msiwe mnaongea kama wagonjwa wa dementia.

=====
US-backed financier has slapped the Treasury with a default notice for delayed payment of a Sh57.8 billion loan that the government guaranteed Kenya Airways.

Chris Kiptoo, the Treasury Principal Secretary, told Parliament that the Exim Bank of the USA has handed in a default notice after Kenya failed to remain up to date with payments of the loan.

This highlights the country’s struggles with the mounting public debt, whose cost servicing is expected to be more than half of projected State revenues in the fiscal year ending June.

KQ defaulted on part of its $525 million (Sh64.6 billion) loan from the Private Export Funding Corporation (PEFCO) of the USA and guaranteed by Exim Bank of USA which, in turn, was guaranteed by the Government of Kenya.

The 89-year-old Exim Bank, which is fully owned by the US government, provides direct loans, commercial loan guarantees, export credit insurance and working capital guarantees for American exporters.

Dr Kiptoo said the Treasury guaranteed the loan to the struggling airline at an exchange rate of Sh84 to a dollar. The exchange rate currently stands at Sh125.2 to the dollar.

“We have an outstanding balance of $462 million (Sh57.77 billion). A default notice has been issued by the guaranteed lender which is US Exim Bank which has called on the government of Kenya to pay. Now we don’t have, to say the truth, enough headroom to pay, but what is important is to pay,” Dr Kiptoo told the committee on Public Debt and Privatisation.

Technically a call-up of the loan means that the lender can demand full repayment of the debt on fears of a borrower’s future ability to make payments.

The KQ loan was a 12-year facility initially provided by Citi Bank and JP Morgan before PEFCO took it over as Exim and Kenya government joined in as guarantors.

The airline halted payments as it ran into financial difficulty exacerbated by the Covid-19 pandemic, which led to the grounding of a large part of global air travel.

The airline stopped remittances on the guaranteed and the non-guaranteed portions of the loan, the Treasury said in an earlier report.

“Following the default,” according to the report, the cabinet gave approvals to pay the loan arrears “and the loan balance to be novated—replace an old obligation with a new one-- to the government.”

The airline, which has been surviving on State bailouts since the Covid-19 pandemic, reported a Sh9.8 billion loss in August — a better performance than the Sh11.48 billion loss it recorded in the same period a year earlier.

Read: Taxpayers to take over Sh59.7 billion Kenya Airways loans
The government in December announced it will take over Kenya Airways loans amounting to $485 million (Sh59.7 billion) that it had guaranteed the carrier.

The Treasury officials told the International Monetary Fund (IMF) that government would undertake many such takeovers of distressed loans—technically known as novation—pushing up the country’s annual debt service by Sh10 billion.

Business Daily
 
Kuna cha kujifunza kwenye kuchelewa kulipa deni? Kwani serikali ya Tanzania huwa haichelewi kulipa madeni! Mbona inamadeni mengi tu ambayo imechelewa kuyalipa, hizi ni siasa za kitoto.
 
Utumwa 101

Vibaraka wa mabeberu hawakufurahi na Uamuzi wa Hayat Rais. Kuhusu ndege, pamoja na Uviko-19

Na isitoshe, wakati Hayati hakukataa Covid kumi na tisa alichokataa ni kufungua
bahasha la kubambikiziwa au kusokomezwa kwa vitu kama hivyo kwa kutoitisha " hali ya hatari" ya afya nchini ambayo vingetuingiza katika mitego kama hiyo...vibaraka wa mabeberu haiku wapendeza wakaponda na kuanza upotoshaji.

Imewauma washika mirija na ndio utasikia kila siku, 'oh hayo yasije kutokea tena Nchini' 'kamwe' yaani haya madubwasha wanayoleta humu mitandaoni kuhusu Hayat Rais ni mbinu tu za kudumaza 'kifikra' kuwa "Tunaweza", kuwa haya wanayoyasema yatamtokea mtu yeyote atakaye jaribu kufinya hiyo mirija tena watalipa kutoka kwa 'mungu' hawa jamaa wapo tayari hata kudhihaki amri za Mungu na Kudai kuwa Kudra zake hazito kufikia Usipokubali kuwainamia na kulamba miguu yao...yaani utakufa!. Na Ukikubali, utakuwa ndio Chaguo la 'Mungu'

Hatari, lakini hakika.

Kwa wale waliomponda Hayati Magufuli kununua ndege kwa pesa taslimu​

wanasherekea yaliyojiri Kenya
na ni Uhakika wako na aibu kubwa kwa kuponda maamuzi ya Hayat Rais kwa ambayo tuaona tija zake.

Better the Devil I know 'CCM' than anything associated with Tundu Lissu and Associates.

Kitaeleweka.
 
Mkopo is forever the best option ku finance capital expenditure.

Bado ntazidi kumponda Mafufuli kwa kununua ndege cash. Yalikuwa maamuzi ya kijinga
Tena maamuzi ya mtu asiyeenda shule, hata kuanzisha miradi mikubwa mingi ni ujinga ulopitiliza. Hajui finance na economics.

Sisi hatuna dola, hatuna expetise, hatuna malighafi halafu vipesa vyetu vya mboga tunataka tujenge bwawa, reli na mamiundo mbinu kibao.

Watakaofaidi hizo hela ni wageni, mzunguko wa ndani wa hela unakua finyu kw kua pesa nyingi tuna expatriate kwa kununua vifaa, technolojia nk
 
Mkopo is forever the best option ku finance capital expenditure.

Bado ntazidi kumponda Mafufuli kwa kununua ndege cash. Yalikuwa maamuzi ya kijinga
Ndege hazikununuliwa na Magufuli,zilinununliwa na serikali ya Tanzania,advantage tulionayo hata kama zikitushinda kuendesha bado kuna nchi kibao hazina uwezo wa kununua kwa cash, tunaweza kuzikodisha na tukapata hela ya kutosha.

Ukumbuke ndege sio za ATCL ni za serikali kwahiyo tunaweza kucheza nazo tunavyotaka na tukatengeneza hela, ndio maana mrithi wake pia Raisi wetu mama Samia ameongeza nyingine,acha chuki itakuua, fanya kazi hakuna cha bure...
 
Magufuli mwenyewe alipokea rushwa. Anapoamua kununua ndege za Boeing bila kufuata sheria ya manunuzi unadhani hajui kuwa muuzaji hatampa 10%?
 
Wengi wanaompinda Magufuli ni wake wa upinde wa mvua.

Kwa ulimwengu wa sasa watu wa upinde ndio wenye nguvu, na sasa vile wengi wao ndio wako mamlakani tegemea mzee Magufuli kupondwa sana.

Njia pekee ya kukabiliana na waupinde sio kubishana nao, ni kuwapiga miti tu.
 
Ficha UPUMBAVU wako usijedharaulisha ukoo wako. Kilichomsukuma magufuli kununua ndege kinyume na Public Procurement Act 2015 na Finance Act ni RUSHWA tu. Ni rahisi sana kupewa RUSHWA ukinunua kwa taslimu.
 
Ndege zimenunuliwa au hazijanunuliwa?

Hayo ya Rushwa nadhani wewe na yeye ndio mnaoyajua huenda ulipewa mgao.
 
Ndege zimenunuliwa au hazijanunuliwa?

Hayo ya Rushwa nadhani wewe na yeye ndio mnaoyajua huenda ulipewa mgao.
Hivi unajuwa kuwa Airbus 3 zina defect kwenye engine ? Na ziko grounded? Unajuwa kuwa Bombardier moja nayo ni trip shamba trip garage?

Siku zote unapoona mtu anaacha taratibu zilizowekwa kwenye ununuzi tambua kuwa RUSHWA ndiyo msukumo wa maamuzi.
 
Hizo airbus zimefanya kazi muda gani bila kufanyiwa service?
Halafu kwa nature ya wazungu kama kungekua na mazingira ya Rushwa wangesha expose siku nyingi tu.unakumbuka issue ya radar ilivyokuwa?
 
Hizo airbus zimefanya kazi muda gani bila kufanyiwa service?
Halafu kwa nature ya wazungu kama kungekua na mazingira ya Rushwa wangesha expose siku nyingi tu.unakumbuka issue ya radar ilivyokuwa?
Siku nyingi ni ngapi? Kwa taarifa yako JINAI huwa haifi. Pili ondokana na kasumba kuwa ni Wazungu tu ndiyo wana uwezo wa kutambua rushwa
 
Siku nyingi ni ngapi? Kwa taarifa yako JINAI huwa haifi. Pili ondokana na kasumba kuwa ni Wazungu tu ndiyo wana uwezo wa kutambua rushwa
Bro! Mambo ya ndege achana nayo. Ni waze kwamba wewe una taatifa za kijiweni. Acha porojo nyingi.

Kwani wewe hujui kwamba tatizo la engine za A220 ni dunia nzima ama ?

Unajua ndege baada ya muda gani inaenda C check??

Je unajua logistics za kuiservice hiyo ndege ikiwa C check?? Na tuna vijana qualified kuzifanyia service?

Na kama inaenda kufanyiwa service nje je kuna procedure gani?

Vitu vingine tunahitaji taarifa kutoka kwa wataalam. Vitu vingine ni vya kitaalam zaidi. Haya mambo ya kuropoka kama tuko kijiweni sehemu zingine tupunguze!
 
Magufuli mwenyewe alipokea rushwa. Anapoamua kununua ndege za Boeing bila kufuata sheria ya manunuzi unadhani hajui kuwa muuzaji hatampa 10%?
Yaani Rais akabembeleze rushwa kutoka Boeing? Unajielewa wewe? Tena Rais kama Magufuli ambaye amekaa kwenye ujenzi miaka 20 na pia aliamua kutumia mamlaka ya Rais kikamilifu kama Nyerere.

Rais akiamua kuchota pesa za Hazina anachota tu. Waziri wa Fedha mwenyewe tu anazichota akiamua, sembuse Rais.
 
Mkopo is forever the best option ku finance capital expenditure.

Bado ntazidi kumponda Mafufuli kwa kununua ndege cash. Yalikuwa maamuzi ya kijinga
Inaonesha umekremu. Na waliokufundisha hayo shuleni kumbuka ni haohao mabeberu. Mabeberu wanapenda mikopo kwa sababu wanajua nafasi yao duniani ni ipi.
 
Ficha UPUMBAVU wako usijedharaulisha ukoo wako. Kilichomsukuma magufuli kununua ndege kinyume na Public Procurement Act 2015 na Finance Act ni RUSHWA tu. Ni rahisi sana kupewa RUSHWA ukinunua kwa taslimu.
Kumbe hufuatilii mambo. Hiyo hoja ya kwamba alienda kinyume na PPA na Finance Act ilishajibiwa zamani sana wakati ule ule ndege zinakuja. Ni hoja ya uzushi na uongo.
 
Back
Top Bottom