pesa

  1. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya kumiliki pesa na kuabudu pesa = wahenga walisemaje

    Kwangu huu wimbo zilipendwa unazungumzia muabudu pesa https://youtu.be/l8O6jFXXV_Y?si=d3VXfZomiiMX7azj mmiliki pesa anadumisha utu kuuweka mbele, huyu ndo atasaidia hata ndugu na rafiki zake muabudu pesa ataua ndugu kupata pesa, atafukuza ndugu badala ya kusaidia
  2. JamiiForums Tanzania Njoo Upige Pesa...

    Nimuda mrefu Tangu niweke andiko katika jamvi na jukwaa hili.Hii ni kutokana na changamoto na Purukushani za Maisha.Najua umekuja kwenye huu uzi haraka kwa sababu ya Kichwa cha Uzi. Lengo la UZI huu ni kujadili kauli ya 'Njoo Upige Pesa' kauli ambayo huwa inasisimua,inahamasisha na kuwapa watu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Sungusungu Chamazi wanakuja kudai fedha usiku bila vitambulisho

    Kikundi cha watu kilichojitambulisha kuwa ni Sungu Sungu wa Chamazi Msufini kinadaiwa kuwafuata wananchi usiku wa manane kudai fedha za ulinzi bila kuwa na vitambulisho wala barua kutoka kwa mamlaka husika. Wanadaiwa kufika wakiwa zaidi ya watu 10, wakiwa na marungu, kugonga milango ya wananchi...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu tunaomba watu wa Kipunguni walipwe pesa zao, Wananchi wanaibiwa, kesi za malalamiko zimejaa Stakishari

    Mh. Waziri Mkuu wa Tanzania, Waziri wa Ujenzi, Waziri wa Ardhi husika, Naomba niwaombe wananchi wa Kipunguni walipwe fidia zao, jamani. Mmeondoa baadhi ya watu, lakini sehemu zilizobaki sasa zimegeuka maeneo ya uchimbaji mchanga. Usiku, baadhi ya watu hugeuka majambazi. Kesi za malalamiko...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni jeuri ya pesa ? Gachuma, tajiri wa Mwanza kampeleka Diamond Tarime kwajili ya Birthday wakati angehitajika harusi ya mtoto wa tajiri wa Katoro

    Tajiri wa Katoro sio mtu wa kupenda unyonge! Hapana kabisa! hana dogo, anapenda kujulikana kwamba ana mkwanja mrefu kama mguu wa twiga! Na usidhani ni maneno tu, tuliona video wiki iliyopita zilizotuteka headlines mitandaoni. Kwenye sendoff ya mtoto wake alianza kwa kum book Ali Kiba na wala...
  6. JamiiForums Tanzania Induction vs Gas: Okoa Pesa, Hesabu Hazidanganyi!

    Watu wengi wakisikia "kupika kwa umeme," akili zao zinakimbilia kwenye yale majiko ya kizamani ya Coil (yale yanayowaka wekundu). Wanawaza bili kubwa za TANESCO na majiko yanayochelewa kupata moto. Lakini leo nataka nikutambulishe kwenye teknolojia ya Induction—ambayo ni rahisi, ina kasi, na...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Aliyeua Baba Zake, alikuwa anatuma Pesa akiwa South Africa Wakazitafuna

    Huyu jamaa aliyewapeleka Baba zake (Baba mzazi na Baba Mdogo) akhera a.k.a mbinguni inasemekana alikuwa Afrika Kusini akawa anasukuma harakati zake huko kwa mkabulu. Kama mnavyojua kwa mkabulu ukienda kama foreigner asiyekuwa taaluma basi utapiga kazi za kila aina, waswahili wanasema utakuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi matajiri popote duniani wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kuonyesha mafanikio yao?

    Celebrities na matajiri weusi kuanzia Marekani, Nigeria, South Africa, Kenya mpaka Tanzania wote tabia zao zinafanana, wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kwenye matukio kama harusi, birthday n.k au hata pasipo matukio. Sijawahi kuona hii tabia kwa Wachina, Wahindi, Wajapan, Wakorea au...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri kwenye matumizi ya pesa za mtu...

  10. JamiiForums Tanzania Mabenki na mitandao pesa washapewa tishio na serikali ya CCM kama watapokea pesa ya michango ya CHADEMA.

    Habari zilizopo ndani.Baada ya kila wanacho jaribu kuleta na kufanya CCM sasa wanaenda kuwatishia Benki na mitandao ya simu kuhusu account za Chadema zifungwe na kutopokea pesa. Na utashangaa waziri anasema wamepeleleza wamegundua pesa zimetoka nchi za ambao wanataka kuharibu amani ya nchi...
  11. JamiiForums Tanzania Kama unaona mtoto wako uwezo wake ni mkubwa haijalishi uwezo wako, omba msaada au tumia pesa yako, hapa Tanzania ni sehemu kuua ndoto za watoto

    Sio uwongo yani kama wazazi na mliopo hapa jifunzeni kukabiriana na roho za hapa. Wamewamaliza sana T.O wa tanzania wengine wakawa wanafundisha twisheni na wengine wakaishia kuchekwa na wasio soma. Kuna dogo hapa mzazi wake aligundua mtoto wake sio level hii nchi ,kwa uwezo wake aliona bora...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Katuni ya BoT: Utajiri wa kweli siyo kumwaga pesa chini, inabidi uithamini kama tunu ya Taifa

    Wakuu hii Katuni iliyopostiwa na Bot inasema kuwa kumwaga pesa chini siyo njia ya kuonesha kuwa nazo ila inabidi kuithamini kwani ni tunu ya Taifa, na mtu akitaka kutunza aziweke kwenye chombo maalumu kilichoandaliwa
  13. JamiiForums Tanzania Kiluvya: vitisho na matumizi ya nguvu katika ukusanyaji pesa za ujenzi wa barabara Mh Rais Diwani wa kiluvya anakuchonganisha na wananchi wako

    YAH: OMBI LA UCHUNGUZI WA TUHUMA ZA UKUSANYAJI WA FEDHA KINYUME NA UTARATIBU KATIKA KITONGOJI CHA MAKURUNGE, KATA YA KILUVYA – WILAYA YA KISARAWE Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kwa heshima kubwa, sisi baadhi ya wananchi wa Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya, Wilaya ya...
  14. JamiiForums Tanzania Tuwaulize hawa wanaosema forex ni utapeli,Na wanajuwaje pesa za kigeni thamani yake ?.

    Kumsaidia muafrika ni ngumu sana kuwa wewe ni mjinga. Kwenye kipindi cha madini dotcom cha mtangazi East africa redio sikosei. Kuna makala aliweka kuhusu congo kutawaliwa na mtu ambaye hakufika congo mpaka anakufa ila aliwatesa sana kwa kutumia waafrika wenzake. Hapa JF kuna wakurupukaji...
  15. JamiiForums Tanzania Eti wenye Pesa hawana Kelele one day ntachafukwa niwape wana JF kwa idadi ya watu 500 kila mtu 100,000, mi si tajiri Lakini

    Ndiyo kelele ni za maskini, Ila wenye pesa hawapigi kelele endeleeni kunichokoza Kelele zinapigwa na wanavyofanya Mi si tajiri na si tajiri sana ila ka bilion 2 sikosi kwenye majumuisho yangu Siko vibaya sana Nasema haya makusudi, Ninyi ndugu zangu, kwanza dunian hakuna mtu maskini ni...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Mungu anatumiaje pesa wanazompa Waafrika makanisani na misikitini?

    Habarini, Viongozi wa Dini wanatunzwa na washiriki maskini wa kanisa na misikiti kwa kuambiwa watarajie muujiza ndani ya wiki! Viongozi wa dini nndiyo wanatumia pesa alizopewa Mungu na waafrika kwaajili ya kununulia majumba na magaari ya kifahari,kuishi maisha mazuri,kununnua kondom,nk...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hadi sasa Wilaya ya Mpwapwa hatujapata fedha za kujikimu

    Mimi ni mwalimu wa ajira mpya wa Februari 2026 katika Wilaya ya Mpwapwa, mkoani Dodoma. Tunaomba msaada wa kufikisha kero yetu kwa mamlaka husika ili suala la malipo yetu lipatiwe ufumbuzi. Hadi sasa hatujapokea fedha tulizoahidiwa, licha ya kuambiwa kuwa zingelipwa ndani ya muda mfupi...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna wakulima wanapiga pesa ila nahisi ni viongozi na wameblock wakulima wengine wasifanye.

    Kuna kipindi cha jamaa mmoja anaitwa sam chui mambo ya ndege. Alikwenda sudani kusini kuangalia huduma za safari za ndege na mashirika ya misaada. Kitu nilichoshtuka kuona nembo ya tanzania ya chakula nahisi ni nafaka sijui ni nafaka hipi. Nitaanza na ili nyuma kidogo,Wakati miaka ya nyuma...
  19. JamiiForums Tanzania Dubai ni kichaka cha damu na pesa chafu. Leo kila documentary zinatuhumu Dubai.

    Mi sio mwandishi mzuri ila mwaka jana hapa JF niliweka uzi kuhusu dubai na maendeleo yake kuhusu inavyo fanya ila kama swala lilikosa mjadara. Leo sudani ya kaskazini mfazili mkubwa ni dubai na ndiye mnunuzi kubwa na mpokeaji wa dhahabu. Matapeli wakubwa na waficha pesa wote wapo dubai tumeona...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Yaani watu wamekutunza jukwaani kwasababu umewakosha kwa nyimbo au stalii za kudensi Sasa hizo pesa ukizitumia ni ufisadi?

    Yaani Kuna watu wamekoshwa au wameopendezwa na msimamio au maelezo ya kiongozi fulani wakisiasa, Wakaona ngoja wamwekee mafuta kwenye gari yake na wampe na hela ya kula njiani yeye na wenzake ili na wenzao kutoka sehemu nyingine wapate huo ujumbe je juzitumia hizo fedha ni ufisadi? Kumbuka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…