Kuna Familia za wafanya kazi( Waajiriwa.)
Kuna Familia za wafanya Biashara.
Kuna Familia za wafanya Biashara ndogo ndogo
Kuna Familia za Wabangaizaji.
Kuna Familia za Kifundi, Wao ni Mafundi tu.
Na Kuna Familia zisizoeleweka wao wanajiuhusisha na nini...
Sasa Tuna Kuja kwenye ushauri wa hizi...