Hasara au Kupoteza.
Mapenzi ni Biashara, sasa inatakiwa uwe makini unawekeza wapi.
Maana Hawa Ndugu Zetu wapo After money, ukimsemesha tu anataka Pesa, Sasa kwenye hiyo pesa unayotoa kumpa Jua hiyo ni Kamali, unaweza ukaliwa na usione ndani.
Ukiona mwanamke anakusifia unaejielewa Jua unaliwa...