pesa

  1. T

    JamiiForums Tanzania Pesa inayofaa kuacha kwa matumizi ya familia yenye watoto wawili wasiozidi miaka 5

    Nilikuwa na mwanamke nilizaa nae watoto wawili Nilijaribu kumfungulia biashara akaiua Nilikuwa nauliza kwa wenzangu wenye uzoefu ikiwa kama mwanaume nalipa vitu vifuatavyo: Kodi, bima za afya za watoto na mama yao, maji, umeme, ving'amuzi, ada ya mtoto aliyeanza kusoma, mavazi na mengineyo...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ni kweli hapendi kutumiwa pesa au ni janjajanja zake?

    Wakuu kuna manzi mmoja anafanya kazi kwenye duka karibu na langu nimemzimika ile laana. Uzuri wa huyu manzi ni ngumu kuuelezea kwa lugha za kibinadamu. Wanawake wote duniani wakichanga uzuri ndo watafikia robo ya uzuri wa huyu manzi. Huwa naenda dukani kwao kupata huduma za kifedha na...
  3. kiredio Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tofauti na pesa, kazi na wasifu, ni yapi mengine ambayo huongeza ushawishi kwa mwanaume dhidi ya wanawake?

    Wengine wanavutia wanawake wengi ambao hata hawafahamiani kwa kina mfano strangers tu
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilipata pesa na kujiona mwanaume ndani ya ndoa

    YAMENIKUTA; nilipata pesa na kutaka kuwa mwanaume ndani ya ndoa yangu! Maisha haya acha tu, hivi kwanini kuna mambo yanatokea halafu ndiyo mtu unakuja kujutia baadaye. Nilinunuliwa Kitabu na rafiki yangu, yaani rafiki yangu yuleyule ambaye alikua akinishauri nimuache mume wangu ndiyo...
  5. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Kuahidi hizi teams pesa kunasababisha wapoteze attention. Hii game Singida walikamia sana wakaacha kucheza mpira

    Nadhani tunapotaka kuifunga simba sasa tuache kuwajaza ujinga wachezaji. Leo singida walipania sana game. Wakapoteza concentration wakabaki kucheza kwa nguvu bila maarifa. Angalau kipindi cha pili walitulia kidogo kuliko mwanzo. Nadhani tuwe tunawaacha wacheze kwa mipango ya kocha. Hii game...
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanaotumia milioni 3+ kwa mwezi kumlea mtoto mchanga, hizo pesa wananunua nini ambacho akina sisi tunaotumia laki 1 kwa mwezi hatununui?

    Jamani milioni 3 ni pesa ndefu. Sasa inawezaje kuisha kwa malezi ya mwezi mmoja tu ya mtoto mchanga? Mshahara wa house girl, maziwa ya formula na pampas tu ndiyo vinamaliza milioni 3? Au kuna kipi kinapelekea hiyo gharama kufika au kuzidi hapo?
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Nashangazwa na ubishi wa pesa za Abdul.

    Wiki iliyopita nilikuwa napita ghetto usiku saa mbili hivi, nikawaona watoto wachache wamekaa pale,wasichana nikatoa offer,nikawapa sh.1000(elfu moja) buku. Wakaikataa. Sasa,I was very shocked. Ile hela nikaichana kwa hasira zangu,nikawaachia pale, nikaondoka. Ingawa,kwa kweli,siyo jambo zuri...
  8. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Business Class ina raha yake - tafuteni pesa

    Shughuli zangu za kutafuta kipato zinanilazimisha kusafir mara nyingi kwenda nje kwa (ndege) za mashirika mbalimbali hususani Emirates, Qatar na KLM. Sasa kutokana na Miles nilizo nazo mara kadhaa nimekua nikifanya upgrade kukaa Business Class aisee treatment yake si ya kitoto kuanzia CHECK IN...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitawafundisha tena; Ukitaka mapenzi yasikusumbue tafuta mwanamke anayemiliki pesa yake mwenyewe(anayeweza kujilisha na kujitunza)

    SITAWAFUNDISHA TENA; UKITAKA MAPENZI YASIKUSUMBUE TAFUTA MWANAMKE ANAYEMILIKI PESA YAKE MWENYEWE (ANAYEWEZA KUJILISHA NA KUJITUNZA) Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Elewa, mwanamke Anayemiliki pesa zake mwenyewe alafu akakukubalia uwe Mchumba au mpenzi wake huyo kuna uwezekano wa asilimia...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu Mvomero wanadai kutolipwa pesa zao za likizo kwa zaidi ya miaka mitano

    Walimu katika Halmashauri ya Mvomero wanalalamika juu ya kutolipwa fedha ya za likizo kwa zaidi ya miaka 5. Lakini cha kushangaza kuna baadhi ya walimu kila mwaka huenda likizo na kulipwa fedha zao. Hao wanolipwa kila mwaka ni akina nani na wale ambao hawalipwi hata wakifuatiallia wana nini...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Eti pokeea pokeea! Wapeni na ninyi sadaka za maneno msitapeliwe pesa zenu

    Mnaokwenda kuombewa kwanza hamna uhusiano mzuri na Mungu BABA YENU. Hailezeki hata kwa maisha ya kibinadamu una baba yako mzazi huwezi kumuendea kumuomba kitu mpaka utumie kuwadi fulani anayejiita mtume, nabii,kuhani, mwalimu nk eti akuombee. Huu ni upumbavu na afya mbovu ya akili. Kama ulienda...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kurudi kijijini kila mwaka hujapiga hatua, Ni lazima utarudi mjini na hasira ya kuzisaka noti, kwenye ukoo unadharaulika kama huna pesa

    Jamii nyingi hazina hii pressure, mnakutana kiukoo kwenye misiba na sherehe, Imeisha hio!! Kwa upande mwengine sana kuna haka kautamaduni mnakutana wiki hadi mwezi kwa dhumuni la kujuliana hali, kutambulisha wanafamilia wapya, n.k. Na ole wako ukose sasa kwenda kijijini, kelele zinaanza...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha kuingia mwaka mpya ni msimu wa wahubiri uchwara kuvuna pesa!

    Fungulia tu hizo redio zao usikie habari za makongamano na ibada za kubariki,kukomboa, kutakasa n.k mwaka mpya ujao. Ukiwa mpumbavu fulani unajipeleka halafu unaambiwa toa sadaka au panda mbegu kwa ajili ya mwaka mpya uwe wa mafanikio. Pesa zile zinaingia mfukoni kwa mhubiri. Hivi watanzania...
  14. Magical power

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli.

    asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye ndoa au mahusiano ndo maan ni rahisi kwa mwanaume tajiri kumuoa au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Namtetea Mbowe, Chadema, Hakuna Ubaya Wowote, Mtu, Chama Kusaidiwa na Kupokea Fedha Zozote Toka Popote na Kwa Yeyote!. Sio Kila Pesa ni Rushwa!

    Wanabodi Merry Chritmas Mjadala wa tuhuma za rushwa unaovurumishwa na Tundu Lissu, umezidi kushika kasi, tuhuma zilianzia majukwaani, zikahamia mitandaoni sasa zinaendelea kule Club House, spaces na X- tweeter. Hivyo najitolea kumtetea Mbowe, Chadema, wengine wote wanaotuhumiwa kwa tuhuma za...
  16. lord atkin

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

    Mgombea Uenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amefunguka kupitia Twitter space jinsi alivyokusanya ushahidi wa kutosha kuhusu rushwa ya pesa za Abdul na mama yake kwa viongozi wa Chadema. Ameeleza kuwa mmoja wa wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha CHADEMA aliyempatia ushahidi wa kina kuhusiana na...
  17. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027 NI kutengeneza pesa!

    Wenye akili wameanza kujenga apartments, restaurants na sehemu za starehe (night clubs etc.). Wengine huko Lindi na Mtwara muendelee kulaumu tu
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Airtel kutuma pesa kwenda kampuni zingine au bank: ‘Unable to fetch , bad details’

    Tangu jana usiku, nikitaka kutuma pesa toka Airtel money kwenye mitandao mingine ya simu au bank napata ujumbe wa ‘Unable to fetch, bad details’ Je, kuna taarifa yoyote rasmi juu ya tatizo hili? @airteltanzania
  19. Bams

    JamiiForums Tanzania Mbowe baada ya kupewa pesa iliyotajwa kuwa ni fidia, alitakiwa kuweka wazi ili isionekane kuwa ni hongo

    Ni wazi kuwa Mbowe alilipwa pesa nyingi inayotajwa kuwa ni fidia ya yeye kukaa gerezani kwa kesi ya kusingiziwa, na pia kwa kuharibiwa biashara zake. Lakini kwa nafasi yake kama kiongozi wa chama kikuu cha upinzani, na kwaajili ya kuleta uwazi katika uongozi, na kuzuia fikra za pesa hiyo...
  20. monta

    JamiiForums Tanzania Kitu gani ulinunua kwa pesa yako ya kwanza kulipwa?

    Wakuu ni kitu gani ulinunua kwa pesa yako ya kwanza kulipwa au kupata iwe kwenye ajira rasmi,boom la chuo au pesa uliyoingiza kwenye biashara. Nakumbuka kipindi naanza chuo mwaka 2014 pale udsm niliingiziwa boom laki 7 kipindi naanza semester ya kwanza first year nikaingia kupatana.com...
Back
Top Bottom