pesa

  1. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Nina milioni15 na plan ya kibanda cha 8.5m×8.5m, bedrooms mbili, bati ya cover max, finishing kiwango cha mpambanaji. Hii pesa itanifikisha hatua ipi?

    Karibuni wakuu
  2. upupu255

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha apendekeza nyongeza ya Tsh. bilioni 945.7 kwenye bajeti ya serikali ya 2024/25. Pesa za Kampeni zinatafutwa?

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba apendekeza nyongeza ya TSh bilioni 945.7 kwenye Bajeti Kuu ya Serikali ya 2024/25 kutoka kwenye ile ya awali ya Trilioni 49.3 iliyowasilisha Bungeni Juni 13,2024. Soma: Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya kula pesa ya serikali na kunenepa ovyo

    Samaleykum, Hawa jamaa zetu hasa wa umri wa kuanzia 26 mpaka 35, hiyo miili mikubwa na mavitambi yasiyoeleweka mnavipata vipi haraka haraka, na ni juzi tu mmetoka shule mkiwa wembamba kama rula, yaani mtu mnafanya kazi sawa, dili za hapa na pale mnapiga wote fresh, lakin mwenzako anafutuka tu...
  4. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Waliowahi hizi fursa miaka ya 2000 hadi 2010 walijetengenezea pesa sana

    1: Kutoa virus kwenye computer 2: Usambazaji wa Vifaa vya solar 3: Internet cafes 4: Uzaaji wa vocha jumla 5: Kusomea na kufahamu lugha nyingin (eng, frnc, chinese,etc)
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume Maskini ana Enjoy wake zake hadi watano, wewe na PhD yako , vyeo kibao, pesa zakumwaga, Mke mmoja tu. Huu sio Ujinga?

    Tena huyo mmoja presha juu. Hulali, huhemi, hukohoi🤣🤣🤣 Mke mmoja anakulinda balaa nafuu ya Bodigadi. Una akili kweli? Na bado anaweza kuzaa nje ya ndoa na akakubambikia. Tusiposhtuka tutabaki kama Zamwamwa. Turudi kwenye Asili yetu mazee.
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwigulu: Anayeongea ndiye Waziri Fedha, mkirudi Majimboni waambieni Wajumbe wenu hakuna awamu imetoa pesa nyingi kama ya Sita

    Waziri wa Fedha, Mwigulu amejigamba Mbungeni kuwa "Anayeonge ndiye Waziri Fedha, mikirudi Majimboni waambieni Wajumbe wenu hakuna awamu tumetoa pesa kama awamu hii ya Sita Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  7. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kicheche anageuka wife material pale anapokuwa ni sexy na mesmerizing. Bandidu anageuka attractive pale anapokuwa na pesa na ushawishi

  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Clatous Chotas Chama anaidai Yanga Mamilion ya pesa

    Naamini kabisa kuna watu wanafanya biashara kupitia hawa wachezaji. Chama huyu ndo alisajiliwa kwa zaidi ya Million 500? Kuna mambo yanaumiza sana wapenda mpira. Watu waliungiza Uongozi chaka.
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Maelezo marefu kumbe agenda kuu ilikuwa ni kuomba kuchangiwa pesa za matumizi binafsi ya kifamilia na za kuendesha chama chake

    Ilifahamika na kuonekana bayana tangu mwanzo, kwamba kiongozi mpya wa chadema hana maono wala mipango madhubuti ya kuendesha chama kwa mipango mikakati maalumu ya kiuchumi na kujitegemea kama vyama vingine vya siasa, Tazama sasa, Maelezo marefu kwa muda mrefu kumbe dhumuni na agenda ilikua ni...
  10. Jack Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Pesa inavyoweza kubadili hisia za Watu hasa Mapenzi

    Pesa siyo kila kitu ila siyo mbaya kuwa nayo,enyi wadogo zangu,wangu na wajukuu zangu wa kiume. Mpo kwenye era mbaya sana, Niwape pole Kwanza. Era yenu kila kitu kinataka pesa eti. kufuga nyweli,kusokota Dredi ,na ubishoo bila hela hakuna kitu kizuri utafaidi. Enzi zetu unapiga msichana...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuondoa hii dhana kwamba Traffic police wapo kwa ajili ya kupata pesa za waendesha magari?

    Ni wakati sahihi wa kuondoa hii dhana iliyojengekea kuwa askari wa usalama barabarani wako kwa ajili ya pesa za waendesha magari (madereva)... iwe kihalali au rushwa ni kuwa kuna dhana kwamba matrafiki wanawaza pesa tu. Hii sio sawa. Mimi naona trafiki wako kwa ajili ya usalama barabarani na sio...
  12. Daby

    JamiiForums Tanzania Wana-uchumi: Dollar ndiyo inatumika katika manunuzi karibu Dunia nzima. Niaminishe USA ha-print pesa na kuzisambaza soko la dunia kupitia manunuzi!!!

    Mataifa mengi yakitaka kununua vitu nje ya nchi yanahitaji Dollar ya marekani. Marekani akihitaji kununua vitu anatumia Dollar. Kitu gani kitamfanya asi-print pesa zake anapohitaji kununua nje? Tanzania hatuwezi ku-print pesa yetu maana hatuwezi kuitumia kununua mafuta let say Iran...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Mjini Dodoma, kumbe Serikali ina pesa nyingi sana. Trump yuko sahihi kufunga. Hatuna sababu ya kuwa Omba omba

    Sherehe zinazofanyika ktk nchi hii chini ya kile chama, bajeti zake ni kubwa mno hata kw akufikiria tu. Uki imagine kwamba hii ni Nchi maskini huku wanatujazia Madeni kila mwaka utaamini kabisa hii mikopo huwa inachelushwa. Trump wa Marekani atakuwa amewashtukia omba omba wote wa Afrika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi mpya CHADEMA wavuruga pesa

    Kwanini kikao kisifanyike makao makuu? Badala ya kufanya Bagamoyo?
  15. cleokippo

    JamiiForums Tanzania machinist chini : pesa za mama samia zinazotokana na 10% ya mapato ya ndani zatafunwa halmashaur ya wilaya ya sengerema

    Chanzo cha habar toka ndani ya ofis ya mkurugenzi halmashaur ya wilaya ya sengerema zinadai kwamba pesa zilizotolewa na mh rais wa jamhuri ya muungano kwa ajili ya kuwainua vijana , akina mama na wazee zinazotokana na 10% ta mapato ya ndani zimetafunwa na ofis ya mkurugenzi wa halmashauri ya...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kinachowapeleka wanajeshi wetu Congo na kwingineko kulinda amani ni pesa na si kingine

    Tanzania ni mshiriki wa jumuia kadhaa za kimataifa na kikanda. Hivyo tumesaini mikataba kadhaa wa kadhaa kwa shinikizo la mabwana zetu. Hao mabwana zetu ambao hugharamia Kila kitu tunapokwenda Congo, Sudan na kwingineko kulinda amani. Pia kwa kufanya hivyo tunapokea misaada ya zana za kivita Ili...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kwa USA: Ni ujinga kutoa misaada halafu tunapelekea pesa China, waarabu, Urusi na Uturuki

    Mange yupo sawa kwa hili https://youtu.be/wMER57zVsfg?si=ZIhQ0ZUpmoGYodnJ Miradi ya treni yote na barabara badala ya kutoa kwa kampuni za Tanzania badala yake wanatoa kwa China
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali

    Mambo yanazidi kua ya moto. Watu wanajiuliza jamaa anapata wapi Hela namna hiii za kumwaga pale Klabuni?.
  19. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna habari kuwa huko Geita watu wanaweka mtego wa fumanizi ili wajipatie pesa

    Nasikia ina watarget zaidi matajiri wa huko Geita, haswa hawa wa migodini. Unakuta mke wa mtu ni chombo anakubaliwa na tajiri mmoja wana plan kukutana lodge then anafumaniwa ghafla na mme wa mtu, so kinachofatia ni mme kuomba fidia ili asichukue hatua yoyote ambayo aliefumaniwa hatapenda...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bernard Morrison: Nimekuja Bongo kujitafuta sio kupata Hela – Muhimu ni kuibakisha KenGold

    Hiki Kiswahili cha BM3 🫰🏽 Mchezaji nyota Bernard Morrison kwenye mahojiano na Azam TV asema amekuja Bongo kujitafuta sio kupata hela, kwani ametoka kupona majeraha sio rahisi kurudi moja kwa moja kwenye timu zenye presha (kubwa) – Muhimu ni kuipambania KenGold kuibakisha Ligi Kuu ya NBC.
Back
Top Bottom