FestoKaguo
Senior Member
- Apr 1, 2022
- 128
- 202
Leo nataka nizungumzie Namna 10 unazoweza kujihusisha nazo kwenye Blockchain Technology & CRYPTOs na ukapiga pesa.
TAHADHARI: Mimi sio mshauri wa mambo yako ya kifedha. Mambo yote niliyoandika hapa ni kwa ajili ya kutoa ufahamu/elimu/uelewa tu. Hakikisha unamtafuta mshauri wako wa masuala ya kifedha kwa uelewa zaidi. Usifanye uwekezaji kwa kitu usichokua na uelewa nacho.
Okay Tuanze.
1. Crypto Investing
Uwekezaji katika CRYPTOCURRENCY upo wa namna nyingi ila kiufupi tu hama tunazungumzia kununua Coins zikiwa na thamani ndogo na kuziuza zikiwa na thamani kubwa. Kwa mfano Solana kwa mwaka huu tu imetoa faida ya 10,000% kitu ambacho kukipata kwenye soko la his au UTT ama kwa Fixed accounts bank ni ngumu.
Ukweli ulio uchi ni kwamba watu wachache sana watatoboa kupitia mlango huu (Off-course kama ilivyo kwa sector zingine za utafutaji, wanaotoboa ni wachache).
Muhimu tu hakikisha umefatilia project vya kutosha(Do your own research), Fatilia website yao ,soma whitepaper yao, angalia Team nyuma ya hiyo project(profile zao n.k), Fatilia social media pages zao, Fatilia transactions zinazofanyika kwenye project yao, etc.
2. Play-to-earn games
Ujio wa Non-Fungible Tokens(NFTs) toka 2017 umelete mapinduzi makubwa kwenye sector ya GAMING. GAMING sasa sio tu mchezo, Yes watu wanaajiriwa kucheza Games, watu wanalipwa kwa kucheza Games(Unacheza game unalipwa cryptos) na unaweza kuziswap to Stablecoins au coin yoyote ile), I mean blockchain imetufikisha mahali leo unaomba kazi ya kucheza Game kama unavoomba ajira ya Ualimu au udaktari na CV yako kabisa Hahhahahh..Games kama AxieInfinity, na HeroesEmpires.
3. NFTs Flipping
Hapa kazi yako ni kuangalia trending #NFTs na kuenda kwenye marketplaces kama opensea.io, halafu unatafuta NFTs zenye volume kubwa unanunua na kuuza kwa bei juu kidogo au unaweka kwenye mnada. Pia unaweza kuwa uanunua NFTs hasa zinazotumika kwenye games na kuziuza kwa Gamers wengine.
4. Blockchain Development
Ni ukweli ulio UCHI mwaka huu utakua na neema sana kwa Blockchain developers.
Kama wewe ni developer au una interest ya kuwa Blockchain developer ni vyema ukaanza kujifunza languages kama SOLIDITY & SUBSTRATE Ili uweze kutengeneza Smart-contracts,NFTs,
Hyperledger, Play-to-earn games, Tokens development, n.k
Kima cha chini cha kipato cha Blockchain developer alieiva ni 100mil Tzs. Personally nimefanya kazi moja au mbili tu ya development 2021 na malipo yake ni mazuri, Nawaza ningekaza nikafanya je! Huh
5. Crypto article writing
Sasa hapa lazima uwe na Writing skills pia uwe na software za kurekebisha makosa ya kisarufi au hire editors, andika articles zako (specific kwa ajili ya crypto)post kwenye blog yako, customize blog/website yako hukosi hela,
kwenye articles weka affiliate links za exchange yako watu wanajisajili unapiga hela.
Contents unapata wapi?👉kuna kitu inaitwa Google Alerts set Alerts za crypto topics utapata notification daily, soma hizo articles toka na article yako, au unaweza tafsiri tu kama articles zako ni za kiswahili.
Article writer ukijua na copywriting ndo unaua kabisa. Unaweza enda mbele zaidi ukaandika E-book on some specific topics let say "Play-to-earn games" in crypto na ukafanya marketing hata miezi 3 hapa JF ukaiuza
Kwa leo nitaishia namba 5 kwanza na kama umekuwa msomaji wa thread zangu haswa zianzohusu mambo ya Blockchain and cryptocurrency plus research writing skills basi nitoe shukrani zangu kwako na endelea kustick na mimi kwa ajili ya tips zaidi
Kama unaguswa na thread zangu unaweza kunipa tip yako hapa Nisapoti - Support Your Favorite Creators ili kuweka motivation zaidi na ubarikiwe sana 🤲