pesa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mafisadi wengi wanafisha pesa nje serikali wekeni majina

    Hii List serikali wanayo lakini kwasababu wengi ni vigogo wa CCM hawawezi kuweka wazi. Pesa inasemekama ni zaidi ya trilioni moja imefichwa nje
  2. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Urafiki umekufa baada ya kudai pesa yangu

    Alikuwa rafiki yangu sana mshikaji sana kila siku ilikuwa lazima kujuliana hali mda mwingine kutembeleana kabisa ushauri mwingi kiufupi ushakiji ulipitiliza tukawa kama ndugu Maisha yaliendelea tu vizuri sasa kuna siku kaniomba nimuazime pesa 30k alijua kabisa nina pesa na lengobla ile pesa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe siyo mwanademokrasia, kwanini amesusa kuwakabidhi ofisi Lissu na Heche?

    Katika hali ya kushangaza, Mbowe hajatokea kabisa leo Katika tukio la kitaifa la kumkabidhi ofisi Lissu. Kwa hali ilivyo ni kama uongozi uliopita umekomba kila shumuni kutoka kwenye akaunti ya chama kabla ya kubwaga manyanga. Mbowe siyo mwanademokrasia kabisa, mnaomsifu mnampaka mafuta kwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa nguvu ya pesa na jicho la tatu

    Kuna vijana ambao tayari wamepigwa za uso na kukosa imani na kijana wa mizimu Bw. Chief, lakini pia kuna ambao hawajui ukweli kuhusu kujiunga nao. Hii yote ni vijana kutaka mafanikio makubwa ya haraka. Ila ukosefu wa akili ya kujiuliza maswali ndo unachangia 🤦🏾 Mfano: 1. Mtu anakuambia njoo...
  5. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Matunda ya mti wa Amarula, tuliyala sana kule kanda ya ziwa, Watu wangu wana angamia sana kwa kukosa maarifa.

    Matunda ya Amarula tumeyala sana utotoni, ni matunda ndani yako kama ilivyo embe sema yana uchachu kwa mbali sana na pia yanalewesha ukila mengi hivyo yulikuwa tunakula kiasi tu. Ukiachana na tunda ila pia kwa ndani kulikuwa na karanga, zile. ndoi haswaa tulikuwa tunapenda ila ni kupasua kwa...
  6. W

    JamiiForums Tanzania usizoee kutembee na vitu vyenye thamani ndani ya gari, camera imewanasa wezi Arusha wakivunja kioo cha gari na kuiba vilivyomo

  7. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: CHADEMA haitakwama kwa kukosa pesa za Mbowe

    Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje. Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI Kumbuka: 1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally...
  8. 3

    JamiiForums Tanzania Ipi ni bora katika kujiajiri na kutengeneza pesa nyingi kati ya software developer na Cyber security

    Habari zenu ndugu polen na majukumu mimi niliuw na penda kujua kati ya software developer na Cyber security ipi inaweza kukutengenezea utajiri mkubwa kwa Tanzania hapa
  9. tang'ana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi nina bahati mbaya,kila mwanamke wa kitanzania ninaemkopesha pesa lazima anidhulumu

    Kwa kweli,sio kwamba nina pesa nyingi la hasha,ni mtu tu ambae sinaga mambo mengi hivyo huwa najitahidi kuwa na kabalance ka kutosha kwenye accounts zangu kwa ajili ya mambo yangu binafsi. So inapotokea mtu akanikopa akaja na sababu za kueleweka huwa siona tabu kukopesha hivi vilaki mbili au...
  10. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Unakuta mwamba anaandika with confidence kabisa: "Wanaosomesha Watoto EMs na ISs wanapoteza pesa tu"

    🤣🤣🤣 Ndugu yangu ukata ni stage ya kila mtu, unapokuwa katika stage hii unakuwa stressed kutokana na limitations za bajeti yako so kinachofatia ni kujifariji kwa maamuzi unayofanya yaliyo ndani ya a "limited budget" , umejitahidi lakini pia haimaniishi ndio maamuzi bora kuliko ulioacha au...
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku hizi hakataliwi mtu, unaombwa pesa mwisho wa siku unakimbia mwenyewe

    Mwanaume akikufata kutaka uwe nae kama ujampenda ata usijisumbue kumkataa kumvunja moyo na kauli za oh sio type yangu sijui nina mtu wangu blah blah blah!! Siku izi mwanaume akikutaka alaf ujampenda we mkubalie tu alaf siku ya pili muombe pesa! Tena pesa ya maana 😀 wanaume wengi awapendi...
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania " Wazazi hiyo pesa ya karo bora umnunulie mwanao mashamba" ... Joseph Mrindoko wa Wachokonozi

    Kwenye video jamaa kafunguka vitu vingi Sana muhimu. Mwenye kusikia na asikie na mwenye kujifanya kipofu aendelee kujifanya kipofu hivyo. Video Yake inapatikana You Tube. Kwenye video jamaa katema madini mengi Sana. Baadhi ya madini aliyo Tema ni pamoja na : 👇👇👇👇 1. Masikini hutengeneza...
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemtongoza juzi Jumamosi, leo kaanza kuniomba pesa

    Wakuu Labda mnisaidie mawazo ili nijue nakimbia au naweka kambi. Huyu binti ni single maza tumekutana juzi kwenye usafiri wa umma nikamtongoza akakubali. Leo asubuhi naamka nakutana na message ya kuombwa 50k. Ikumbukwe hapa bado sijamtia wala sijamgusishia lolote kuhusu kutiana ila kaanza...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Napata kigugumizi mtu anahonga pesa ili awe mbunge

    CCM HUYU MTU HAFAI KABLA HATA HAJAJADILIWA KWA FOMU YAKE YA KUTAKA KUWA MBUNGE... RUSHWA kwenye chaguzi ni mbaya sana! Hatuwezi kukalia kimya matendo machafu sana anayoyafanya huyu mtu anajiita Fred Vunjabei huko Iringa. Anatoa wapi hela ya kulipa madiwani 1,000,000/= TZS ,wenyeviti wa mitaa...
  15. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kuna namna mtu akipata pesa anakuwa na kiburi cha uzima cha hyper pro max

    Majuzi dogo moja gari namba E ya harrier alikuja duka fulani kununua bidhaa. Sasa alipopaki pembezoni mwa duka ng'ambo ya pili ya bara bara kuna lori kubwa la mzigo, kumaanisha alitengeneza double parking ambayo ilipelekea bara bara kuwa finyu. Sasa jamaa mmoja wa bajaji ya mizigo akatokea kwa...
  16. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Pastor Tony: Kwenda mbinguni sio kipaumbele cha mkristo, Pesa ndio kipaumbele

    Anasema ndio maana kitabu kinachohusu watu kwenda mbinguni (ufunuo) kimewekwa mwisho kwa maana sio kipaumbele cha Mungu. Kipaumbele cha mcha Mungu ni Hela au Pesa. Anasema hata ukimuita popote atatetea hoja yake. 👇👇👇👇👇 https://vm.tiktok.com/ZMkHPdmAq/ My take. Miaka ya mwanzoni mwa tisini...
  17. youngkato

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kumfanya Mwanaume Akupatie Pesa Zake au Akuhonge Pesa Nyingi

    Jinsi ya Kumfanya Mwanaume Akupatie Pesa Zake au Akuhonge Pesa Nyingi Kabla ya kuingia kwenye somo hili, ni muhimu kufahamu kuwa uhusiano wa kweli unapaswa kujengwa kwenye msingi wa upendo, heshima, na uwazi. Hata hivyo, kwa wasichana walio kwenye mahusiano, kuna njia za kimaadili za kumfanya...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Laiti mngelijua tunavyoumia sisi walipa kodi tunavyo ona pesa inamwagwa ovyo chadema kuliko kwenye miradi ya maendeleo

    Laiti mngalijua tunavyopambana walipa kodi huku chini naimani mngeziheshimu sana pesa za walipa kodi! Ni rahisi sana wasimamizi wa fedha za serikali kutangaza kiama kwa wakwepa kodi! Lakini pesa zikishaingia kwenye himaya yao wanazitapanya wajuavyo wao! Hili peke yake linavunja sana moyo wa...
  19. Lighton

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuombaomba pesa

    Kusaidiana Kwa binadamu ni desturi nzuri Kumsaidia mpenzi wako katika changamoto mbalimbali za kiuchumi ni jambo la kawaida na muhimu kwenye mahusiano. Yaani unamsaidia mpenzi wako kwasababu kweli anahitaji msaada, Yaani utajitolea Kwa Nguvu zako zote, kwasababu ni mpenzi wako, na kwasababu pia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufisadi wa kutisha ndani ya CHADEMA: Namba ya simu iliyokuwa ikitumika kukusanya pesa za “Join the Chain” siyo ya Chama!

    Aisee, nani angeweza kujua kuwa ndani ya CHADEMA kuna ujambazi wa kutisha wa fedha za wanachama na wananchi. Hiki kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa chama umeibua mambo mazito na kukianika wazi hiki chama kuwa ndani yake kuna mijizi kwelikweli. Leo katika press conference ya Lema...
Back
Top Bottom