Boring businesses zina pesa nyingi sana

Boring businesses zina pesa nyingi sana

FestoKaguo

Senior Member
Joined
Apr 1, 2022
Posts
128
Reaction score
202
Boring businesses zina pesa nyingi sana.

Sababu? Competition ni ndogo na watu wengi wanazidharau kwa sababu “hazipendezi”

Leo nakupa mifano ya biashara za “kukera machoni pa watu” lakini zinapiga hela ile mbaya.
20250426_192904.jpg

1. Kununua na kuuza chuma chakavu maarufu kama Skrepa

Umeona unavyoiona ya hovyo? Ndiyo maana inalipa.

Ukiwa na network nzuri ya mafundi, viwanda, na scrap yards unaweza kugeuza tani za chuma kuwa pesa kila wiki.

Fact: Bei ya kilo 1 ya chuma chakavu ni TZS 500–1,200, depending on type and market ya eneo husika. Tuliowahi okota copper na dagio enzi hizo tunajua hii.
Pia, Margins yake ni nzuri kuliko biashara nyingi za ku-copy Instagram.

2. Huduma za usafi kwa ofisi na taasisi

Cleaning contracts ni "uncool" lakini zinalipa sana.

Fikiria kampuni ina contract ya ofisi 5, kila moja inalipa TZS 500,000 kwa mwezi that's TZS 2.5M stable income.

Na kazi yenyewe? Sabuni, uniform, na watu wachache wenye nidhamu.

No need for flashy marketing, repeat business is king.

3. Kufua mazulia na mablanketi kwa mashine

This is one of the most underrated side hustles.

Ukiwa na industrial washing machine na location yenye access ya maji, unafanya kazi ya maana sana.

Mteja analeta zulia lake kila mwezi — na analipa bila kubembelezwa.

Profit margins ziko juu sana sabuni ni cheap, labour ni local, machine ni one-off investment.

4. Kukodisha vyombo vya harusi na matukio

Ununuzi ni wa mara moja — meza, viti, sahani, mahema.

Lakini rental ni kila weekend. Na watu wanandoa kila mwezi.

Hakuna “off-season” kwenye matukio ya Kibongo.

Boring? Yes.
But the ROI is beautiful.

Pro tip: Weka picha safi za inventory yako, fanya usafi, alafu tengeneza network na event planners.

MWISHO

Watu wengi tunakimbilia biashara zinazotrend mitandaoni, lakini ukweli ni kwamba pesa iko kwenye biashara ambazo hazina “glamour.”

Usidharau biashara kwa sababu haifai ku-postiwa Instagram au facebook.

Boring is the new profitable—Gold Mine.
Nilikuwepo
#dogowanonde
 
Uki kopi taarifa jitahidi uzi elewe kwa kina, hata huyo labella wa tweeter kabwabwaja tu.

industry ya scrapper sio ya kuchukulia simple simple, uki kosea kwenye mzani Ume isha.

vijana waki kuibia nalo tatizo, hatuja jaja kwenye malipo bila agent mzuri wa kununua mzigo kiwandani bado uta hanya ebo!.
 
Mkuu naomba jina la industrial washing machine ya kufua mazulia na mablanketi..
 
Boring businesses zina pesa nyingi sana.

Sababu? Competition ni ndogo na watu wengi wanazidharau kwa sababu “hazipendezi”

Leo nakupa mifano ya biashara za “kukera machoni pa watu” lakini zinapiga hela ile mbaya.View attachment 3316618
1. Kununua na kuuza chuma chakavu maarufu kama Skrepa

Umeona unavyoiona ya hovyo? Ndiyo maana inalipa.

Ukiwa na network nzuri ya mafundi, viwanda, na scrap yards unaweza kugeuza tani za chuma kuwa pesa kila wiki.

Fact: Bei ya kilo 1 ya chuma chakavu ni TZS 500–1,200, depending on type and market ya eneo husika. Tuliowahi okota copper na dagio enzi hizo tunajua hii.
Pia, Margins yake ni nzuri kuliko biashara nyingi za ku-copy Instagram.

2. Huduma za usafi kwa ofisi na taasisi

Cleaning contracts ni "uncool" lakini zinalipa sana.

Fikiria kampuni ina contract ya ofisi 5, kila moja inalipa TZS 500,000 kwa mwezi that's TZS 2.5M stable income.

Na kazi yenyewe? Sabuni, uniform, na watu wachache wenye nidhamu.

No need for flashy marketing, repeat business is king.

3. Kufua mazulia na mablanketi kwa mashine

This is one of the most underrated side hustles.

Ukiwa na industrial washing machine na location yenye access ya maji, unafanya kazi ya maana sana.

Mteja analeta zulia lake kila mwezi — na analipa bila kubembelezwa.

Profit margins ziko juu sana sabuni ni cheap, labour ni local, machine ni one-off investment.

4. Kukodisha vyombo vya harusi na matukio

Ununuzi ni wa mara moja — meza, viti, sahani, mahema.

Lakini rental ni kila weekend. Na watu wanandoa kila mwezi.

Hakuna “off-season” kwenye matukio ya Kibongo.

Boring? Yes.
But the ROI is beautiful.

Pro tip: Weka picha safi za inventory yako, fanya usafi, alafu tengeneza network na event planners.

MWISHO

Watu wengi tunakimbilia biashara zinazotrend mitandaoni, lakini ukweli ni kwamba pesa iko kwenye biashara ambazo hazina “glamour.”

Usidharau biashara kwa sababu haifai ku-postiwa Instagram au facebook.

Boring is the new profitable—Gold Mine.
Nilikuwepo
#dogowanonde
Hizo zote cha mtoto biashara yenye faida chap ni hii ninayo fanya mimi ya kuuza majeneza, vifaa vya mazishi, huduma ya kuzika, kukarabati makaburi na pia soon tunaanza ujenzi wa eneo la makaburi ya kisasa ya kulipia
 
Kwa hiyo weww umeiona ni Fursa ila hata kama hufanyi weww hujamshauri hata Mdogo wako au Yule mjomba aliyechoka akapiga hela?

Easy saying than doing😀😀
wapi nime mshauri mtu afanye au ndio kukurupuka hommie?, mimi nime mjibu Rebeca 83 aina ya washing machine tu.

Next time get your facts right, sio kuja kinyume nyume ndani ya ghetto la wahuni.
 
Uki kopi taarifa jitahidi uzi elewe kwa kina, hata huyo labella wa tweeter kabwabwaja tu.

industry ya scrapper sio ya kuchukulia simple simple, uki kosea kwenye mzani Ume isha.

vijana waki kuibia nalo tatizo, hatuja jaja kwenye malipo bila agent mzuri wa kununua mzigo kiwandani bado uta hanya ebo!.
Hapo hujauziwa chuma Cha railway Kisha uletewe pila utakimbia uache Kila kitu maana mateja wao wanakuuzia vya wizi tu
 
Back
Top Bottom