pesa

  1. Tman900

    JamiiForums Tanzania Huwa sipendi kumpa mtu pesa

    Leo ndo ninemegundua Tatizo langu kubwa ni kutopenda kumpa mtu pesa. Nimeombwa pesa ya Kununulia umeme nikamwambia Tuma miter namba, kilichofuata mtu kaka kimya hajibu sms Wala simu Hapokei. Baada muda akatuma sms "Yaani wewe ni Mgumu sana kumpa mtu pesa, mtu akikuambia anashida unamuuliza...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi uliofanyika mwaka 2020 na kupitisha Wabunge wa CCM kwa mizengwe unalighalimu taifa letu. Hawa sio wabunge ni Wapigaji wa pesa za umma.

    Fuatilia mijadala yao Bungeni kwa ujumla utaona kuwa wapo kwa ajili ya kupata posho na mshahara tu. Mbunge anaropoka hovyo kuwa Watu washughulikiwe kwa kutekwa! Mbaya Zaidi anakazia kuwa Waanziwe wana CCM baadae wapinzani na wasio wapinzani. Msukuma hovyo kabisa... Bunge hili ni lile ambalo...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Ruzuku ya CHADEMA ni Wanachama siyo pesa ya Msajili

    Sio mara ya kwanza kwa Chadema kunyimwa ruzuku, ilishawahi kujiendesha pasipo ruzuku ya serikali kwa zaidi ya miaka 3 bila kuyumba. Chama ni wanachama, kama wanafikiri Chadema itayumba kwa kukosa ruzuku wanajisumbua wao waendelee na project yao ya utekaji. Chama kinaweza kupokea ruzuku kubwa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mbunge Felista Njau atuzwa Pesa Bungeni baada ya kuchangia Bajeti ya Mambo ya Ndani

    Mbunge Felista Deogratius Njau akituzwa pesa leo Jumatatu, Mei 26, 2025, bungeni jijini Dodoma baada ya kuchangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mwaka wa fedha 2025/26.
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mbinu hii itakupa viewers wengi kwenye content yako. Pesa ipo mtandaoni vijana.

    Kwenye safari yangu ya kutumia maudhui ya mtandaoni especially Facebook nimejifunza kitu. Unaweza kuweka content murua kabisa lakini ikawa na views 200 kwa wiki au wiki mbili na ukaweka content ya kawaida kabisa ikapata viewers million 1 kwa siku mbili au moja. Nina account Instagram ila hata...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Haya pesa ya bure hiyo

    Huko kwenye betting napata odds ngapi? Nimeona kwa jicho la tatu matokeo ya kesho
  7. W

    JamiiForums Tanzania Serious Question: Kati ya Pesa na Nguvu za kiume ni kipi Mwanaume hutakiwi kukikosa kabisa ?

    Asie na Pesa nyingi lakini kwenye 6 x 6 ni full package Au Mwenye pesa nyingi ila shughuli hawezi
  8. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa pesa kwa mwanaume

    Mwanaume anakuwa mzuri akiwa na pesa. Mwanaume anapendwa akiwa na thamani. Mwanaume anaogopwa anapokuwa na mamlaka na ushawishi. Mamlaka, thamani na ushawishi yanaleta mafanikio ya kipeasa, kwahiyo mtu mwenye mamlaka, mtu mwenye thamani na ushawishi, mtu huyo ana pesa, na huyu ndio mtu ambaye...
  9. nipo online

    JamiiForums Tanzania nimerudishiwa pesa yangu na DSTV, je naweza itoa kama cash?

    wiki 3 zilizopita nilinunua kifurushi dstv lakini decoder ilikua mbovu Leo nikaomba kunihamishia mwamala wangu na wamenipa, sasa nauliza je, naweza itoa kama fedha kesh? au inatolewa vip? asanteni. Nb kwa sasa nilinunua decoda mpya nilisha lipia ko wamehamishia katika hii decoda mpya
  10. rich1

    JamiiForums Tanzania Walala wa pesa

    Jaman tuambiane mnafanyeje kuongeza kipato kwenye ishu ya miamala....maana sa hivi kila mteja anamiliki Lipa namba.
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ipi ni bidhaa yenye thamani zaidi: PESA au MUDA?

    Pesa ina kupa security na guarantee ya kuvuka mipaka mingi sana. Muda unakupa nafasi na fursa zaidi na zaidi. KARIBUNI.
  12. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Maburungutu ya pesa waliyopewa waandishi wa habari pale Oysterbay yamewachochea kuandika habari za CHADEMA

    Ni wazi waandishi wa habari hivi sasa hawaandiki habari wanazozipata kutoka upande wa uongozi wa CHADEMA ikiwemo mikutano ya No Reform No Election, wao habari kuu pekee wanayoiandika, ni kuhusu wanaohama Chadema kumfurahisha aliyewamwagia maburungutu ya pesa.
  13. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya kinga mvuto wa pesa

    Hii picha ya sigil Tayari ina: Nguvu ya kinga (alama ya jicho na siraha za ulinzi). Mvuto wa pesa (mfuko wa pesa na alama za mafanikio). Vichocheo vya nishati (alama za sayari, nyota, na pentagram). Unachotakiwa kufanya sasa: 1. Ichapishe au ichore kwenye karatasi ya kawaida nyeupe. 2...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Pesa ya nchi inatumbuliwa kisawa sawa kupitia ukarabati wa viwanja vya mpira

    Siku hizi mpaka hapa kuna watu wanakula pesa wakiona nyuzi inagusa wahusika wanafuta.tusijichoshe.
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Katika mila za Kalabari, bi harusi hatacheka wala kutabasamu hadi atakaporidhika na kiasi cha pesa anachomwagiwa wakati wa ndoa ya kitamaduni

  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Private school uchwara na vyombo vya usafiri au ni kukosa pesa

    Hizi shule zikisha weka magari mawili tu nao wanajiona shule ni private school wakati ni kayumba pro max. Watoto mnawarundika kwenye basi utazani ZIP file kwenye computer. Yani ukisema watoke kwenye gari moja ni sawa na madarasa manne ya wanafunzi.
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna ndenge ambayo private jate hipo kwa mtu fulani 2025 naona hii ndege sio makusudi kutumia pesa zetu

    Kuna ndege kama inatumiwa na watu wengine kwa kusingizia kuwa wanaotoa pesa ni watu furani. Ila hii ndege ni kama hipo kusikilizia 2025 someni code
  18. Soul21

    JamiiForums Tanzania TET imekosa ubunifu au ni njia ya utakatishaji wa pesa za serikali

    Mimi naweza kuonekana mkorofi ila mwisho naweza kusema hakuna anayejali elimu ya Tanzania zaidi ya mislaid binafsi. Kumekuwa na semina ambazo hazileti matokeo chanya kwa sababu zinafikia watu wachache huku posho ikiwa njia ya ufujaji wa pesa bila lengo kufikia walimu wote. Natoa rai mfano...
  19. Maleven

    JamiiForums Tanzania Kuepuka usumbufu, nakushauri usitume pesa kutoka Tigo/Yas kwenda mitandao mingine kuanzia saa 12 jioni. Be informed

    Yani tangu Tigo iwe yasi kuna mambo mengi ya kukera lakini kubwa zaidi ni changamoto ya kutuma pesa kutoka Tigo kwenda mitandao mingine has ikifika usiku. Imagine unatuma pesa, kisha wanakwambia usubiri masaa 72 ndio utapata majibu kama pesa itarudi au itafika kwa mhusika. So kujiepusha na...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Wanaotuma na kupokea pesa kwa mitandao ya Simu waongezeka

    WANAOTUMA NA KUPOKEA PESA KWENYE MITANDAO YA SIMU WAMEONGEZEKA Sekta ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeendelea kukua ambapo takwimu zinaonesha kuwa laini za simu zilizosajiliwa zimeongezeka kutoka milioni 73.5 kwa mwezi Aprili, 2024 hadi laini milioni 90.4 mwezi Aprili, 2025 sawa na...
Back
Top Bottom