Faida na hasara za mapenzi yasiyo na pesa vs mapenzi ya pesa

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
529
Reaction score
1,494
Yo! Let’s fcking talk – na leo siongei kwa utani, si cheki na mtu, na wala sibembelezi hisia za mtu yeyote. Kama unajua umeumia na mapenzi, hii ni ya kwako. Kama bado upo kichwani unawaza mapenzi kabla ya kujenga future yako – then you’re the biggest clown in this fcking game!

MAPENZI KICHA KICHA? N*GGA YOU STUPID OR WHAT?
Watu wanadumbwaza na love hadi wana-act kama zombies. Mapenzi bila direction ni kama kutembea jangwani bila maji – unakufa kimya kimya. Vijana mnaingia kwenye mahusiano bila malengo, bila kazi, bila kipato, then mnaanza kutesana, kulia ovyo ovyo, depression, suicide, drugs – all that bullshit! That’s weak sh*t!

VIJANA WA KIUME – MWAMKENI!
Unajitia mpenzi lakini hata kiatu ya elfu tano hununui bila kuchukua mkopo. Btch please! Unampa mtu mimba, then unadissappear – mwanaume gani huyo? Real men hustle hard, get the bag, then talk love. Sio kutembea na condom moja kwa wallet kama license ya kuharibu maisha ya watu. Be a fcking man, not a broke-ass loser! Hustle first, love later.

VIJANA WA KIKE – SHIKA NENO!
Msidanganyike na “napenda personality yako” – that’s fake ass talk. Mwanaume akitaka tu pssy, atajifanya hata pastor. But y’all be falling for the same tricks – then mnalilia kwa rafiki, kwa status, kwa mungu. Don’t date a man who doesn’t know what the fck he’s doing with his life. Kama hana direction, hana vision, hana source of income – that n*gga ain’t for you! Protect your emotions like gold. Your value ain’t between your legs, baby girl – it’s in your brain!

FAIDA NA HASARA ZA MAPENZI YASIYO NA PESA vs MAPENZI YA PESA
Mapenzi bila pesa: ni stress, ni fight za kila siku, ni kulia kwenye godoro lililochanika, ni kuamka asubuhi na ugomvi juu ya sukari. Ni kuolewa kwa machozi, sio kwa harusi.
Mapenzi ya pesa: angalau stress zinakua chache, unaweza smile bila force, unaweza plan future, mnaweza hata pigana lakini mna solve things coz kuna resources. But pia, pesa bila love ni kama sh*t ya dhahabu – inang’aa lakini inanuka!

WITO WA MWISHO –
Sio kila demu ni wa kumuoa, na sio kila mwanaume ni wa kumzalia mtoto. Mapenzi sio fashion, sio trend, sio TikTok challenge – it’s f*cking real life! Tafuta pesa kwanza, jenga akili, jua unachotaka maishani. Then ukiamua kupenda, unapenda kama soldier mwenye silaha, sio kama mjinga aliyeingia kwenye vita na kijiti.

If you ain’t got sht going on in your life, stop falling in love and start building your fcking life!

– THE TRUTH HURTS BUT SAVES. STAY WOKE OR STAY BROKE.
 
Kaka hivi karibuni umekuwa unatia code za muhimu sana kama vile hacker wa mapenzi 🫵🫵😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom