pesa

  1. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania KERO Mifuko ya Hifadhi za Jamii NSSF na PSSSF kwanini mnatesa wastaafu kuwalipa Pesa zao?

    Mazoea yamekuwa desturi, baada ya kuchangia kwa miaka mingi mifuko hiyo hadi kustaafu sasa wastaafu ndio wana kumbana na adha ya kupewa pesa zao utadhani wanaomba kazi upya. Kwanza wanacheleweshewa wakati mifumo ya kustaafu inaeleweka mwezi mmoja kabla mtu hajastaafu. Sasa kesha toka kazini na...
  2. Heritage123

    JamiiForums Tanzania NJIA 10 ZA KUTENGENEZA PESA UKITUMIA CANVA

    Katika makala hii, utajifunza njia 10 rahisi lakini zenye faida kubwa za kutumia Canva kutengeneza pesa — iwe uko shule, kazini au nyumbani. 1. Kuuza Templates (Miundo Tayari) Canva inakuruhusu kutengeneza templates kama CV, kadi za harusi, posta za Instagram, nk. Unaweza kuuza hizi templates...
  3. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia usajili wa timu nyengine, reserve ya pesa waliyonayo, uongozi mathubuti wao basi niishie kusema R.I.P kwa timu yangu Man Utd. Tulikupenda!

    Hakuna pahala tunakwenda! Naona tena tukiwa nafasi ya chini ya namba 10 ikifika hadi december. Glazers wamefyonza pesa, sasa hivi roho iko juu juu katika financial Fair play (FFP), Tuna move katika dirisha la usajili katika sunderland hivi. Namuonea huruma amorim maana hamalizi huu msimu...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Unyani |Biashara ya Manyani

    Natumia muda wangu mwingi sana ONLINE. Moja Kati ya conversation kubwa ni Washkaji wanasemaga ukitaka kutoboa lazima utatue tatizo, Wengine wanaamini zaidi kuwa unalipwa kulingana na TATIZO unalotatua.. Hii Narrative ni nzuri ila inaua ubunifu na vijana wanashindwa kufikiri “sio tu NJE YA BOX...
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Namshauri Lissu akitoka aachane na siasa. Aungane na CCM ale pesa umri umeenda

    Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee. Nimejiuliza anachohangaikia ni kipi, anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake, anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona anateseka, wanaishia kukomenti "no reform no election" mtandaoni kama wanaangalia muvi. Kinachonifurahisha...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naweka challenge hapa. Tukubaliane kiasi cha Pesa. Mwanamke akiweza hili nampa pesa yake

    Vyovyote mtakavyosema. Tangazo, mtego n.k sijali. Nachojali ni hisia zangu na uhuru wa mawazo kwa mujibu wa Katiba na bila kuvunja Kanuni. Najua na wanaume wenzangu baadhi wataunga mkono wanaweza wakawa nao wanapitia changamoto hii. Ikiwa kuna mwanamke naweza nikagegedana naye akawa na...
  7. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI USAID wanagawa pesa

  8. PLOII

    JamiiForums Tanzania Mo ni boss kichechefu anakamua tu Simba; Simba brand kubwa kama hutaki kuweka pesa tuachie timu yetu

    Salute kwenu Wana Lunyasi! Niende kwenye Mada, Mashabiki na wanachama wa Simba tunamkosea Sana Mangungu. Huyu ni kiongozi yupo kama kipofu hata ukimvutia shimoni anaenda maana haoni. Kipindi Simba ipo kwenye peak tulipitisha katiba kwa bashasha na Bodi ya Wakurugenzi ikapewa Meno kuliko...
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtia nia CCM Meatu anavyogawa pesa kwa wajumbe, tumelalamika hatusikilizwi

    Huyo hapo kwenye video anaitwa Hamis Salum Hamis, ni mmoja wa watia nia kupitia CCM nafasi ya Ubunge kwenye jimbo la Meatu Mkoani Simiyu. Hapo yupo katika moja ya kijiji uko kata ya Makao, na yupo na Diwani wa kata hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu anaitwa Anthony...
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Godbless Lema alisema Lissu hawezi kuwa kiongozi kwa sababu hana pesa, hawezi kuendesha chama

  11. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Katika utafutaji tunatarajia wenye umri mkubwa wawe na pesa nyingi na maisha mazuri

    Ni kweli! Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara Inashangaza...
  12. Mupirocin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu, Tumieni njia halali za kutafuta pesa. Mwenzenu yamemkuta

    Doreen habari! Mimi nipo chuo mwaka wa 2 hapa dar.Kuna rafiki yangu amenidhulumu pesa yangu yani amenifanya nifanye mambo machafu ya aibu na hela amekimbia nayo simu yangu hapokei. Naomba nisimulie kidogo dada Doreen Kuna wazungu hawaongei kingereza walikuwa wanahitaji wadada rafiki yangu hizo...
  13. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Sawa Haraka pesa hamjui kalaga baho ni nani, mmeshindwa hata kuwauliza jirani zenu Pesa X na bahari cash au popo cash wananijua kivipi?

    Kausha damu Haraka pesa wamejichanganya kunikopesha elfu 40 wakajua kinyonge. Pesa ile nimepita nayo na hapa wanatumia mbinu walitotumia Wenzao waliopita wakashindwa. Ilifika kipindi mpaka mfanyakaz wa boba cash alikuwa analia anaomba nirudishe japo nusu ya pesa yao nyingine wamenisamehe na...
  14. BabaMorgan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anayekupenda hatakuomba pesa kila wakati

    Simple Research ushawahi kuwa na pisi inayokuelewa to the maximum compared na pisi unayoilewa wewe when it's comes to money Mwanamke anayekupenda hawezi kuwa msumbufu wa kupiga vizinga na kama atakupiga kizinga basi jua kweli amekwama you need to support her. Mwanamke anayekupenda yupo tayari...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Nilimsamehe ila anakosea kudhani nimesahau: ndugu yangu aliewahi kunirubuni pesa anachukia ninapomchunguza anaponiomba pesa, je nakosea ?

    nina ndugu yangu aliewahi kunidanganya vitu vingi ili ajipatie pesa kilaini kwa matatizo hewa nikiwa mbali, maana kama mnavyojua kwa utamaduni wetu watanzania ni kawaida kusaidiana hasa kifamilia. Nilipokuja kugundua na kupata ushahidi nilisikitika sana, aliniomba msamaha nilimsamehe lakini...
  16. proton pump

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wangekuwa na uwezo wa kuumba wanaume wao wangewaumba. Ulimwengu wa sasa kuna vita kali sana kati pesa na mwanamke

    Wasaalam wanajukwaa nina imani mna afya njema. Kadri miaka inavyoenda, karne, kizazi kubadilika ndivyo binadamu hubadilika. Nirudi kwenye mada..... Wanaume wanazidi kupungua sana duniani kutokana na sababu mbalimbali kv; magonjwa, kazi ngumu, mawazo, vita ajali, migogoro, malezi n.k. nimeandika...
  17. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maarifa ni chanzo cha upotevu wa pesa wakati wa ujenzi

    UKOSEFU WA MAARIFA NI CHANZO CHA UPOTEVU WA PESA WAKATI WA UJENZI. Faida za kununua full package ya Ramani Kabla ya Kuanza Ujenzi. 1. Unakuwa na uhakika na Nyumba ya Ndoto Yako itakavyokuwa. 2. Fundi hatoikosea Nyumba ikiwa anajua kuitafsiri Ramani na Kama hajui Iwapo ukiwa umenunua Kwangu...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ili tule pesa ya Shabiby kura ya maoni Gairo ni kumshindanisha na Prof. Joel Mmasa mgombe mwenye nguvu. Tutamchangia pesa ya fomu Profesa.

    Pesa ya mwarabu ni ngumu kutoka hasa amapokuwa na wagombea dhaifu anaowaandaa mwenyewe. Kipindi kilichopita tulinemeka wajumbe kwa sababu Dr. Mmasa wa Udom kuwa tishio kwake hasa kwa usomi wake na umaarufu wa baba yake. Japo hatoi pesa inayoweza kushindana na pesa ya Shabiby. Kijana huyu msomi...
  19. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini ujauzito na Uzazi huwapenda watu wasio na pesa?

    Habari wadau, binafsi najiuliza Kwa nini ujauzito na uzazi huwapenda watu wasio na pesa? hawa watu, wanapata mimba kwa urahisi sana na haziharibiki na wanazaa bila matatizo. Ila sasa wale wenye pesa wanateseka sana kuanzia kupata mimba, miscarriage na hata uzazi wenye mateso mengi. Why...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

    Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:- Degree 170k *7 Diploma 150k*7 Certificate 100k*7...
Back
Top Bottom