pesa

  1. SI KWELI USAID wanagawa pesa

  2. Mo ni boss kichechefu anakamua tu Simba; Simba brand kubwa kama hutaki kuweka pesa tuachie timu yetu

    Salute kwenu Wana Lunyasi! Niende kwenye Mada, Mashabiki na wanachama wa Simba tunamkosea Sana Mangungu. Huyu ni kiongozi yupo kama kipofu hata ukimvutia shimoni anaenda maana haoni. Kipindi Simba ipo kwenye peak tulipitisha katiba kwa bashasha na Bodi ya Wakurugenzi ikapewa Meno kuliko...
  3. K

    GE2025 Mtia nia CCM Meatu anavyogawa pesa kwa wajumbe, tumelalamika hatusikilizwi

    Huyo hapo kwenye video anaitwa Hamis Salum Hamis, ni mmoja wa watia nia kupitia CCM nafasi ya Ubunge kwenye jimbo la Meatu Mkoani Simiyu. Hapo yupo katika moja ya kijiji uko kata ya Makao, na yupo na Diwani wa kata hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu anaitwa Anthony...
  4. PreGE2025 POTOSHI Godbless Lema alisema Lissu hawezi kuwa kiongozi kwa sababu hana pesa, hawezi kuendesha chama

  5. Katika utafutaji tunatarajia wenye umri mkubwa wawe na pesa nyingi na maisha mazuri

    Ni kweli! Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara Inashangaza...
  6. Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu, Tumieni njia halali za kutafuta pesa. Mwenzenu yamemkuta

    Doreen habari! Mimi nipo chuo mwaka wa 2 hapa dar.Kuna rafiki yangu amenidhulumu pesa yangu yani amenifanya nifanye mambo machafu ya aibu na hela amekimbia nayo simu yangu hapokei. Naomba nisimulie kidogo dada Doreen Kuna wazungu hawaongei kingereza walikuwa wanahitaji wadada rafiki yangu hizo...
  7. Sawa Haraka pesa hamjui kalaga baho ni nani, mmeshindwa hata kuwauliza jirani zenu Pesa X na bahari cash au popo cash wananijua kivipi?

    Kausha damu Haraka pesa wamejichanganya kunikopesha elfu 40 wakajua kinyonge. Pesa ile nimepita nayo na hapa wanatumia mbinu walitotumia Wenzao waliopita wakashindwa. Ilifika kipindi mpaka mfanyakaz wa boba cash alikuwa analia anaomba nirudishe japo nusu ya pesa yao nyingine wamenisamehe na...
  8. Mwanamke anayekupenda hatakuomba pesa kila wakati

    Simple Research ushawahi kuwa na pisi inayokuelewa to the maximum compared na pisi unayoilewa wewe when it's comes to money Mwanamke anayekupenda hawezi kuwa msumbufu wa kupiga vizinga na kama atakupiga kizinga basi jua kweli amekwama you need to support her. Mwanamke anayekupenda yupo tayari...
  9. W

    Nilimsamehe ila anakosea kudhani nimesahau: ndugu yangu aliewahi kunirubuni pesa anachukia ninapomchunguza anaponiomba pesa, je nakosea ?

    nina ndugu yangu aliewahi kunidanganya vitu vingi ili ajipatie pesa kilaini kwa matatizo hewa nikiwa mbali, maana kama mnavyojua kwa utamaduni wetu watanzania ni kawaida kusaidiana hasa kifamilia. Nilipokuja kugundua na kupata ushahidi nilisikitika sana, aliniomba msamaha nilimsamehe lakini...
  10. Wanawake wangekuwa na uwezo wa kuumba wanaume wao wangewaumba. Ulimwengu wa sasa kuna vita kali sana kati pesa na mwanamke

    Wasaalam wanajukwaa nina imani mna afya njema. Kadri miaka inavyoenda, karne, kizazi kubadilika ndivyo binadamu hubadilika. Nirudi kwenye mada..... Wanaume wanazidi kupungua sana duniani kutokana na sababu mbalimbali kv; magonjwa, kazi ngumu, mawazo, vita ajali, migogoro, malezi n.k. nimeandika...
  11. Ukosefu wa maarifa ni chanzo cha upotevu wa pesa wakati wa ujenzi

    UKOSEFU WA MAARIFA NI CHANZO CHA UPOTEVU WA PESA WAKATI WA UJENZI. Faida za kununua full package ya Ramani Kabla ya Kuanza Ujenzi. 1. Unakuwa na uhakika na Nyumba ya Ndoto Yako itakavyokuwa. 2. Fundi hatoikosea Nyumba ikiwa anajua kuitafsiri Ramani na Kama hajui Iwapo ukiwa umenunua Kwangu...
  12. T

    Ili tule pesa ya Shabiby kura ya maoni Gairo ni kumshindanisha na Prof. Joel Mmasa mgombe mwenye nguvu. Tutamchangia pesa ya fomu Profesa.

    Pesa ya mwarabu ni ngumu kutoka hasa amapokuwa na wagombea dhaifu anaowaandaa mwenyewe. Kipindi kilichopita tulinemeka wajumbe kwa sababu Dr. Mmasa wa Udom kuwa tishio kwake hasa kwa usomi wake na umaarufu wa baba yake. Japo hatoi pesa inayoweza kushindana na pesa ya Shabiby. Kijana huyu msomi...
  13. M

    Kwa nini ujauzito na Uzazi huwapenda watu wasio na pesa?

    Habari wadau, binafsi najiuliza Kwa nini ujauzito na uzazi huwapenda watu wasio na pesa? hawa watu, wanapata mimba kwa urahisi sana na haziharibiki na wanazaa bila matatizo. Ila sasa wale wenye pesa wanateseka sana kuanzia kupata mimba, miscarriage na hata uzazi wenye mateso mengi. Why...
  14. A

    DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

    Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:- Degree 170k *7 Diploma 150k*7 Certificate 100k*7...
  15. Nawezaje kuingiza pesa kwa njia ya mtandao?

    Habari wana jf Nimekuwa nikisikia na kuona watu wengi wamekuwa wakiongelea issues za kuingiza pesa kupitia mtandao kama vile freelancing,upnetworking e.t. Sasa nimetamani sana kujua na kujifunza zaidi michakato hiyo kwa sababu nahisi mwanga ila nipo gizani.naweza kupata mtu wa kunishika mkono?
  16. Ng’ombe wa Maziwa Mjini: Dili Unaloishi Nalo Bila Kulijua!

    Wengi huamini kwamba ufugaji wa ng’ombe ni shughuli ya mashambani au vijijini pekee. Lakini ukweli ni kwamba — mjini ndiko kuna fursa ya haraka, ya uhakika, na yenye faida kubwa! Jiulize: Unayo nafasi ya kujenga banda? Kiwanja cha familia? Kiambaza kisichotumika? au sehemu ndogo iliyobaki...
  17. Wakuu je mshahara wa Mbunge ni Mkubwa kuliko wa mkuu wa Mkoa ? Au Watu wanaacha ukuu wa mkoa ili wakale pesa za bure za kugonga meza!?

    Kwa ninavyojua MTU Kama Makonda hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi ni vile anabebwa na mfumo. Je Makonda ameamua kuingia kugombania ubunge ili ajiondoe katika Kazi zenye Pressure Kama U-RC na U-DC !? Au kaamua kufukuzia Mshahara Mkubwa ambao ubapatikana bila kufanya Kazi ambazo ni mil 18...
  18. NSSF wanalipaga tarehe ngapi pesa za Kila mwezi?

    Hello, Kama ushapata mafao ya kukosa kazi NSSF Kwa miezi mitatu. NSSF Wana utaratibu wa kukulipa 33% ya mshahara Kwa miezi sita. Je malipo ya Kila mwezi ulipwa tarehe zipi za mwezi?
  19. Pesa ndo Kila Kitu kwenye Hii Dunia

    Tembea ufurahi
  20. Tetesi: Hakuna Mbunge wa kuletea Jimbo maendeleo unlesss atumie pesa zake mwenyewe, Hizi Mindset ni za kijinga sana.

    Maendeleo ya nchi yataletwa na sera nzuri za kitaifa sio za Jimbo moja la uchaguzi au Mbubunge pale Jimboni kwake.Hizi hadaaa zina tucost sana. Hizi mindi set ndio hufanya wananchi mfano kule Vunjo walimchagua Kimei waki connect na CRDB Bank kwamba labda pesa za CRDB zitahamishiwa vunjo na raia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…