pesa

  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Wananchi wa Kipunguni wanalipwa lini pesa zao? Wezi wanavamia nyumba, kumebaki mapori tu

    Mh Waziri Mkuu, Hongera kwa Mungu kukupa nafasi uliyonayo na kazi unayoifanya. Pongezi kubwa kwako. Nianze kutoa malalamiko yangu kuhusu yanayoendelea Kipunguni. Wananchi wa Kipunguni wanakusubiri urudi waje ofisini kupiga magoti. Wanaumizwa na majambazi, wanakufa kwa presha, kisukari na...
  2. JamiiForums Tanzania Kama unaona mimi ni bahili sana kwenye kutumia pesa zangu, nipe zako ntumie unavotaka

    Habari wana JF, Kuna tabia imekuwa ya kawaida siku hizi - mtu anakupangia jinsi ya kutumia pesa zako. Ukihifadhi, unasemwa ni bahili. Ukipanga bajeti, unasemwa huna moyo wa kutoa. Ukikataa matumizi yasiyo na mpango, unasemwa una roho ngumu. Lakini swali langu ni moja tu: Kama unaona mimi ni...
  3. JamiiForums Tanzania Kipi kinakupotezea pesa na kuharibu uchumi wako

    Najua kuna wahanga wa hizi mambo hebu weka kura yako halatu tusaidiane kujinasua
  4. JamiiForums Tanzania Unapotaka kuishi kama upo Saudi Arabia hakikisha una pesa ya kutosha

    Kuna bodaboda leo nmemtuma akaniletee futari yangu pendwa "kitimoto" ili niiandae mapema kabla ya mda wa kufuturu, sasa namuagiza anasema eti yeye hawezi kubeba nyama ya Nguruwe kwani amefunga nadini yake hairuhusu. Sikilizeni nyie, hao mnaowaiga wana pesa na visima vya mafuta, wewe upo huku...
  5. O

    JamiiForums Kenya Mapenzi Iko Sawa, Pesa Hakuna: Would You Marry While Broke?”

    Unakubalia na views za huyu mwenzetu,. Toa maoni yako
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti maalum ya sekta zinazoongoza kwa ufujaji na matumizi mabovu ya pesa za vijana wa Kitanzania

    1)Idara ya uzinzi Ni sekta namba Moja Ambayo ,imeonekana Kuwa na matumizi mabovu mno ya Fedha ,vijana wamekengeuka ,Wanahonga sana michepuko na girlfriends ukilinganisha na bei Elekezi. Kijana anaamua kujilipua kuingia mahusiano yenye gharama kubwa sana kwasababu ya kupagawishwa na shepu na...
  7. JamiiForums Tanzania LHRC yalaani tukio la Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha kutekwa na kuuawa

    Pia soma ~ Jeshi la Polisi lasema linafanya uchunguzi kifo cha Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi hesabu za bolt bodaboda nawahurumia, pesa wanaingiza hadi laki kwa siku ila kinachobaki kidogo

    Mfano Hesabu 100,000 TOA Kamishen ya bolt 24% - 24,000 Mafuta - 20,000 Chakula - 10,000 Ofa za bolt kwa wateja - 10.000 kifurushi - 2,000
  9. JamiiForums Tanzania Responded Selcom: Unaweza kuweka salio kwenye N-CARD yako kwa kutumia Selcom Pesa

    Mara baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kulalamikia huduma ya Kazi za N-CARD katika kuweka fedha, inayowalazimu kupanga foleni wakati wa kuitumia katika Kivuko Kigamboni, ufaafanuzi umetolewa na Selcom. Kama hukusoma andiko la Mdau bofya hapa ~ Kwanini N-CARD hawana App inayowezesha...
  10. JamiiForums Tanzania Kero kwa Airtel money pind unapotuma pesa wakala kwenda kwa wakala mkuu.

    Habar ndugu zangu.... Kunachangamoto na hatari kwa sisi ma wakala wakati wakutuma pesa Airtel kwenda kwa wakala mkuu, hawaonyesh jina mpaka pesa iende ndio jina linakuja, kwa utaratibu huu mliounzisha Airtel n hatari sana kwa sisi mawakala kupoteza pesa.
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wanatoa wapi pesa za kujenga viwanja vya michezo bila kukopa?

    Kwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi tuombe mkopo. Tanzania ni mwenyeji wa AFCON 2027, kiwanja tunachokitegemea ni Benjamin Mkapa nacho...
  12. JamiiForums Tanzania Mfumo wetu wa utawala wa sasa hatuhitaji kupoteza pesa kulipa wabunge, tuige NPC China

    Bunge kama la Tanzania huwa na maana pale nchi inapokuwa ni ya kidemokrasia na mihimili mitatu ya utawala iko huru. Unapokuwa na mfumo wa utawala ambao serikali inaloamua ndilo linakuwa huku bunge likiwepo kugonga muhuri tu bila kuwa na uwezo wa kuiwajibisha serikali kunakuwa hakuna sababu ya...
  13. JamiiForums Tanzania POTOSHI TEC hali tete kama kawaida yao wanataka pesa

    Wanaukumbi. Baraza la ma askofu TEC linaomba Msaada lisaidiwe na serikali. Maombi yakikataliwa wananua. Hali tete leo hii ndiyo wanamtambua Rais Samia wanaomba msaada, Rais Samia achana na hawa wamezoe kudekezwa waendelee kutoa matamko. Wasubiri umalize muda wako pesa hamna zinapelekwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mke wangu hana bajeti na hajali, anataka tukipata pesa tutumie hadi ziishe

    Mimi na mke wangu tuna miaka minne sasa na tumebahatika kupata Watoto wawili, awali nilikuwa na maisha magumu sana, lakin kwa sasa ipo nafuu siyo kama mwanzo. Changamoto ni kwamba mke wangu yeye yuko bize na pesa tu yaani ku-plan pesa ninayoipata tu-balance tufanye jambo la kutuinua kiuchumi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Samia, Kikwete na genge lao hawajali usalama zaidi ya familia zao na pesa

    Huo ndiyo ukweli ndiyo maana funga funga ya wakina Lissu inaendelea, utekaji usio na tija unaendelea, rushwa inaendelea, undugu kwenye uongozi unaendelea , upendeleaji wa vijana wa Kizanzibari unaendea, mikataba bila ufuatiliaji ya kifisadi inaendea, mauaji ya vijana mpaka leo hakuna mwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Wezi waliojifanya maafisa wa polisi, wamepora pesa kwenye gari la kubeba Pesa huko Italia

    Tukio hili limetokea mchana kwenye barabara moja huko Italia baada ya wezi kuisimamisha gari ya pesa na kuipora.. wawili wamekamatwa... Tukio hili limenikumbusha filamu moja ya Money heist inayoitwa HEAT ============== Genge lenye silaha limefanya shambulio la mchana kwenye gari la...
  17. JamiiForums Tanzania KERO TTCL Fiber Kimara Temboni tumedhulumiwa pesa zetu

    Mlikuja vizuri, mkatufungia router ndani, mkachukua details zetu na mkatutumia control number tukalipia 55,000. Cha kusikitisha tangu tulipie mwaka jana mwezi wa 8 hadi leo huduma haijawahi kupatikana. Tukiuliza tunajibiwa kuwa Power hakuna kwani wateja wamejaa. Tafadhali sana turudishieni pesa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutolipwa Pesa za Kujikimu kwa Watumishi wa Ajira Mpya (Idara ya Afya) Manispaa ya Kigoma/Ujiji

    Sisi watumishi wa Idara ya Afya tulioajiriwa tarehe 23 Juni 2025 katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji, tunatoa malalamiko yetu rasmi kuhusiana na kutolipwa kwa pesa zetu za kujikimu ambazo kisheria na kiutaratibu zilipaswa kulipwa mara baada ya kuajiriwa. Hadi kufikia sasa, tumetumikia kwa kipindi...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutolipwa na serikali kwa wakulima wa mahindi Kanda ya Songea

    Wakulima waliouza mahindi Hifadhi ya Taifa ya Chakula kanda ya Songea hatujalipwa fedha zetu tangu September 2025 Hadi Sasa kimyaa. Wakulima wameshindwa kurudi shambani wengine mahindi yanaharibika shambani kwa kukosa pembejeo hasa mbolea. Tunaomba Waziri wa kilimo aingilie kati, hasa sisi...
  20. JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinaondosha baraka za Pesa kama zinaa/Pombee

    Narudis Hakuna kitu kinaondosha baraka ya pesa kama zinaa na pombee Ukishapataa tu ukaanza kuinunulia Malaya kuinunulia Pombe hata ukiitolea sadaka ya kujimaliza. Kitaumanaa tu Namaanisha imeingia najiisiiiii Na ikishaingia najisi tu Ukishainajisi basi mda si mrefu zilizopo zote zinapotea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…