pesa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Bibi anasema "Tusiilaumu serikali kwa tozo mpya, bali tubadili mfumo wa kuhifadhi na kutumiana pesa"

    Nimefuatilia mijadala mbali mbali kuhusu ongezeko la gharama na tozo mpya za miamala ya kifedha kwa upande huduma wa mitandao ya simu za mkononi. Mjadala umekuwa mkubwa sana kwenye mitandao mbalimbali. Wananchi wanalalamikia ongezeko la tozo hizi huku kiasi kikubwa cha makato (tozo) hizo...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumjua mwanaume mwenye pesa

    Ukitaka kujua mwanaume mwenye pesa angalia mavazi yke. Wanaume wengi wenye pesa huwa hawapendi kuvaa nguo nyingi huwa wanavaa simple na wengi wao wanapendelea sportswear. Sio sportswear za mitumba au fake namanisha zile original kama Nike, Adidas, Reebok, puma, fila, champion, kappa, asics...
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu tutumieni nafasi hii adhimu ya kupanda gharama za miamala kuwataka wanawake waijie pesa tunapoishi ili iwe win-win event

    Huu ndiyo ukweli, jana nimemla mmoja baada ya kumwambia siwezi kumtumia pesa maana makato ni makubwa mno. Naye akasema aje ili aichukue personaly na akapelekewa moto. Tutumieni nafasi hii kuwala hawa mamluki wa Lucifer.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia haupigi mwingi tena, kuna dalili za kutosha kuwa Uchumi utamuelemea

    Zipo kila dalili kuwa hali ya uchumi kwenye utawala huu wa Rais Samia unaenda kuwa fyongo! Hali hii itaenda kuyafanya maisha ya wananchi kuwa magumu sana. Nimeangalia kwa mfano viwango vipya vya tozo za miamala ya kutuma fedha na kutoa fedha kupitia mitandao ya simu, Gharama zake zimeongezeka...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna taifa linaloweza endelea kwa kuongeza tozo bali kwa kuchochea uzalishaji

    Hili jambo limetufika wote na linatuathiri sote hawa watu wamedhamiria kutufanya tuzidi kuwa masikini huku wao wakineema. Dunia nzima Hakuna tozo kama hizi,tupeana maujuzi zaidi jinsi ya kukwepa dhuluma hizi tutumie nini sasa kufikisha pesa tutumie uber, bodaboda, parcel,mtu,konda, haingilii...
  6. JamiiForums Tanzania Kuhusu ongezeko la kutuma na kupokea pesa kwenye mihamala ebu tuache kulialia jamani

    Kwenye hili la ongezeko la hela ya tozo kwenye mihamala ebu watanzania tuache kulia kulia ayo ndio maendeleo na kwani kabla azijakuwepo hii huduma tulikuwa tunatumia huduma gani ebu tuache serikali ifanye kazi ituletee maendeleo sio kila jambo kulalama tu .serikali mpk kuweka hili imeshakaa...
  7. JamiiForums Tanzania Tozo za miamala : Wananchi wajibu mapigo waamua kusafirisha pesa zao wenyewe

    Dawa ya moto ni moto , Hata kama ni hatari lakini hakuna jinsi .
  8. JamiiForums Tanzania Naona Anguko la SIM Pesa

    Habari wakuu bila shaka leo ndio tarehe yenyewe yaani mabadiliko ya miamala kwenye mifuko ya simu yameanza kutumika. Bila shaka kila mtu ambaye anafanya miamala kwenye simu amekumbwa na hilo pia najua limewasikitisha na hapo ndo maana halisi ya neno la Rais Samia kwamba wampe mda ajenge kwanza...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Mifumo yetu ya malipo, Benki, utumaji pesa na ulipaji Kodi kuendana na Kasi ya Teknolojia (kutumia Blockchain technology)

    Mifumo yetu ya malipo, Benki, utumaji pesa na ulipaji Kodi iendane na spidi ya Teknolojia (kutumia Blockchain technology). Blockchain technology ni teknolojia mpya iliyogunduliwa mwaka 2008 na kushika kasi kuanzia 2014, ni mfumo madhubuti ambao ni ngumu Ku hack na kuiba data au pesa. kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ada mpya za kutuma na kutoa pesa kwa Tigo Pesa

  11. JamiiForums Tanzania Anaomba nimsaidie pesa, sitampa maana kipindi cha mahusiano yetu hakuwahi kunipa penzi

    Kuna mwanamke kwenye mwaka 2011 nilikuwa namtaka na nilimpenda sana, viela vyangu vidogo dogo alikula sana, wacha mahitaji mengine, kipindi hiko yeye ana umri wa 21yrs, nilimpenda aswaaaa, kala sana viela vyangu kipindi hiko. Ila pamoja na kumjali kote hakuwai kunipa penzi kipindi hiko...
  12. JamiiForums Tanzania Napendekeza matumizi ya taxify na Uber kwenye kutuma na kupokea pesa; Je, inawezekana?

    Unaweka pesa kwenye bahasha, kisha unatumia application ya Taxify / Uber na kuita chombo cha usafiri kilichokaribu, kisha unamkabidhi mzigo ila humwambii kuna nini ndani na kumpa maelekezo ya wapi apeleke. Je, hii inawezakana?
  13. JamiiForums Tanzania Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

    KUMBUKA • Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa • Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako • Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Hii ni Orodha ya Kazi zilizodharaulika mwanzoni lakini zikiwa na pesa nyingi

    Miaka michache nyuma kabla ya ajira kuwa kitendawili (kuwa adimu)kuna kazi hazikupendwa kabisa japo zilikuwa na pesa nzuri sana. 1.MAMA NTILIE/BABA NTILIE. Kwanza ilionekana kazi wanayofanya watu duni wasiokuwa na elimu. Wasiokuwa na kazi walikuwa tayari kukaa nyumbani kuliko kufanya kazi hii...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali isitishe zoezi la sensa mwakani 2022 ili pesa hizo zitumike kuboresha Sekta ya Kilimo

    Huu ni ushauri tu, Suala la sensa limetumika kipindi cha kale kuweza kupeleka huduma eneo husika. Mathalani nchi yetu haina mass internal migration ya watu na ongezeko la watu kwa nchi yetu linachangishwa na factors mbili tu ambazo ni birth rate factors and mutality rate factors tofauti na hapo...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango muoneshe Waziri wa Fedha wapi ulikuwa unapata pesa za kufanya miradi ili asiumize wananchi

    Naomba utawala huu uwe makini sana katika maamuzi yanayokwenda kugusa maisha ya Mtanzania kwa sababu Watanzania bado wanamachungu sana na majonzi sasa Serikali iliyopo badala ya kutufariji inatuongezea tabu. Muwaulize wenzenu walikuwa wanakusanya wapi kodi mnasababisha mfumuko wa bei usio wa...
  17. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi namna ya kugawana pesa za Simba SC Tanzania

    Nimeona kuna wanajiita wachambuzi au wanamichezo wanapotosha makusudi ama hawajui haya mambo. Wanadai azam media wakiipa pesa Simba kupitia mkataba wa haki za matangazo basi mudi atakata 49% kinachobaki ndo kinaenda Simba SC Tanzania. Huo ni uongo na upotoshaji. Hesabu za kupata gawio...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa bei ya sasa ya kilo ya giligilani kwa masoko ya Dar

    Wasalam wakuu, naomba kufahamishwa mwenye kujua bei ya sasa ya kilo ya giligilani kwa masoko ya Dar.
  19. A

    JamiiForums Tanzania Pesa kwenye giligilani

    Wasalam wadau, bila shaka tu wazima kwa ulinzi wa Mungu. Naomba kufahamishwa kwa mwenye kujua bei ya kilo ya giligilani kwa mosoko ya dar.
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Prof. Palamagamba Kabudi, jitokeze na ulieleze Taifa hii mikopo na misaada ya pesa za kupambana na COVID-19 zimetumika vipi

    Habari Wana Kijiji, Binafsi nimeshtuka sana, mpaka nlidodosha bakuli langu la pombe ya kienyeji jana usiku nlipokuwa kilabuni baada ya kupata habari hizi za kuogofya na kushtua. Habari zenyewe ni baada ya kuambiwa wale jamaa zetu wanaotupa misaada kama taifa, misaada wanayotupa ya kila mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…