Pata machukizo kukaa na pesa cash

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,602
Huu ni ushauri wa bure.. usikubali kuishi na pesa cash, iwe ipo mkononi ama ipo kwenye account.

Jiulize mwenyewe, ni kwanini ukishakuwa na pesa yanaibuka matatizo ambayo utatuzi wake ni hiyo pesa?

Utashangaa unapokea simu mama ako kalazwa, mjomba kapata ajali, umeibiwa site mirror ya gari, betri ya gari imekufa.. (Na jiulize kwanini mambo kawa haya hutokea pindi tu unapopata pesa) .. hii black magic inayoletwa na pesa.

Pesa ina some kind of Magic yenyewe kama yenyewe. Huwa inapenda kuzunguka na sio ku settle sehemu moja..

Maana yake ni kwamba 'pesa siku zote ipo kwenye mzunguko' Usipoizungusha kwenye mambo yenye manufaa na ukabaki nayo cash mfukoni, yenyewe itajizungusha kwenye mambo ya dharura yasiyo kwenye mipango.

Siku zote kama huna matumizi na pesa, pindi unapoipata jaribu kuiwekeza kwenye near cash au amana ambazo zinakaribiana na cash kama vile bonds, bills, ama stocks, au hata gold na silver.

Ukishawekeza pesa cash kwenye hivo vitu, maana yake mfukoni utakuwa huna pesa na hapo hapo unaondokana na ile jinamizi ya kupata matatizo kwasababu unazopesa.

Hii ni personal finance.. 101..

Good morning people...
 
Asante mkuu.
Awali nilikuwa nikishangaa sana mtu unayemwona kabisa ameinvest na una kila sababu ya kusema huyu mtu pesa anayo, cha kushangaza anakwambia mfukoni hana pesa kabisa. Kwa maana hiyo pesa yake haikai kai kizembe inazalisha pesa nyingine.
 
Kweli kabisa pesa ikikaa huleta matatizo au starehe zisizo na maana Ila boss ata kidogo ya kutatulia matatizo iwepo Kwa mwezi ukiwa unaweza 50 kwenye account ya mtoto au 30 ni Jambo zuri sana maana Kuna kipindi linatokea zali la kuitaji pesa na ww huna Hadi ukop
 
Huu ni ushauri wa bure.. usikubali kuishi na pesa cash, iwe ipo mkononi ama ipo kwenye account.

Jiulize mwenyewe, ni kwanini ukishakuwa na pesa yanaibuka matatizo ambayo utatuzi wake ni hiyo pesa?

Utashangaa unapokea simu mama ako kalazwa, mjomba kapata ajali, umeibiwa site mirror ya gari, betri ya gari imekufa.. (Na jiulize kwanini mambo kawa haya hutokea pindi tu unapopata pesa) .. hii black magic inayoletwa na pesa.

Pesa ina some kind of Magic yenyewe kama yenyewe. Huwa inapenda kuzunguka na sio ku settle sehemu moja..

Maana yake ni kwamba 'pesa siku zote ipo kwenye mzunguko' Usipoizungusha kwenye mambo yenye manufaa na ukabaki nayo cash mfukoni, yenyewe itajizungusha kwenye mambo ya dharura yasiyo kwenye mipango.

Siku zote kama huna matumizi na pesa, pindi unapoipata jaribu kuiwekeza kwenye near cash au amana ambazo zinakaribiana na cash kama vile bonds, bills, ama stocks, au hata gold na silver.

Ukishawekeza pesa cash kwenye hivo vitu, maana yake mfukoni utakuwa huna pesa na hapo hapo unaondokana na ile jinamizi ya kupata matatizo kwasababu unazopesa.

Hii ni personal finance.. 101..

Good morning people...
Hujielewi wewe, wengine wanasema matatizo yanakuja wakati hawana pesa, wewe unasema yanakuja ukiwa na pesa, means wote ni waongo, maisha hayana formula, sitachoka kusema hili, sitachokaaaaa
 
Mkuu, leo umenitanzulia kitendawili cha miaka nenda rudi kuhusu suala la matatizo kuibuka kila nipatapo pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda inategemea na na aina za binadamu mimi nikiwa na pesa hata mafua ya naogopa kumuanza mtu wangu wa karibu iwe ndugu jamaa

Ila nikiwa sina hela ujue kila aina ya tatizo litakuja mara hiki mara kile yaan shida

Ndio maana najitaid sana lazima niwe na akiba hata m1 tu yaan hiyo hata iweje sitoagi ndio naishi kwa mfumo huu
 
Huu ni ushauri wa bure.. usikubali kuishi na pesa cash, iwe ipo mkononi ama ipo kwenye account.

Jiulize mwenyewe, ni kwanini ukishakuwa na pesa yanaibuka matatizo ambayo utatuzi wake ni hiyo pesa?

Utashangaa unapokea simu mama ako kalazwa, mjomba kapata ajali, umeibiwa site mirror ya gari, betri ya gari imekufa.. (Na jiulize kwanini mambo kawa haya hutokea pindi tu unapopata pesa) .. hii black magic inayoletwa na pesa.

Pesa ina some kind of Magic yenyewe kama yenyewe. Huwa inapenda kuzunguka na sio ku settle sehemu moja..

Maana yake ni kwamba 'pesa siku zote ipo kwenye mzunguko' Usipoizungusha kwenye mambo yenye manufaa na ukabaki nayo cash mfukoni, yenyewe itajizungusha kwenye mambo ya dharura yasiyo kwenye mipango.

Siku zote kama huna matumizi na pesa, pindi unapoipata jaribu kuiwekeza kwenye near cash au amana ambazo zinakaribiana na cash kama vile bonds, bills, ama stocks, au hata gold na silver.

Ukishawekeza pesa cash kwenye hivo vitu, maana yake mfukoni utakuwa huna pesa na hapo hapo unaondokana na ile jinamizi ya kupata matatizo kwasababu unazopesa.

Hii ni personal finance.. 101..

Good morning people...
Anhaa kumbe wale wanaotuambia kuwa wako watanzania wenye asili ya kiasia huwa wanazihifadhi nyingi tu ndani ni uongo kumbe?!!!!

Anhaaa kumbe matajiri pamoja na kuwa nazo nyingi huwa hawazihifadhi za "kiasi" ndani?!!

Anhaaa kumbe matajiri wanaogopa "kushika" fedha nyingi CASH kwa kuwa matatizo yatajitokeza ,watu kuomba misaada na kisha kuzitoa eeee?!!!
 
Hujielewi wewe, wengine wanasema matatizo yanakuja wakati hawana pesa, wewe unasema yanakuja ukiwa na pesa, means wote ni waongo, maisha hayana formula, sitachoka kusema hili, sitachokaaaaa
Unakasirika ukiwa wapi mkuu.. ?

Wewe kama una mtizamo tofauti kwanini usiandike huo mtizamo wako tuupime?
 
Anhaa kumbe wale wanaotuambia kuwa wako watanzania wenye asili ya kiasia huwa wanazihifadhi nyingi tu ndani ni uongo kumbe?!!!!

Anhaaa kumbe matajiri pamoja na kuwa nazo nyingi huwa hawazihifadhi za "kiasi" ndani?!!

Anhaaa kumbe matajiri wanaogopa "kushika" fedha nyingi CASH kwa kuwa matatizo yatajitokeza ,watu kuomba misaada na kisha kuzitoa eeee?!!!
Ndo manake hiyo mkuu.. haina haja ya kuuliza.. matajiri wengi pesa kwao sio stock concept bali ni flow concept..

Maana yake wanaitumia cash ku generate wealth in assets..

Ndo mana hao unaosema ni wadosi, wanacheza sana na benki kupata mikopo na ku create real wealth...

Kuelewa hii kitu inahitaji kufikiri vizuri.. ukiwa na akili nyepesi kama FRANCIS DA DON .. lazima utakuwa unaona chenga tu
 
Labda inategemea na na aina za binadamu mimi nikiwa na pesa hata mafua ya naogopa kumuanza mtu wangu wa karibu iwe ndugu jamaa

Ila nikiwa sina hela ujue kila aina ya tatizo litakuja mara hiki mara kile yaan shida

Ndio maana najitaid sana lazima niwe na akiba hata m1 tu yaan hiyo hata iweje sitoagi ndio naishi kwa mfumo huu
Sijasema eti usiwe na Cash kabisa mkuu.. kuwa na Cash tu ambayo ina ku sustain operating expenses zako.. na hiyo excess iweke kwenye assets kama investment.. hivo ndo nilichomaanisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom