pesa

  1. JamiiForums Tanzania Tuliambiwa Mawakili wa kesi ya Mbowe ni wa kujitolea, kulikoni tena wanataka pesa?

    Wanaukumbi, Chadema mlituambia kuna jopo la mawakili zaidi ya 200 wa kujitolea kwenye kesi ya Mbowe, kulikoni tena leo mnataka pesa za mawakili ebu tuache huu upigaji naamini kabisa Mbowe, hana hizi taarifa ndiyo maana hamataki Mbowe, atoke jela kumbe mnapiga pesa, weekend taenda gerezani kumpa...
  2. JamiiForums Tanzania Bado kwako elimu ni bora kuliko pesa ?

    Kwa hali ya maisha jinsi tunavyoiona ambapo kila kitu kwasasa bei juu je bado unaamini kwamba elimu ni bora kuliko pesa au ushabadiri mawazo yako ?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Huwa sipendi nikigundua mwanamke amenipendea pesa

    Mwanamke akinipendea urefu, macho, sura naona sawa kabisa, ila akiwa na mm kwasababu anaona nina vijisenti kadhaa, sio siri roho yangu huwa inajisikia vibaya Sana, na huwa nakereka nikigundua hilo, sijui wanaume wengine mnawezaje kuoa mwanamke aliewapendea hela. Mimi sio mbahili Wala mchoyo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Elon atoa pesa kwa kijana wa miaka 19 ili aache kuifuatila ndege yake

    Mtu tajiri zaidi duniani bwana Elon Musk amempatia ofa ya $5000 kijana Jack Sweeney ili aiondoe program inayofuatilia safari zote za ndege yake binafsi na kuziweka hadharani kwenye ukurasa wa twitter. Hata hivyo ofa hiyo imekataliwa na kijana huyo mwenye umri wa miaka 19 ambae kwa sasa bado...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania ili uitwe milionea unatakiwa kuwa na pesa kuanzia kiasi gani?

    Tanzania ili uitwe milionea unatakiwa kuwa na pesa kuanzia kiasi gani?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Temeke wanasumbua kulipa pesa za Mirathi bila hoja za msingi

    A
  7. JamiiForums Tanzania Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba

    NBC Premier League leo kwa mechi moja ya kiporo. Ni Kagera Sugar watakuwa uwanja wa nyumbani kuwaalika mabingwa watetezi Simba SC. Je, ni Kagera ama Simba SC nani kukila kiporo hiki? Mechi hi itaruka mubashara Hapa Hapa JF UPDATE Mpira Umeshaanza hapa Dimba La Kaitaba. 17” Kagera Sugar 0...
  8. JamiiForums Tanzania Taratibu za kampuni kupata namba ya lipa kwa Mpesa/tigo pesa

    Habari wakuu. Nipo mbali na ofisi za hii mitandao. Naomba kujua taratibu za kampuni kupata namba za lipa kwa mpesa/tigopesa. Natanguliza shukrani.
  9. JamiiForums Tanzania NMB wamenifanyia uhuni; wamechukua hela yangu

    Nilikuwa na million na kitu Salio la account yako inayoishia na 9740 ni TZS 1,198,940 tarehe 2022/01/22 17:01:38. Kwa msaada, tupigie BURE 0800 002002. Kumb EC101201775871 Nikatoa laki nne TU nikitegemea itabaki laki Saba na kitu.leo nacheki salio nakuta pesa ndogo Salio la account yako...
  10. JamiiForums Tanzania MO DEWJI, tamaa yako ya pesa imeiharibu Club ya Simba, sisi kama club hatusubiri mikataba yenu, jitafakari

    Huyu ndugu aliingiza tamaa ya pesa, kaanza kuuza wachezaji atakavyo, Sasa club imekwama, MO jitafakari, usidhani hatukutafakari.
  11. JamiiForums Tanzania Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

    Ili mahusiano yawe imara mwanaume lazima awe juu ya mwanamke katika kila nyanja, kiumri, kiuchumi, kielimu nk. Hawa wanawake walikusudiwa na Mungu wawe chini tena chini kabisa ndio wanakua na heshima kwa mume na atomatic mume atampenda mkewe na wataishi kwa furaha na amani TELE. Hakuna watu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea wilayani Songwe kwenye ujenzi wa madarasa kutokana na pesa za Covid. Ni hatari tupu pesa zimeliwa

    Kwa heshima na taadhima ujumbe huu mhe: Rais ukufikikie popote uliopo.Mhe Raisi umekuwa mstari mbele kuhakikisha Nchi yetu inakuwa salama na tunapata maendeleo katika nyanja mbalimbali. Na umefanya jitihada za dhati kuhakikisha Nchi yetu inasonga mbele.Lakini watendaji wako wanakuangusha...
  13. JamiiForums Tanzania Mwenye line ya Uwakala M-PESA naomba anisaidie

    Ndugu zangu wapendwa mwenye line ya M PESA ambayo haitumii naomba aniuzie au aniazime kwa makubaliano. Au kama kuna anaye jua namna ya kuzipata kwauharaka zaid line za Tigo pesa na M pesa Natanguliza shukrani
  14. JamiiForums Tanzania Apps za kuulizwa maswali na kulipwa pesa zipo kweli?

    Natumaini nyote mmekuwa na siku njema. Niende moja kwa moja kwenye mada husika Nimeuliza swali kama kweli zipo mfano wake ni zipi?
  15. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana ukamkopesha ex wako pesa na akakulipa kweli?

    Habari zenu wazee wenzangu? Iko hivi, kuna binti mmoja alikuwa mtu wangu back then. Sasa kutokana na harakati za maisha tukajikuta tumeachana, sema toka tuachane hatukuwa na ukaribu kivile. So toka last week ananitafuta ananiomba nimkopeshe 800k ya ada ya mwanae kakwama then mwisho wa mwezi...
  16. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kutafuta mwenza na kuweka kipengele kuwa, lazima awe amejiajiri, ameajiriwa au awe ana pesa; katika ulimwengu wa mapenzi ni sawa?

    Kumekuwa na matangazo mengi ya kutafuta wenza/wachumba siku za karibuni kupitia majukwaa mbalimbali. Sifa zinazoainishwa kwa muhitaji, mojawapo ni kipengele cha kazi; atasema anataka mwenza aliyejiajiri au aliyeajiriwa. Kwa mtazamo wangu, katika mazingira hayo, mi naona muhitaji anayetafuta...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waanza kufaidi madarasa yaliyojengwa kwa Pesa za Tozo na mkopo wa COVID-19

    Wanafunzi wa Kidato cha 1 kwa mwaka wa masomo 2022 ambao wameanza kutumia madarasa mapya yaliyojengwa kutokana na fedha za mpango wa maendeleo kwa Taifa na mapambano dhidi ya Uviko 19. Tukio tukio limefanyika katika Shule ya Sekondari Karibuni ambapo DC Jokate ametumia fursa hiyo kumshukuru...
  18. JamiiForums Tanzania Wahanga wa Moto wa soko la Karume wachangiwe pesa, ikiwa ni janga la bahati mbaya

    Wakuu Kwema! Ajira Hakuna! Tumetoka familia Masikini Sana. Nina rafiki zangu wengi waliokuwa wanauza uza mitumba Yao pale Karume. Mitaji Yao wameipata Kwa mbinde Jamani! Ndugu zangu wote tunajuana humu nchini, Sisi ni masikini Sana, tunatafuta pesa Kwa taabu na nguvu nyingi, hatuwezi sema ni...
  19. JamiiForums Tanzania Pesa ndiyo mpango wa maisha, ukiwa na pesa unaweza kumudu kuwa single

  20. JamiiForums Tanzania Tamko la Rais ni sheria: Je, Mawaziri wakiiba pesa za umma bila kuvimbiwa, wanaweza kushtakiwa?

    Na je, kauli ya Raisi inaweza kutumika kama utetezi mahakamani kwa mawaziri wataofuja mali na pesa za umma bika kuvimbiwa? Na katiba inasemaje kwani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…