Mimi najiuliza sana, inakuwaje ofisi ya Mkuu wa Mkoa Njombe, wanatuma barua kwa Wafanyabiashara wakiomba mchango kwaajili ya Meimosi na kiasi wamekuandikia kabisa, ina maana hauna machaguzi hapo, ni kama unafanya biashara kwa hisani, wakati kodi unalipia na fee zote unalipia.
Sasa kwanini...
Anonymous
Thread
biashara
katika
kitaifa
kuchangisha
mkoa
pesa
ugeni
wafanya biashara
wafanyabiashara
Wakuu hawa wanaiba pesa na hutapata notification kwa sms.
ATM za CRDB zimejaa wezi
Msizitumie.
Ukiweka ATM card ile ya kuscan.
Ukitoa tu,
Wanadetails zako zote.
Hiyo ATM ya hapo Royal imejaa wezi watupu.
Wanaiba na hawana aibu.
Miongoni mwa biashara pasua kichwa ni hii biashara ya kumsimamia msanii haswa msanii wa muziki .
Awali ya yote, wengi hawajui kuna utofauti kati ya sponsor na manager.
Manager kiuhalisia inabidi yeye ndiye awe analipwa na msanii ili amsimamie kazi zake lakini kibongo bongo ni tofauti. Kibongo...
Kila mwezi halmashauri hupokea kiasi Cha pesa kutoka serikali kuu Kwa ajili ya uendeshaji wa Idara mbalimbali ikiwemo pesa malipo ya mda wa ziada Kwa watumishi, Kuna baadhi ya miezi watumishi hatulipwi pesa ya mda wa ziada.
Kuna miezi walisema pesa zimechukuliwa zinaenda kulipa mwenge, mwezi...
Habari wadau,
Ninaomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu suala la kupata pesa za kujikimu sisi ajira mpya upande wa Tamisemi Sumbawanga municipal council.
Watu wanalalamika hawalipwi
Anonymous
Thread
halmashauri
kujikimu
manispaa
pesapesa za kujikimu
sumbawanga
Wale tunaopenda mambo ya geopolitics, vita, na siasa za kimataifa, hebu tufikirie hatua inayofuata. Mara nyingi humu tunakesha kujadiliana, kubishana na kuchambua matukio ya dunia kuanzia migogoro ya kimataifa hadi mikakati ya mataifa makubwa. Ukweli ni kwamba kuna watu wengi humu wana uelewa...
Mapendekezo ya Tume ya Rais iliyofanya tathimini kuhusu mgogoro wa ardhi na uhamaji wa hiari, Ngorongoro Eng. Musa Iyombe amesema uamuzi wa Serikali kujenga nyumba kwa wakati huo ulikuwa sahihi hata hivyo imebainika kuwa utekelezaji wake ulikuwa na dosari zinazohitaji kufanyiwa kazi.
Tume...
PESA HAITAKI WATU WENYE SHIDA, INATAKA WATU WENYE SULUHISHO.
Pesa ina njia zake. Ina tabia ya kupita mbali na mtu anayelalamika, anayetafuta msaada kila wakati, au anayeomba omba na kulialia shida kila mara.
Lakini ina tabia ya kumtembelea kwa ukaribu mtu anayetoa thamani, anayeleta...
Mimi nilipata 756M, lakini hapa nilishinda mara kadhaa mfululizo,
Nilianza kwa kushinda 6M nikaibetia yote nikashinda 37M nikaibetia yote nikashinda 109M nikaibetia yote nikashinda 756M, nikaibetia yote ikapigwa...
Lengo langu lilikua ni kufikisha 1B na ilibaki mara moja tu.
Kilichonisaidia...
Wajasiriamali wengi hapa Tanzania wanashindwa kudumu kwa muda mrefu hapa nchini kwa sababu mbalimbali. Kodi kubwa ya pango, madeni, kodi za TRA na Halmashauri n.k Lakini bahati mbaya wengi wao hawajatambua kwamba wanafanya maamuzi ya kimkakati wakitumia takwimu zisizo sahihi kama dira yao ya...
Kuna jamaa alikua ana milion 5 zake akakimbilia kununua kiwanja mwaka jana halafu hela ya kujenga hana Sasa hivi anateseka
Hivi Hawa watu wana akili timamu acheni ujinga fanyeni biashara ardhi ni hasara
Kwa mtu unaejitafuta huyu jamaa sa sa hivi kachoka njaa imemjaa hela zake katupa ardhini
Tanzania hivi sasa tunakabiliwa kwa kiwango kikubwa sana cha vijana tunaowaita Elimu Ndogo Pesa Nyingi (Tuwaite EP kwa kifupi - Elimu Pesa), ambao utawatambua katika namna ya maongezi yao, kutamba kwao na kujionyesha kwao. Hata humu JF wapo wengi tu. Utaongea nae dakika tatu tu na kujua kwamba...
Kwenye video hii kuna mwanamke anayewapatia ushauri watoto wa kike. Baadhi ya wanawake wamemuunga mkono sana huku wanaume wakionesha kuwa ameongea tope.
Ukitazama ushauri wake ni sawa na kusema
“When You Get a New Girlfriend, Tell Her You will be Fired from Job in Two Months Away and See What...
Habari za Dominica,
Wanasema usipoweza kuingiza pesa ukiwa umelala, utafanya kazi maisha yako yote, sasa naomba kujua ni vipi naweza kuingiza pesa nikiwa nimelala?
Natanguliza shukran.
Sisi ajira mpya Ushetu Mkoani Shinyanga tuliajiriwa Mwaka jana (2025) mwezi wa 2 lakini hadi leo hii hatujapata pesa yoyote ya kujikimu wala hatujathibitishwa kazini!
Tukienda halmashauri wanakuwa wakali, hakuna majibu ya kueleweka! Swala la hela ya kujikimu kila halmashauri inatakiwa tulipwe...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
kujikimu
mpya
pesapesa za kujikimu
ushetu
wakali
Hapo vip!
Ukitazama kwa jicho latatu unaona kabisa hizi faini wanazopigwa Simba sio haki,ila nikwasababu wanajua club ya Simba inapesa hivyo wanatengeza faini za kijanja ili hiyo bodi inayongozwa na viongozi maskini wapate mkate wa chai.
Ni wazi bodi inaibeba Yanga katika vitu vingi ila Simba...
Hakuna kitu ya namna hio hizo ni fix tu za kijiweni.
Kwamba kuna namna mtu akikupa pesa inapotea kimazingira au ukichanganya na pesa ulizokuwa nazo hata kama ni 5M zinasepa.
Kuna watu utawasikia Oooo Mapenzi yanauma hakuna mfano wake, mara ukiachwa mapenzi yauma usiku, wewe wewe Kijana mwenzangu hivi ushawahi poteza pesa ambayo umetoka kuikopa utatue changamoto zinazokukabili, ukajua namna maumivu huwa?
Kama bado usiombe likukute maana maumivu yake unaweza hisi...
Mshambuliaji wa Young Africans S.C (Yanga SC), Prince Dube, alivyomzawadia pesa Mwananchi baada ya kutua bandarini Machi 2, 2026 akitokea Zanzibar na klabu yake kufuatia mechi ya dabi ya Kariakoo Jumapili ambayo ilimalizika kwa suluhu ya 0-0.
Wakongo wanamsema vibaya Samia Suluhu Hassan
Wanadai anapenda hela sana kuliko Yuda Iskariote. Kawakosea nini? Wanadai anaweza kuuza hata damu ya watoto wake..
Je, ni kweli Samia Suluhu Hassan ana roho mbaya kiasi hivi?
Nahisi wakongo wanatumiwa na Mabeberu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.