pepsi

Pepsi is a carbonated soft drink manufactured by PepsiCo. Originally created and developed in 1893 by Caleb Bradham and introduced as Brad's Drink, it was renamed as Pepsi-Cola in 1898, and then shortened to Pepsi in 1961.

View More On Wikipedia.org
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini Pepsi imeadimika mtaani? Je chanzo ni umeme, maji na sukari?

    Pepsi imekuwa adimu sana mtaani, hapa Dar es Salaam na viunga vyake. Chanzo ni nini? Bila Pepsi baridi sana jiji linaboa na hili joto lake.
  2. Suley2019

    UZUSHI Kampuni ya Pepsi ya Israel imetoa soda mpya zenye rangi za bendera ya Palestina ili zinunuliwe na Wapalestina

    Salaam ndugu zangu, Nimeona picha inasambaa ikieleza kuwa Kampuni ya Israeli ya PEPSI imebadilisha muundo wake na kuandika Palestina ili kuepuka kufungiwa na Palestina.
  3. GENTAMYCINE

    Profesa aliyeko Mubashara ITV na Radio One: Soda aina ya Pepsi ina Vijiko Nane (8) vya Sukari

    Tujiandaeni tu Kufa/ Kufariki kuanzia sasa. Kinachoniuma GENTAMYCINE nimeanza kuinywa hii Soda ya Pepsi tokea nikiwa Chalii (Mdogo) hadi huu Uzee wangu na nikipiga Hesabu za haraka haraka kwa Mahesabu ya huyu Profesa mpaka sasa (leo) nitakuwa nimeshakunywa Vijiko Milioni 750 vya Sukari...
  4. Hyrax

    Pepsi na Coca ni vinywaji vinavyozeesha haraka kuliko pombe

    Mimi ni mtu ninayependa kufanya tafiti mbalimbali za maisha kila siku japo si jambo nililosomea ila huwa napenda tu kuchunguza mambo mbalimbali ya maisha kwa ujumla wake iwe kupitia watu wengine au mimi mwenyewe, twende kwenye hoja kuu. Baada ya kupata kazi yangu ya kwanza mwaka 2010 kwenye...
  5. GENTAMYCINE

    TBS mnatufikiriaje Watanzania tunaokunywa Soda za Pepsi na Coca za Chupa Kawaida zenye kutu nyingi sehemu ya Kizibo?

    Sasa hivi imekuwa ni Kawaida kwa GENTAMYCINE kila nikibahatika ama kunywa Soda ya Coca Cola au Pepsi Cola nikiifungua tu Kukaribishwa Kiukarimu na Chupa yenye Kutu ya Kutukuka Kiziboni (sehemu ya Kunywea) TBS mko wapi? Hii ni halali Kwetu Walaji? Kwanini hamtusaidii Wanyonge (Masikini) akina...
  6. M

    Asanteni Kampuni ya Pepsi (SBC) kwa hii bidhaa yenu mpya sokoni iitwayo Supa Comando

    Ni Kinywaji ambacho hakiishii tu kuwa Kitamu Ulimini na Kooni bali pia huchoki hata Kukinunua na Kunywa mara kwa mara. Hakika Kinywaji kipya cha SUPA COMANDO kinachotengenezwa na Kampuni ya Pepsi (SBC) ndiyo Habari ya Mjini kwa sasa. Na walipomaliza kabisa Mchezo hawajaishia tu Kututengenezea...
  7. BARD AI

    Pepsi kupokea Semi Trucks za Tesla Desemba 1, 2022

    Tesla Inc inaanza uzalishaji wa malori ya kibiashara yanayotumia umeme na tayari CEO Elon Musk amesema kampuni ya Pepsi itapokea magari hayo ya kwanza kuanzia Desemba 1. Musk aliwahi kusema mwaka 2017 kuwa Semi Truck hizo zingeanza kuingia sokoni kuanzia mwaka 2019, alisema lori la Daraja la 8...
  8. JanguKamaJangu

    Serikali yaingilia kati taarifa ya unyanyasaji wa wafanyakazi Kampuni ya Pepsi, Waziri asema anaenda kiwandani hapo

    Siku chache baada ya kusambaa kwa taarifa juu ya uwepo wa unyanyasaji wa wafanyakazi katika Kampuni ya SBC Tanzania (Kiwanda cha Pepsi), hatimaye Serikali imetoa tamko juu ya kinachoendelea kiwandani hapo. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira & Wenye Ulemavu) ametoa tamkoa...
  9. beth

    Coca-Cola, Pepsi na Starbucks zasitisha biashara Urusi

    Coca-Cola, Starbucks, Pepsi na McDonald's zimeungana na Kampuni nyingine kusitisha Biashara Nchini Urusi kutokana na uvamizi uliofanywa Ukraine. Kumekuwepo na shinikizo kutaka Biashara kuchukua hatua kama ishara ya kupinga mateso wanayopata Wananchi Kwa upande wao, Pepsi imesema itasitisha...
  10. Niache Nteseke

    Naombeni link ya 2022 Pepsi Super Bowl LVI halftime full show wakuu. Thanks

    Heshima kwenu wakuu. Kuna show moja kali sana ikijumuisha Mary J. Blige, Dr. Dre, Snoop Dogg, Eminem, 50 Cent, Kendrick Lamar et al. Naomba kama kuna mtu ana link ya full show anisaidie nitazame unyama wa hawa jamaa aisee. Najua JF ni kisiwa kikubwa kilichosheni wadau wa kila aina, hivyo...
  11. B

    Pepsi wameharibu kabisa kuleta hizi big hazina radha. Zile chupa ndogo mwake

    Hawa Pepsi wajitafakari na soda zao za BIG aaisee hazina radha au mimi tu jamani au wanatumia maji ya wapi? AU wanachanganya na maji ya Dodoma
  12. K

    Pepsi imepotea madukani

    Kinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
  13. Ego is the Enemy

    Mwenye creti tupu za Pepsi aniuzie

    Habari wanajukwaa! Kama kichwa kinavyojieleza.niko mwanza nahitaji creti zikiwa na chupa zake tupu Kati ya 150-200. Ofa tutaongea Mana biashara ni maelewano
  14. Hat-Trick

    Mrejesho: Ujira mdogo kiwanda cha Pepsi umefanyiwa kazi, sasa wanalipwa 7,100/=

    Pia soma Ujira mdogo wa Tsh 4,600/ kutwa kwa vibarua muhimu kiwanda cha PESPI Mbeya plant. Dkt. Tulia nakuomba tembelea Kiwandani kuna wapiga kura wako Huenda hii thread ilikuwa ni sababu naamini hapa kuna watu wa kila aina, nafurahi ujumbe ulifika na kufanyiwa kazi. Sasa hivi vibarua hao...
  15. Hat-Trick

    Ujira mdogo wa Tsh 4,600/ kutwa kwa vibarua muhimu kiwanda cha PEPSI Mbeya plant. Dkt. Tulia nakuomba tembelea Kiwandani kuna wapiga kura wako

    Kiwanda kikubwa cha uzalishaji soda za Pepsi, Seven Up, Mirinda, Mountain Dew n.k ambacho ni cha kanda ya kusini nyanda za juu SBC Mbeya Plant (Pepsi) kinaudumia takribani mikoa 3 au 4 yani Ruvuma, Iringa, Njombe na Mbeya yenyewe. Vibarua wa kutwa wanalipwa 4,600/ kwa masaa 12 ya kazi...
Back
Top Bottom