pepsi

Pepsi is a carbonated soft drink manufactured by PepsiCo. Originally created and developed in 1893 by Caleb Bradham and introduced as Brad's Drink, it was renamed as Pepsi-Cola in 1898, and then shortened to Pepsi in 1961.

View More On Wikipedia.org
  1. Hance Mtanashati

    Hatimaye pepsi wamvua ubalozi Diamond Platnumz

    Lilikuwa ni suala la muda tu. Hatimaye imetiki. Pepsi imemvua ubalozi diamond , hivyo diamond ameondoa utambulisho rasmi wa yeye kama balozi wa pepsi Tanzania. Sasa hapa inabidi nguvu nyingine itumike kuwashawishi serengeti nao wamtose ubalozi Pia jambo lingine Diamond amefuta picha ya...
  2. Mwachiluwi

    Wanywaji wa pepsi mpo

    Pepsi tuwape maua yao soda ya pepsi ikiwa ya baridiiiiii ukishusha kwenye koo kuna ka msisimko una kuja sijawai pata soda kama pepsi haina mshindani kabisa
  3. ELI COHEN

    Sio muda mrefu tu Yemen imetoka katika vita ya wenyewe kwa wenyewe na madhara bado yapo, ile bado hajapona vidonda huyoo tayari anaanza kurusha ngumi

    Muda mwingine nawaza na nakuja na jibu kuwa hawa wa-houthi ni mchongo, hawa jamaa ni silaha ya mtu, ni fimbo ya mamlaka fulani kuendelea kufanya fujo katika ukanda ule. Ebu imagine kipindi kile nyerere ametoka kumdungua amin hadi nchi ikaingia katika ukata, huyo tena aanze kuwashambulia wakenya...
  4. M

    KERO Responded Msaada: Nimefikia hatua ya kunywa Pepsi 4 kwa siku, nifanyeje kuacha?

    Habarini za mchana, Wakuu mimi huwa situmii pombe, ni juice na soda tu na soda yangu pendwa ni Pepsi. Kila siku huwa nakunywa Pepsi tena napenda ikiwa baridi sana. Nilianza kunywa moja kwa siku, ikaja mbili ikaja 3 now nakunywa nne kwa siku; mbili mchana na mbili usiku. Hizo mbili nakunywa kwa...
  5. Fidakasa

    Natafuta crate za Soda Pepsi na Coke

    Natafuta crate tupu za Soda kampuni ya Pepsi na Koka
  6. Allen Kilewella

    KERO Ubabe huu wa Kampuni ya Pepsi unalindwa na serikali?

    Kwa wauzaji wa reja reja wa soda hulazimishwa na Kampuni ya Pepsi, kununua soda wasizotaka kununua wala wasizo na wateja nazo Ili wapewe soda aina ya Pepsi. Huu ubabe wa Kampuni ya Pepsi unakera sana Lakini wauzaji wa soda kwa reja reja hawana ubavu wa kupambana nao. Kwa nini Pepsi walazimishe...
  7. X

    Coca Cola Company wamewezaje kuendesha biashara duniani kote bila kumiliki kiwanda wala magari ya kusambaza soda zao tofauti na Pepsi?

    Nafikiri wengi wetu mmewahi kusikia na hata kutembelea viwanda vya kutengeneza soda za Coca Cola kama kile cha Coca Cola Kwanza pale Mikocheni, DSM, Bonite Bottlers pale Shiri Matunda, Moshi, Kilimanjaro na Nyanza Bottling Co, Ltd Mwanza. Basi ujue Coca Cola company ambayo makao makuu yake yako...
  8. Khanji kapoor

    Soda za pepsi zimekuwa na ladha mbaya

    Peps imegeuka soda ya hovyo ladha mbovu mdomoni chumvi km sio chumvi,kidonge km sio kidonge peps wamepatwa nn au wanatumia maji ya bahari kujaza kwenye chupa
  9. S

    Kampuni ya PEPSI, wamebadili container za sada ya take away?

    Muda huu nimenunua soda ya take away(PEPSI) ila container lake naona ni laini tofauti na nilivyozoea yaani ni kama rojorojo fulani hivi kiasi kwamba nasita hata kuendelea kunywa hii soda. Swali ni je, wamebadili container au kuna fake zimeingia sokoni au ni mimi tu ndio nimehisi kitu kama hiki...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini Pepsi imeadimika mtaani? Je chanzo ni umeme, maji na sukari?

    Pepsi imekuwa adimu sana mtaani, hapa Dar es Salaam na viunga vyake. Chanzo ni nini? Bila Pepsi baridi sana jiji linaboa na hili joto lake.
  11. Suley2019

    SI KWELI Kampuni ya Pepsi ya Israel imetoa soda mpya zenye rangi za bendera ya Palestina ili zinunuliwe na Wapalestina

    Salaam ndugu zangu, Nimeona picha inasambaa ikieleza kuwa Kampuni ya Israeli ya PEPSI imebadilisha muundo wake na kuandika Palestina ili kuepuka kufungiwa na Palestina.
  12. GENTAMYCINE

    Profesa aliyeko Mubashara ITV na Radio One: Soda aina ya Pepsi ina Vijiko Nane (8) vya Sukari

    Tujiandaeni tu Kufa/ Kufariki kuanzia sasa. Kinachoniuma GENTAMYCINE nimeanza kuinywa hii Soda ya Pepsi tokea nikiwa Chalii (Mdogo) hadi huu Uzee wangu na nikipiga Hesabu za haraka haraka kwa Mahesabu ya huyu Profesa mpaka sasa (leo) nitakuwa nimeshakunywa Vijiko Milioni 750 vya Sukari...
  13. Hyrax

    Pepsi na Coca ni vinywaji vinavyozeesha haraka kuliko pombe

    Mimi ni mtu ninayependa kufanya tafiti mbalimbali za maisha kila siku japo si jambo nililosomea ila huwa napenda tu kuchunguza mambo mbalimbali ya maisha kwa ujumla wake iwe kupitia watu wengine au mimi mwenyewe, twende kwenye hoja kuu. Baada ya kupata kazi yangu ya kwanza mwaka 2010 kwenye...
  14. GENTAMYCINE

    TBS mnatufikiriaje Watanzania tunaokunywa Soda za Pepsi na Coca za Chupa Kawaida zenye kutu nyingi sehemu ya Kizibo?

    Sasa hivi imekuwa ni Kawaida kwa GENTAMYCINE kila nikibahatika ama kunywa Soda ya Coca Cola au Pepsi Cola nikiifungua tu Kukaribishwa Kiukarimu na Chupa yenye Kutu ya Kutukuka Kiziboni (sehemu ya Kunywea) TBS mko wapi? Hii ni halali Kwetu Walaji? Kwanini hamtusaidii Wanyonge (Masikini) akina...
  15. M

    Asanteni Kampuni ya Pepsi (SBC) kwa hii bidhaa yenu mpya sokoni iitwayo Supa Comando

    Ni Kinywaji ambacho hakiishii tu kuwa Kitamu Ulimini na Kooni bali pia huchoki hata Kukinunua na Kunywa mara kwa mara. Hakika Kinywaji kipya cha SUPA COMANDO kinachotengenezwa na Kampuni ya Pepsi (SBC) ndiyo Habari ya Mjini kwa sasa. Na walipomaliza kabisa Mchezo hawajaishia tu Kututengenezea...
  16. BARD AI

    Pepsi kupokea Semi Trucks za Tesla Desemba 1, 2022

    Tesla Inc inaanza uzalishaji wa malori ya kibiashara yanayotumia umeme na tayari CEO Elon Musk amesema kampuni ya Pepsi itapokea magari hayo ya kwanza kuanzia Desemba 1. Musk aliwahi kusema mwaka 2017 kuwa Semi Truck hizo zingeanza kuingia sokoni kuanzia mwaka 2019, alisema lori la Daraja la 8...
  17. JanguKamaJangu

    Serikali yaingilia kati taarifa ya unyanyasaji wa wafanyakazi Kampuni ya Pepsi, Waziri asema anaenda kiwandani hapo

    Siku chache baada ya kusambaa kwa taarifa juu ya uwepo wa unyanyasaji wa wafanyakazi katika Kampuni ya SBC Tanzania (Kiwanda cha Pepsi), hatimaye Serikali imetoa tamko juu ya kinachoendelea kiwandani hapo. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira & Wenye Ulemavu) ametoa tamkoa...
  18. beth

    Coca-Cola, Pepsi na Starbucks zasitisha biashara Urusi

    Coca-Cola, Starbucks, Pepsi na McDonald's zimeungana na Kampuni nyingine kusitisha Biashara Nchini Urusi kutokana na uvamizi uliofanywa Ukraine. Kumekuwepo na shinikizo kutaka Biashara kuchukua hatua kama ishara ya kupinga mateso wanayopata Wananchi Kwa upande wao, Pepsi imesema itasitisha...
  19. Niache Nteseke

    Naombeni link ya 2022 Pepsi Super Bowl LVI halftime full show wakuu. Thanks

    Heshima kwenu wakuu. Kuna show moja kali sana ikijumuisha Mary J. Blige, Dr. Dre, Snoop Dogg, Eminem, 50 Cent, Kendrick Lamar et al. Naomba kama kuna mtu ana link ya full show anisaidie nitazame unyama wa hawa jamaa aisee. Najua JF ni kisiwa kikubwa kilichosheni wadau wa kila aina, hivyo...
  20. B

    Pepsi wameharibu kabisa kuleta hizi big hazina radha. Zile chupa ndogo mwake

    Hawa Pepsi wajitafakari na soda zao za BIG aaisee hazina radha au mimi tu jamani au wanatumia maji ya wapi? AU wanachanganya na maji ya Dodoma
Back
Top Bottom