pepo

  1. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Nahisi kutokuwa sawa kiroho. Pepo wachafu wameniingilia!

    Habari ndugu zangu! Nimebadilika sana, nahisi kutokuwa sawa kiroho! Nipo mbali na nyumbani tangu 2021, yaani huwa tu naenda kusalimia na kurudi. Nipo Dodoma kikazi na tangu nije huku nimeona nimebadilika sana! Hapo kabla nilikuwa mkimya sana nisiyependa kukaa sehemu zenye watu yaani kiufupi...
  2. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mola aniepushe na hili pepo la kupenda mke wa mtu

    Aisee, nyie acheni tu. Nimejizuia kumpenda nimeshindwa, lakini nimefanikiwa kwa 40%, kwenye hizo parcent nimejizuia kumsogelea karibu wala kumsemesha japo kwa salamu, ingawa macho yangu yanapokutana na yake kuna namna yanazungumza Mwanzoni mimi ndiye niliyekuwa napata shida, lakini kwa sasa...
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Hii tabia iliyowaingia wanawake wa nyakati hizi, kwa kutothamini mapenzi (hisia) na kuendekeza mahusiano pesa ililetwa na nani?

    Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa. Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga. Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano...
  4. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Pepo gani hili? Navutiwa kuwa na mahusiano na Wanawake walionizidi umri

    Wakuu habari za mda huu.. leo nimeshindwa kulala nikitafakari sana Mwanzani nilijua ni sifa kutembea na watu walioniacha umri. Ila sasa imekua too much wakuu maana imefikia kipindi mpaka wasichana wa rika langu siwaelewi.. Hii hali ya kutowaelewa hawa wa rika yangu imeanza baada ya kujiona...
  5. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Diamond pumzika muziki kwa muda pepo mchafu apite!

    Muziki wa sasa ni wa ushindani mkali, uadui, Vita na kila aina ya uovu ubaya na kadhalika, sio ajabu tukaona maadui wa Diamond kwa sasa wamepata chochoro la haja la kujaribu kumshusha kisanii, pengine ndilo lililopo katika ajenda ya maadui wake Namshauri kwa upepo unaoendelea let him mute, kwa...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Wameishiwa na wameshaona mbele mambo magumu kwao ndio maana wanaharibu amani

    Wakuu, Wote mnaotaka kuandamana hasa CHADEMA kuna ujumbe wenu hapa; Amani na utulivu ndiyo inatufanya tucheke, tukae vizuri na tuangalie michezo, kukiharibika hayo yote hayapo. Niombe sana wale wanaokuja kuwashawishi kwa neno lolote lile kwa sababu yoyote ile kuharibu amani na utulivu wa eneo...
  7. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Pepo la uaguzi ni nini/kitu gani

    Mwami Yesu asingizwe Habari wakuu I hope mnaendelea vema na mapumziko ya mwisho wa wiki, naomba kupata ufafanuzi wa swali langu kama lilivyo hapo juu kwenye heading. Nimeambatanisha na vifungu vifuatavyo:- Matendo 16:16 “Ikawa tulipokuwa tukienda mahali pale pa kusali, kijakazi mmoja...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukiona mwanaume amekuwa shoga jua ni pepo mchafu yuko ndani yake. Hakuna cha homoni wala nini

    Hello! Amani ya Mungu iwe nanyi. Ukiona binti anavaa nguo za kiume, anacheza michezo ya kiume, anaongea kiume, anacheza na wanaume haswa huyo ana pepo mchafu. Huyo pepo mchafu kadri siku zinavyososonga anabadili mpaka sura ya huyo binti na kuwa kama mwanaume. Ukiwa na ndugu au mtoto wa hivyo...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia p2 hamtaiona pepo, maana mnatenda dhambi ya kuua

    Usihamaki. Huu ndiyo ukweli. Kwani uhai unaanzia ngazi gani ya kibayolojia? Mayai ya mwanamke siyo kitu hai? Kama ni kitu hai kilichosanifiwa na mwenyezi Mungu wewe una mamlaka ya kukiua? Bila shaka jibu ni HAPANA. P2 inauwa mayai na mbegu za kiume ili vishindwe kurutubishana na kutoa...
  10. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Sheikh Rusaganya: Kwa mujibu wa Hadithi za Mtume Mohamad, Watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi

    Sheikh Rusaganya ameonya kwamba kwa kujibu wa mafundisho ya kiisilamu, watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi. Sheikh anasisitiza kwamba watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi na hawatakiwi kuonekana kule. Msikilize Sheikh Rusaganya hapa.
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa juhudi zote omba kataa roho ya madeni. Ibilisi kamwaga mapepo ya kushinikiza watu kuwa na madeni yenye uchungu

    Mtu mwenye madeni hawezi kuwa na furaha (amani). Hiyo amani ndio uzima wenyewe. Shetani anafanya juhudi kuwapiga watu na mapepo ya madeni bila wenyewe kujua. Madeni ni maumivu makali. Epuka madeni kwa namna yoyote, omba sana. Ukipigwa na roho hii ya madeni ushamalizwa kiroho. Mungu...
  12. Heci

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana pepo mchafu sana, je nawezaje kumsaidia bila kumvunjia heshima yake?

    Yaani 😮‍💨😭 Huyu dada tulioana naye kwa ndoa ya kidini. Ana tabia zote nzuri ila ni mtundu sana kitandani. Mkiwa katikati ya show unakuta gegedo limeingizwa kusiko na ladha imebadilika kabisa. Nikishtuka nachomoa hapohapo. Nimekuwa nikimweleza kuwa huo mchezo siutaki, kipindi cha uchumba cha...
  13. DeMostAdmired

    JamiiForums Tanzania Ni pepo mbaya, kila malaya nayelala nae anaibukiwa na kuwa na hisia na mimi

    Nawasalimia wana JF, hope mpo fine. Ebana hii nahisi siyo hali ya kawaida ni pepo mbaya, ipo hivi........ Katika kipindi hiki cha ujana na ukizingatia bado sijaoa mda mwingine unasafiri huku na kule katika kutafuta ugali. Katika harakati zangu na kutembea mikoa mbali mbali kuna muda unapita...
  14. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Kijana kuwa makini, mahusiano ni kama pepo au jehanamu yako

    Mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke. Kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilikufa kwa sababu ya wanawake, na kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilisonga na kufanikiwa kwa sababu ya wanawake. Mpaka leo sijaoa, sijaoa kwa sababu sijaona sababu ya kufanya hivyo kwanza. Naona ndoa...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Miradi ya mwanamfalme MBS kuibadili Saudi Arabia kuwa pepo ya dunia yaingia ukorofi

    Waislamu duniani mara zote wanapopatwa na shida walitegemea wapate utetezi wa hali ya juu kutoka kwa utawala wa Saudi Arabia kwanza kabla ya kwengine kokote.Misaad hiyo ingeweza kuwa ya kimali,kijeshi na hata kauli za kisiasa. Kinyume chake mara zote kumetokea maangamizi mabaya kwa waislamu bila...
  16. Eliah Geofrey Kamwela

    JamiiForums Tanzania "Pepo" la umasikini

    PEPO LA UMASKINI Ukiwa huna pesa unakua na mawazo mengi ya maendeleo na unatamani Mungu apitishe walau ka laki mikononi mwako. Mungu akileta laki, unagundua kua dagaa sio mboga, ni vichoma Koo na kisamvu kina aina Fulani ya sumu inayo ua seli za mwili, hivyo una resolve kula hotelini...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Aliyemsajili Sawadogo Simba pepo ataisikia tu

    WAKATI Simba ilionekana kama imekosea kuwasajili Victor Akpan na Nassor Kapama katika dirisha kubwa lililopita la uhamisho, hatimaye Januari ikafika. Mtu mmoja mwenye busara zake akaishauri Simba iongeze mchezaji wa kiungo baada ya Akpan na Kapama kuonekana hawafahi. Mtu huyo akawasiliana na...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kuna pepo likiingia kwenye familia hutafuna vizazi vingi

    Pepo la Umaskini Pepo la mikosi Pepo la kukosa ndoa Pepo la kuzalia nyumbani Pepo la ugumba Pepo migogoro na mafarakano Pepo la wizi, utapeli na udanganyifu Pepo la madeni na mikopo isiyolipika nknk Haya mapepo hutembea na vizazi mpaka cha tatu ama cha nne.. Unapoona kwenye familia yako kuna...
  19. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Nimeenda kwa mganga ameshindwa kupandisha pepo

    Wakuu nawasalimu. Baada ya kutaka kujiua kwa mzigo wa madeni nilienda kwa mganga mmoja Mbeya akaangalie shida kwangu ni nini na anipe msaada nifunguke. Ajabu ni kuwa mganga ambaye kila wakati huwa anapandisha pepo linalomsaidia kutambua matatizo ya watu ameshindwa kuliita pepo na akaniambia...
  20. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Pepo wa Mauti atua Kisii

    MSURURU wa visa vya mauaji ya kutisha na vituko vingine vya ajabu vinavyoendelea kuripotiwa katika eneo la Gusii, umeibua hofu tele miongoni mwa wakazi na Wakenya kwa ujumla. Viongozi wa kidini na wazee wa Baraza Kuu la Jamii ya Abagusii wanaungama kuwa, iwapo hatua za haraka hazitachukuliwa...
Back
Top Bottom