Ni pepo mbaya, kila malaya nayelala nae anaibukiwa na kuwa na hisia na mimi

DeMostAdmired

JF-Expert Member
Oct 7, 2017
877
2,427
Nawasalimia wana JF, hope mpo fine.

Ebana hii nahisi siyo hali ya kawaida ni pepo mbaya, ipo hivi........

Katika kipindi hiki cha ujana na ukizingatia bado sijaoa mda mwingine unasafiri huku na kule katika kutafuta ugali. Katika harakati zangu na kutembea mikoa mbali mbali kuna muda unapita muda mrefu hujapata mbususu unachanganya akili unaamua kutafuta one night stand. Sasa nimekuja kushangaa asilimia 90 ya malaya naopitia wanabaki wananitafuta nakusisitizia nionane nao hata kama sina pesa wao watagharamia na ni malaya kweli kweli so wale wanaojifunza.

Labda nitoe visa kama vitatu

1. Mwaka 2022 katikati nilisafiri nikaenda mkoa mmoja huko magharibi mwa Tanzania. Nilifikia gest na nilikuwa na upwiru kama wa miezi kadhaa hivi nikaamua kutafuta bebe moja niishi nayo kwa usiku ule. Tulikubaliana niilipe 50k, tulienjoy usiku ule mpka asubuh nlijikuta kama nimepiga bao 4 hivi. Ukafika muda wa kwenda mishe mishe nikaenda na siku ile ile niliondoka wilaya ile na kwenda mkoani. Yule dem asubuhi yake aliniomba namba nikampa. Zilipita kama siku 4 hivi nishatoka mkoa ule nimeenda kaskazini cm ikaita nkaotoka namba mpya kupokea ni yeye Linah, dem anaitwa Linah. Tuliongea na mwisho wa siku kanambia amenimiss anataka anione nkamjibu kwamba aseme ukweli kwamba hajanimiss mimi ila kamiss pesa zangu na nkamwambia pesa sina akanambia nisijali niende na chumba atalipia yeye, nilipomwambia nimesafiri nimeondoka alisikitika sàna basi akasema atakuwa ananipigia tuwasiliane.

2. Kaskazini huku nako kuna dem mmoja anaitwa Nisha, huyo naye nilimchukua usiku kwa makubaliano ya 45k tukasaga na Rhumba usiku mpka asubuhi aliokota mara tatu nyavuni dk 90 japo nayeye nahisi alijikongoja akapata mabao kadhaa ya kujifunga. Kesho yake nikamuaga nikasepa. Huko kaskazini nilikaa kama miezi miwili. Zilipita siku mbili sim ikalia ñaokota naona ni Nisha maana nilimsev, tukaonge akaniomba tuonane, huyu nisha nyie ni dem mtamu sijapata kuona namimi nilimuelewa japo alikuwa anajiuza. Nilimwambia kwamba sina pesa kwa wakati ule yeye akasema tuonane atanipa bure akasema ananipenda bure nkamuliza sababu akajibu hajui nayeye basi tunaendelea nkawa napiga kama mke wangu maana aliniomba tukapime ili twende kavù. Hapa ndo nikaamini sio kila malaya basi hajitambui, hawa watu wanatunza sana afya zao.

3. Hukohuko kasikazini wilaya ileile ya Nisha siku moja nilitaka kubadirisha radha nikaita manzi mwingine Saumu, alidai 60k, ebana huyu ndo usiseme dem ni mdigo kwa mmakonde anamiuno, miguno na ni msafi hakuna harufu mbaya yenye utaisikia hata kidogo japo wote nlokutana nao wapo kama yeye ila aliwazid kidgo maufundi. Nilipiga bao 5 mpka asubuhi na niliamka hoi. Nakumbuka mpka nilikuja kugongewa mlango kwamba muda umeisha basi nikajiandaa nikasepa. Saùmu naye kesho yake tu kanichek kama kawa nkamkataa kwamba sina pesa kanambia niende kwake tukaenjoi atanitunuku bure kasema kanipenda.

Hivyo ni baadhi visanga navopitia nipo nawaza niache huu mchezo na malaya maana nahisi kuna siku ntategwa ntampa mimba mtu hafu nizae na hawa watu.

WAZEE NAHISI HII NI EVIL SPIRIT
 
kubadirisha radha
 
Hapo hata hawakupendi ni wanakuseti tu. Wameshaona una maisha mazuri kimtindo, kwahiyo siku wakichunda kabisa wanaona wakutafute.. hata wakikupa bure wanajua lazima utanunua vimsosi na vi bia vya hapa na pale wasuuze koo. Njaa tu hizo zinawasumbua.
Sinywi na wala huwa sigharamii chochote labda nauli yangu
 
Back
Top Bottom