pepo

  1. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nina pepo la kukinai wanawake nikishafanya nao mapenzi, Mwamposa anawezaje kunisaidia?

    Yaani pisi hata iwe kali vipi nikiigonga mara mbili tu naiona ya kawaida sana,siitafuti tena mpaka initafute. Huwa nashangaa kuona watu wapo kwenye mahusiano miezi kadhaa au miaka kadhaa,mnawezaje? Nadhani hili ni pepo mnaosali kwa Mwamposa vipi hili linaweza kukemewa au ndio nitaambiwa acha...
  2. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wenye Kurithi Pepo ya Firdaus

    Alhamdulillah ijumaa imeingia tayar na ningependa tukumbushane mawili matatu ili tujiweke tayari kukutana na hiyo siku ya Mwisho tukiwa tumeridhiwa na Mwenyezi Mungu. Firdaus ndio pepo ya juu zaidi kuliko zote Kwa maana nyingine hii ndio pepo ambayo ni first class,na hii watairithi Mitume na...
  3. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Makosa kadhaa katika kutoa Pepo (Exorcism). Mapepo/Majini hayaombewi yanafukuzwa

    Kumekuwa na sintofahamu katika namna ya kushughulikia Hawa vibaraka wa ibirisi. Mapepo Kwa aina zake. Makosa ambayo nayaona. 1: Watu wanaomba na mapepo, Tena wanapiga na Magoti na kufumba macho. Hakuna hiyo scene kwenye maandiko. Hatuombei mapepo tunayafukuza. Yakikomaa na sisi tunakomaa Hadi...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Utapeli Makanisa ya kisasa: Mamlaka ya Kutoa pepo sio ya Mchungaji/mtume/nabii ni kila muumini

    Bwana Yesu akitoa mamlka kwa kila Muumini kushughulika na vijini/pepo. Ni utapeli kuwageuza waumini watuhumiwa wa mapepo alafu eti kuna MTU mmoja star. Ndiye anayeyatoa. Kwa Mujibu wa Yesu hii ni KAZI mdogo kuliko zote kanisani na inafanywa na muumini tu. Tena ilitakiwa watoanie mapemo huko...
  5. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kwanini pepo ni jitu baya na peponi ni sehemu nzuri?

    Utamsikia mchungaji akisema '' nakutoa hili PEPO baya la umalaya uache dhambi ili ufike PEPONI''. Mida hii ninatoka Nyegezi mida fulani nitakuwa Dom.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tafadhali usiogope kuliamua hili, litakufanya ukumbukwe na vizazi na Pepo utaiona haraka

    Rais sema tu kuwa kuanzia sasa hakuna Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukopeshwa Pesa na kwamba kuanzia sasa Wanafunzi wote wenye Sifa za kwenda Chuo Kikuu Serikali itawasomesha bure na kuwapa 100% ya Mahitaji yao. GENTAMYCINE nimekuomba hili nikijua kuwa liko ndani ya Uwezo wako, Uchumi unaruhusu na...
  7. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Amri kumi (10) za mafanikio zitakazokutoa jehanamu ya umasikini na kukupeleka pepo ya mafanikio

    Habari zenu wanafamilia wa JamiiForums? Ni imani yangu kuwa mu bukheri wa afya na mnaendelea kushiba chakula cha maandishi kinachopikwa asubuhi, mchana na jioni na waandishi chipukizi kwenye jukwaa letu pendwa la uandishi wa mtandaoni wenye kuleta mabadiliko yaani "Stories of change". Hakika...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nimegundua rasmi kumbe shetani ni binadamu wala si pepo kama wengi tulivyokaririshwa

    Nimekuwa nikitafta namna ya kumhoji shetani! Lakini rasimi kafunguka! Kasema kwamba baadhi ya mambo mengi binadamu tunamsingizia shetani! Mfano: Anayekufunga kwa hira ni Binadamu mwenzako tena kutwa yupo kanisani Anayewanyima haki binadam wenzake ni binadamu huyuhuyu aliyeapa kwa katiba...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu akisikia mziki anaoupenda anaucheza bila kujali eneo, je ni pepo?

    Huyu ni rafiki yangu tangia zamani na mpaka leo tupo karibu, tunafanya nae kazi shirika moja na ni moja ya marafiki zangu wachache ambao tumejuana muda mrefu. Sasa huyu rafiki yangu anapenda sana muziki kuucheza tangu sekondari, huko chuo ndio kabisa alikuwa mzee wa disco sana, na hata...
  10. Planett

    JamiiForums Tanzania Kama unajua matumizi ya iki kifaa PEPO utaishia kuisikia tu

    Wajomba kama unajua kazi ya hiki kifaa nenda katubu kwa Muumba wako haraka sana.
  11. Distant Relatives

    JamiiForums Tanzania Je, wanawake wameahidiwa pepo ya namna gani?

    Habari wadau? Kwanza naomba ieleweke lengo la hoja hii ni kuelimishana. Nilikuwa nasikiliza mawaidha ya Sheikh, ambaye bahati mbaya sijaweza mpata jina, akielezea juu ya maisha baada ya kifo. Ujumbe wake ni kuwa wanadamu watii maamrisho ya Mungu, huku wakiahidiwa pepo yenye maisha ya starehe...
  12. funluverx

    JamiiForums Tanzania Nikikukuta Mbinguni, nitaaanzisha maandamano.

    Tulikuwa wapenzi miaka kadhaa nyuma. Tukaachana kwa amani. Majuzi tukakutana ghafla tena, Yeye akiwa Kaolewa na Vitoto viwili vizuuriii pacha. Kiukweli kapendeza hadi Udenda unanichuruzika.Ila, nikawa nashindana na shetani wa matamanio, Shetani shindwa!! Lawama kibao ananimwagia; "una tabia...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Pepo la Itunes limelitoa leo

    Iphone tunatumia lakini kuna mambo mengine ya apple tunajikaza tu, ni ya kiduwanzi ile mbaya, kimoja wapo ni hili jinamizi la iTunes, msema kweli mpenzi wa Mungu. Nenda apple app store download VOX. Hili li iTunes la Apple eti ukicheza playlist mwimbo wowote inaanzia ulipoishia mara ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kemea Pepo la Mapingamizi

    Kwa kawaida kwenye ibada wanazo shiriki wengi, kunakua na vipindi mbalimbali. Kuna praise and worship, kuna mahubiri, kuna maombezi na kadhalika na kadhalika. Upande wa siasa, waungaji mkono wa zile juhudi wamemaliza kipindi Peaise and Worship! Wanaounga mkono sasa hivi wapo kwenye kipindi...
  15. Maleven

    JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  16. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Askofu Gamanywa: Pepo la kuasi liko ndani ya vyama vyote vya siasa siyo upinzani pekee

    MEZA YA BUSARA WAPO RADIO ipo hewani muda huu ni vizuri kuiskiliza, leo imekuja na hoja kuwa Upinzani ni uasi. Huku ni kipindi maalum kilichozinduliwa na Polepole wiki iliyopita mahsusi kwa kampeni za uchaguzi kwa CCM.
  17. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Miaka 16 imetimia tangu nilishinde pepo la uvutaji bangi na punyeto

    Leo Ni siku ya jumapili ya mwisho wa mwezi January, napenda kuchukua nafasi hii kuongea na vijana, mtakumbuka miaka ya 1990 ni kipindi ambacho vijana wa shule ya msingi walikuwa vidume.... Vidume vikongwe vikiwa vinasoma msingi....na Mimi nikiwa kijana mdogo nilijifunza tabia zao ikiwemo kuvuta...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa awatakia uchaguzi mwema CHADEMA. Zikutanapo pepo za Kaskazi na Kusi hutokea kisulisuli!

    Mgombea urais wa CHADEMA mwaka 2015 amekitakia chama chake cha zamani uchaguzi mwema na kuwakumbusha kuwa zikutanapo pepo za Kaskazi na Kusi unaweza kuupata upepo wa kisulisuli. Siasa sio uadui Maendeleo hayana vyama!
Back
Top Bottom