Kuna kufungwa, kufanga na kutoka sare. Sasa km timu unayoishabikia imefungwa usichukue hisia zako ukawa na hasira kiasi cha kutaka kuvunja mpaka TV.
Ilikua hivi mpira umeanza alipofungwa SA dakika za mwanzo kabisa nikaona mtu anaanza kuuma ulimi nikasema emu tusubiri tuone gemu imeendelea mpaka...
Ndio wengi hujaribu kabla ya kuingia rasmi je ulitumia mbinu gani Kwa wateja wa mbali na karibu usiseme tu mtandao SEMA SIRI YAKO YA MAFANIKIO.
Itasaidia wengine kuepuka kukurupuka na mitaji yao ya kubahatisha
Sawa najua yako sikupangii matumizi, ila be present at the moment angalau itaonyesha utimamu wako.
Na ikikubidi omba udhuru kisha utarejea au kama hulitaki tukio usiende/usije/usishiriki. Inashangaza mtu anakuita Kwa maongezi lakini yuko busy mno na simu yake, focus yake imehama iko kwingine...
Arusha, asanteni sana. Baada ya muda mrefu bila kukutana, leo mmekuwa mashuhuda wa upendo wa demokrasia na haki katika nchi yetu.
Pamoja na hofu iliyojengwa juu ya maumivu makali, mateso na mauaji, bado mmejitokeza kwa matumaini makubwa.
Ni ushauri wa Bure Kwa mwanaume anayetaka kubaki kwenye nafasi yake ya uanaume.
Ambao mmeamua kuleft siwashangai Wala kuwadharau uanaume ni kazi ngumu sana
Huwezi kuambiwa jikaze kimwanamke , jikaze kiume ndo NENO liko Hadi kwenye maandiko
Washkaji zangu, embu tuache utani kwenye maisha yetu. Umewahi kucheki tyre ya gari yako ukakuta imetokeza "nundu" au uvimbe fulani hivi pembeni? Wengi tunasema "ah, bado inatembea," lakini ukweli ni kwamba hilo ni BOMU na unatembea nalo!
Sasa, kwanini tyre inavimba hivi? (Hizi ndio sababu)...
Nilikutana na mwanamke msukuma, ana sura ya baba ila biyo shape duuuh! Mk*nd mkubwa sana mzuri, somebody V .
kama upo hapa nicheki pm please, SIKUSAHAU.
tuliwahi ku do juu ya deka Maeneo ya TMK maduka mawili.
Come dm omease kama utaona hii.
Ulikua unavaa miwani hivi.
Usijiulize mengi njoo...
Hamjambo wakuu!
Poleni wote kwa yote yaliyotokea. Waliopoteza wapendwa wao, waliopata majereha, waliopoteza mali iwe kwa kuibiwa au kuchomwa moto. Na zaidi Mungu awape pumziko linalowastahili waliopoteza maisha.
Upande wangu mambo yalikuwa magumu sana ukizingatia ninapoishi na karibu kabisa na...
Tukiacha unafiki mwanamke hafai kuwa Rais wa nchi sio tu Tanzania Duniani kote!
Tujiulize kwanini Marekani imegoma kabisa kutawaliwa na mwamke? Wakati ndiye baba wa democracy Duniani?
Kwa sasa mafundi wanalipiga lipu nje ukutani limenivutia Sana Ila sijapata nafasi kusoma kibao kujua client ni Nani? Msaada wajuzi wa mambo ni ubalozi, apartment, msikiti, au nyumba ya mtu.
katika Uislamu cheo na madaraka si kitu cha kung’ang’ania au kukipigania kwa hila. Mtume Muhammad ﷺ alitufundisha kuwa cheo ni amanah (uaminifu) na mzigo mkubwa kwa mwenye kupewa.
🔹 Dalili kutoka Hadith:
Mtume ﷺ alimwambia Abdurrahman bin Samura:
(Hadith Sahih Bukhari na Muslim)
Mtume ﷺ...
Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni. Nisaidieni mawazo wakuu
GT
Hakuna asiyemjua Rostam.kwamba ni moja ya genge la wanaonufaika na serikali dhaifu.
Rostam alikuwa timu Lowasa amabalo ni kati ya magenge ya wahuni hapa nchini yanayoteketeza mali za umma.
Walienda na Samia.US kusaini huu.maktaba je ulihusu nini? Anaweza kuja hadharani na kutuambia.
Wanabodi
Hu ni mwendelezo wa ushauri kwa Balozi Humphrey Polepole,nimeisikia ile sauti ya The voices from within kuwa, Balozi Polepole atavuliwa hadhi yake ya ubalozi!, hivyo ubalozi wa Polepole ni kwaheri!。Na akiisha vuliwa ubalozi, then atashughulikiwa kikamilifu!.
Mtu huwezi kukata tawi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.