paul makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Etwege

    Clouds Media: Hatuhusiki na kumshitaki Makonda

    Mtangazaji Mwandamizi wa Kituo cha Clouds Media Sam Sasally Amesema Kuwa Kituo Cha Clouds Hakihusiki na Taarifa zilizosambazwa Kwenda Kumshtaki Mahakamani Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw PAUL MAKONDA Akichambua Taarifa Iliyoandikwa Katika Gazeti la RAIA MWEMA Inayosema Wakili wa...
  2. R

    Sabaya na Makonda hawastahili kushtakiwa

    Sababu kubwa kwanini hawastahili kushitakiwa ni Katiba yetu inatoa mamlaka kubwa sana kwa taasisi ya Urais ,hivyo kila Rais anateua kulingana na mfumo anaotaka kuongoza. Awamu iliyopita iliamini ukitakuongoza nchi za Afrika ni lazima ulazimishe watu watii amri, wafanye kazi, na hela iingie...
  3. Fundi Madirisha

    Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

    Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya. ==== Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya...
  4. R

    Tunataka Paul Makonda awe accountable kwa matendo yake ya kuvunja haki za binadamu

    Tunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia. Tunataka awajibishwe
  5. J

    Ole Sabaya, Makonda, Gambo, Happi na Chalamila waliaminiwa sana na Hayati Magufuli

    Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli. Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe. The big 5 ndio watailinda legacy...
  6. B

    Paulo afuata nyayo za Nape, atuma ujumbe kumwombea msamaha kwa aliowakosea

    Vikwazo vya kiuchumi si tatizo Sana kwa bilionea Paul, vikwazo vya madaraka ni kikwazo kikubwa kufikia ndoto zake hapa Duniani. Upo mkwamo ndani yake na Hana budi kuvuka vinginevyo mkwamo huu utafifisha kila hatua aliyowahi kupiga kwenye siasa. Tunajifunza kwa waliofanikiwa,naamu tunajifunza...
  7. Samia atosha tukutane2030

    Kumfunga Sabaya huku mamlaka zikimtetea Paul Makonda hii haikubaliki

    Habari, Mimi ni miongoni mwa watu wachache tuliokuwa tukiuchukia uongozi wa Magufuli. Matendo maovu na viburi kutoka kwa wateule wa Magufuli akiwemo Sabaya na Makonda ndivyo vilichochea zaidi kuichukia serikali ya Magufuli. Hawa vijana waliojizolea utajiri kwa kutumia mamlaka yao hawafai...
  8. Stuxnet

    Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

    Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite. Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo; 1. Kuuawa kwa Ben Saanane 2. Kushambuliwa Tundu Lissu 3. Kuuawa kwa Akwilina 4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka...
  9. Fundi Madirisha

    Paul Makonda unatakiwa ujifunze na ujitafakari sana

    Kitu pekee ambacho ninajifunza katika hii dunia ni kwamba kila nifanyalo ni lazima lipite, itakua "ilishakuwa". Kiufupi ili uendelee kufurahia maisha katika hii dunia tendwa wema wenzako, tenda haki, jiepushe na arrogance (kibri na majivuno). Paul Makonda aliyekabidhiwa mkoa mkubwa wenye...
  10. MamaSamia2025

    Nabii Mashimo amtaja Malisa GJ kama mrithi wa Paul Makonda

    Huko kwenye viunga vya Instagram tayari Mchungaji wa taifa na nabii komandoo Mashimo ametamka wazi kwamba kijana na kada wa CHADEMA, kamanda Malisa GJ kuwa mrithi wa RC mstaafu Baba Keagan. Mimi kama mwanafunzi wa shule ya uongozi chini ya mwalimu mkuu Komredi POLEPOLE nimefurahishwa na tamko...
  11. Idugunde

    Kama Paul Makonda angekuwa RC Dar matukio ya ajabu yasingetokea, maana alidhibiti uhalifu. Wauza shisha walipotea kama barafu iliyoyeyuka

    Msingi wa jeshi la polisi imara ni operation ili kudhibidi uhalifu. Ndio maana Makonda kama mkuu wa masuala ya usalama aliamini kwenye operation. Makonda alimsimamia vyema Igp Sirro wakati huo ni kamanda wa kanda maalumu kuhakikisha uhalifu wa kila aina unatoweka Dar. Vibaka, wahuni, majambazi...
  12. Mtu Asiyejulikana

    CHADEMA imwombe radhi Paul Makonda kwa kumchafulia jina

    Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi. Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu. CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki...
  13. Lord OSAGYEFO

    Paul Makonda alivamia Clouds TV na silaha za kivita hakuitwa gaidi

    Wadau nadhani tunakumbuka tukio la uvamizi wa kituo cha televisheni cha Couds, Mikocheni jijini DSM uliofanywa na Paulo Makonda. Je, huu haukuwa ugaidi? Mbona hatukuona polisi kumkamata na kumfungulia mashtaka ya ugaidi au ugaidi ni kwa wanaodai Katiba Mpya? Sent from my SM-J600F using...
  14. Idugunde

    Paul Makonda, jembe liliosahaulika pamoja na kuinyoosha Dar. Lilimpigia chapuo Samia Suluhu kupata Umakamu wa Rais

    Kila mtu atakubali kuwa huyu jamaa aliionyoosha Dar. Maana vibaka, wazembe wa kila aina, wauza unga na matapeli walikiona cha moto. Mbali ya hayo ni Makonda aliyempigia chapuo mama Samia awe makamu wa rais mwaka 2014 wakati bunge la katiba likiendelea mkoani Dodoma. Cha ajabu amesahaulika...
  15. GENTAMYCINE

    Ni Kitu gani kimeufunika ghafla ule 'Mvumo' wa Hasira za Watanzania wa Mitandaoni kwa Ole Sabaya na Paul Makonda?

    Nimeshtuka kuona sasa ni Wiki ya Tatu hii Watanzania wengi wa Mitandaoni ni kama vile tumezimwa ghafla na ule 'Mvumo' wetu wa Kumsagia Kunguni Ole Sabaya na Pacha wake wa Matukio ya 'hovyo hovyo' nchini Paul Makonda. Ni kwanini Watanzania wa Mitandaoni humu na hata wale wa nje ( katika Jamii )...
  16. GENTAMYCINE

    Baada ya Salum Hamduni wa PCCB 'kumtetea' na 'kumlinda' Paul Makonda, naomba nitume salamu za pole kwa wafuatao...

    1. Ben Saanane pole sana huko uliko. 2. Azory Gwanda pole sana huko uliko. 3. Binti Akwilina Akwilina pole sana huko uliko. 4. Clouds tv hasa hasa Marehemu Ruge na Watangazaji wa Shilawadu akina Soudy Brown na Kwisa, poleni sana. 5. Mwanamuziki Roma Mkatoliki pole sana. 6. Yusuf Mehboob...
  17. U

    Yusuf Manji arejea Tanzania

    Mfanyabiashara maarufu nchini Yusuph Manji amerejea jioni ya leo Juni 01,2021 kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) Manji alipowasili leo alizuiliwa kwa muda na maofisa Uhamiaji waliotaka kujiridhisha na uraia wake na kisha aliruhusiwa baada ya Maofisa hao...
  18. K

    Dar es Salaam bado inamuhitaji Paul Makonda sana

    Kiukweli hili jiji bado linahitaji huduma ya aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa huu Mheshimiwa Paul Makonda "Bashite" Kwa sasa jiji limepoa, kama vile halina mkuu wa mkoa Sisi wananchi wa Dar tunakuomba Rais Magufuli uturudishie mtu huyu muhimu kwa maendeleo ya jiji ilikuwa haiwezi pita mwezi bila...
  19. M

    Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

    Kwangu mimi kutokana na Tuhuma zao (hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi. Unatoaje amri ya kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa Rais Samia tafadhali hakikisha...
  20. B

    Kiingereza cha Paul Makonda kimejichimbia ardhini

    Nimefuatilia mara kadhaa kuona uwezo wa Paulo kujibu hoja kwa kutumia lugha yake ya darasani , mara kadhaa anaponyemelea vyombo vya habari ujificha kwenye kiswahili. Niombe kujua kiingereza kipo pale au kipo chakuandika?
Back
Top Bottom