paul makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Kilimbatzz

    Ombi: Makalla Dar ishamshinda. Mama mrudishe Makonda

    Sijawahi kupenda mambo binafsi ya Makonda,ila naikubali kazi yake ya Uongozi na Uchapakazi Sina haja ya kuweka resumé yake hapa kwani kazi zake zinaishi Kama Mama hatojali,mrudishe Makonda
  2. Suzy Elias

    Paul Makonda informer wa Benard Membe katika ya Utawala Magufuli

    Ipo habari msisimko isiyofahamika na wengi kumhusu Aliyewahi kuwa W NJ ndugu Benard Membe aliyetangulia mbele za haki na ndugu Paul Makonda aliyepata kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Nyuma ya pazia, wawili hao wana hadithi nzuri na yenye fundisho ndaniye. Kwa sababu wahusika wakuu hatunao...
  3. Shujaa Mwendazake

    Tuhuma za Madawa ya Kulevya: Kamishna Jenerali wa DCEA akosoa utaratibu alioutumia Makonda

    Jana katika kipindi cha Dk 45 ITV walikuwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ambaye alipinga vikali utaratibu uliyokuwa unatumiwa na aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa DSM Ndug Paul Makonda wa kuwataja hadharani watu aliokuwa akiwatuhumu au wakidhaniwa kuhusika...
  4. D

    Kama Paul Makonda alifoji jina na cheti basi mchunguzeni na Amos Makalla

    Paul Makonda alizama kwenye kashfa nzito ya kufoji cheti na jina. Badala ya kuitwa Albert Bashite akaitwa Paul Makonda ikawa ni kasha nzito sana katika mfumo wetu wa elimu. Nawapa assignment kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wa sasa Amos Gabriel Makalla. Huyu si Makalla wala si Mluguru wa...
  5. Tajiri wa kinyankole

    Tetesi: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Serikali ya Awamu ya Tano Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga

    Hii ni habari mpya kabisa kijana mchapakazi Paul Makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa Shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kuna maridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejua jinsi ya kucheza mpira na wapinzani. Kama ni kweli...
  6. Idugunde

    Paul Makonda shujaa wa taifa aliyesahaulika. Alipambana dhidi ya mateja, majambazi na matapeli wa kila namna

    Dar es Salam ilikaa kwa shwari Maana matapeli wa viwanja na pesa walikamatika Majambazi walikimbia na kuaicha Dar. Mafisadi wa ardhi walikimbia kama mbwa.
  7. Chakaza

    Makonda sasa utujibu kuhusu sakata la Roma Mkatoliki

    Tuhuma zako ni nyingi sana kuwa umeshiriki utekaji, mateso na hata uuaji. Pengine hizi tuhuma ni kweli au pia sio kweli. Lakini mwenye majibu kamili ni wewe mwenyewe. Sasa tuambie ukweli, wakati watu wamejawa na mashaka kuwa Roma Mkatoliki ndio ametoweshwa kabisa kama Ben Saanane ulijitokeza na...
  8. K

    Makonda, William Malecela wadaiwa kupanga njama za kumchafua aliyewashitaki kwa utapeli wa gari

    Makonda, Lemutuzi wapanga njama kumchafua PCK Kisutu leo WAKATI kesi ya madai namba 234/2022, iliyofunguliwa na Mfanyabiashara Patrick Christopher Kamwelewe ‘PCK’ dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mwanamitandao William Malecela ‘Le Mutuz’, ikitarajiwa kuanza...
  9. Erythrocyte

    Paul Makonda na William Malecela waburuzwa kizimbani kwa tuhuma za kudhulumu gari

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na William Malecela maarufu Lemutuz wamefunguliwa kesi mahakamani kwa tuhuma za uporaji wa gari aina ya Range Rover. Makonda na Lemutuz wamefunguliwa kesi hiyo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na mfanyabiashara Patrick Christopher...
  10. Dezoizo52

    Paul Makonda kwenye suala la kutatua changamoto za wananchi alikuwa the best kuliko wakuu wa mikoa wote Tanzania

    Nimetoka sebuleni na kuja kwa kitanda kujipumzisha, sasa nikawaza hivi inakuaje mji kama Dar es salaam usikalike eti kwa ajili ya panya rodi? Ndipo mke wangu akamkumbuka Paul Makonda na kunikumbusha laiti angekuwepo madarakani hawa mapanya road ingekuwa historia. Viongozi wengi wa sasa...
  11. F

    Paul Makonda nimekumisi

    Huyu bwana alichangamsha jiji, Dare salaam siyo ya dezo dezo inahitaji mkuu wa mkoa jeuri mwenye vijembe na masimango kama Makonda. Huyu wa sasa mwenye shavu kama kameza fundo la castle light na miwani ya kihuni ni tabu tupu mkoa umemshinda Panya road wanafanya watakavyo pamoja na mikwara...
  12. Erythrocyte

    Kubenea ashinda kesi dhidi ya Makonda. Alidaiwa kumtusi na kuhatarisha usalama

    Leo Mahakama ya Kisutu imempa ushindi Mbunge wa zamani wa Ubungo , Saed Kubenea dhidi ya Mwanaccm Paulo Makonda. Ikumbukwe kwamba Makonda akiwa na vyeo vya kuteuliwa alimshitaki Kubenea kwa kumtusi na kumhatarishia Maisha (YAANI ETI KUBENEA AHATARISHE MAISHA YA MAKONDA!) Kubenea alikuwa...
  13. Mganguzi

    Namwombea msamaha Paul Makonda, ni damu changa iliyozikwa mapema

    Mimi Makonda ni mdogo wangu kiumri na hata kiutumishi. Nilikuwepo wakati akihudumu kama mkuu wa mkoa wa Dar. Ni kijana shupavu asiyeyumba katika jambo analoliamini. Makonda alisaidia sana Jiji la Dar kuwa salama alikimbizana Sana na wauza madawa pamoja na waliotelekeza watoto. Alilimudu Jiji...
  14. Kipenzi Changu

    Katibu Mkuu CCM ampiga dodoki Paul Makonda

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Chongolo amesema aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya kazi kubwa wakati akiwa Mkuu wa mkoa ya kujenga Ofisi za Chama hicho Kinondoni na Kigamboni. “Ni lazima tutambue kuwa aliyekuwa Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es salaam (Paul...
  15. Robert S Gulenga

    Tukiwa madarakani ni muhimu kusoma vitabu hivi

    Kwenye maisha tunayoishi, ni muhimu kujifunza kupitia vitabu hivi, 1. THINGS FALL APART - By Sabaya Itakusaidia saana kujua kuwa kuna siku madaraka huisha na kutakiwa kuwajibika kwa yale uliyoyatenda iwe Mbinguni au hapa duniani, kitabu hiki kitufundishe kuwa ikifika nyakati hizi ni Muhimu...
  16. chiembe

    WASAFI ya Diamond Platnumz wamemtupia virago Paul Makonda?

    Huyu ndugu alikuwa na vyeo vingi pale, ametupiwa virago? Hasikiki tena, Kuna wakati walimuimba eti ni baba yao
  17. B

    Ushauri kwa mkuu wa mkoa wa zamani wa Dar es Salaam Paul Makonda

    Nakushauri vitu viwili tu muhimu sana,kwa haya yanayo endelea katika mitandao ya kijamii. 1.Mshauri mkeo wako kutojihusisha na mitandao ya kijamii kabisa...sababu kwa yanayoendelea katika mitandao yanaweza yakamletea matatizo na kumpelekea kufa kwa pressure ya hofu juu yako. Na kama alikupendea...
  18. B

    Ushauri Paul Makonda jinsi ya kukabiliana na changamoto anazopitia

    Nakushauri vitu viwili tu muhimu sana,kwa haya yanayo endelea katika mitandao ya kijamii. 1.Mshauri mkeo wako kutojihusisha na mitandao ya kijamii kabisa...sababu kwa yanayoendelea katika mitandao yanaweza yakamletea matatizo na kumpelekea kufa kwa pressure ya hofu juu yako. Na kama...
  19. JanguKamaJangu

    Jeshi la Polisi: Madai ya Makonda kuuawa, kama yupo ‘siriasi’ aende Polisi

    Muda mfupi baada ya RC wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuandika mtandaoni kuwa kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua, Jeshi la Polisi limesema kama kweli ana hofu anatakiwa aende kutoa taarifa Kituo cha Polisi. Akizungumza na Kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi...
  20. BigTall

    Le Mutuz naye ampopoa Paul Makonda, amwambia dharau zimemponza

    ZE AKILI ZANGU ZA ASUBUHI LIVE! WARAKA WANGU LIVE KWA NDUGU YANGU MARKO: Nimeusoma kwa MASIKITIKO MAKUBWA SANA WARAKA WAKO WA Baadhi ya Makundi katika Jamii kutaka KUKUMALIZA NA HASA KUKUNYONGA....NINAANDIKA WARAKA huu KWA SABABU YA MY AMERICAN SPIRIT ni kwamba wewe ni Ndugu yangu sana...
Back
Top Bottom