Paul Makonda amenifundisha jinsi watu walivyo wanafiki

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,125
11,114
Kipindi Paul Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Jiji zima likikuwa lake yaani alikuwa kama mfalme wa Dar maana alijiamini kupitiliza sababu aliyemteua alimvimbisha kichwa akajiona amefika

Enzi hizo Paul alikuwa na wapambe kila kona, wasanii wote walimuita Baba, Wcb wakamuita mlezi wao yaani wasanii walikuwa wanajipendekeza na kumpamba balaa mitandaoni kuanzia Diamond hadi hao akina Shilole ilikuwa ni balaa

Ukija kwa wapambe wake A.K.A Chawa, Chawa mkuu wa Makonda alikuwa ni Lecoconanga nyenyenye, Le Mutuz alikuwa akimpamba Makonda zaidi ya ndugu yake yaani alikuwa anamuita makonda Le commandant fidel marshal sjui

Makonda alikuwa na wapambe wa kumwaga yaani ilikuwa ikifika siku ya Birthday yake istagram nzima ya wasanii inampamba

Ila cha kusikitisha tokea apigwe chini kiladaraka, wale wapambe wake wote kwa sasa ni kama hawamjui wote wamemkimbia huyo lemutuz ndio kabisa skuizi ni kama hawafahamiani yani , hapo ndipo utakapojua kuwa hata wewe ukiwa na madaraka au vijisenti jua wengi watakaokupamba ni wanafki wa hali ya juu yaani utapata marafiki wengi wanafki na wachache wa ukweli
 
Hizi Uzi za makonda mnakuwa mnazileta mkiwa na maana gani? Mbona mnamtukuza mtu mpumbavu sana?

Hakuamini kwamba kwenye uteuzi hatapata labda aendelee kwenda huko kwao vichakani alikokukataa akagombee ubunge maana ndio anachofanya najua wasukuma watampa so wanamsifia Kama wewe eti aliliweza jiji la Dar, Yani ule upumbavu wake ndio mnasema aliliweza jiji?

Jambo gani amewahi kufanya na linaonekana matunda yake zaidi ya matamko ya kijinga na kushinda majukwaani na akina Wema na Diamond?

Nonsense kabisa
 
Hizi Uzi za makonda mnakuwa mnazileta mkiwa na maana gani? Mbona mnamtukuza mtu mpumbavu sana???

Punguza makasiriko mkuu.
 
Kipindi Paul Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Jiji zima likikuwa lake yaani alikuwa kama mfalme wa Dar maana alijiamini kupitiliza sababu aliyemteua alimvimbisha kichwa akajiona amefika

Enzi hizo Paul alikuwa na wapambe kila kona , wasanii wote walimuita Baba, Wcb wakamuita mlezi wao yaani wasanii walikuwa wanajipendekeza na kumpamba balaa mitandaoni kuanzia Diamond hadi hao akina Shilole ilikuwa ni balaa

Ukija kwa wapambe wake A.K.A Chawa ,Chawa mkuu wa Makonda alikuwa ni Lecoconanga nyenyenye , Le mutuz alikuwa akimpamba makonda zaidi ya ndugu yake yaani alikuwa anamuita makonda Le commandant fidel marshal sjui

Makonda alikuwa na wapambe wa kumwaga yaani ilikuwa ikifika siku ya Birthday yake istagram nzima ya wasanii inampamba

Ila cha kusikitisha tokea apigwe chini kiladaraka,wale wapambe wake wote kwa sasa ni kama hawamjui wote wamemkimbia huyo lemutuz ndio kabisa skuizi ni kama hawafahamiani yani , hapo ndipo utakapojua kuwa hata wewe ukiwa na madaraka au vijisenti jua wengi watakaokupamba ni wanafki wa hali ya juu yaani utapata marafiki wengi wanafki na wachache wa ukweli
Nani kakuambia dunia ya leo usipokuwa na cheo kikubwa au Pesa ya kutisha watu wanakutetemekea? TAFUTA HELA. Acha kuandika uzi wa kumpongeza mjinga kama bashite
 
Hizi Uzi za makonda mnakuwa mnazileta mkiwa na maana gani? Mbona mnamtukuza mtu mpumbavu sana???

Hakuamini kwamba kwenye uteuzi hatapata labda aendelee kwenda huko kwao vichakani alikokukataa akagombee ubunge maana ndio anachofanya najua wasukuma watampa so wanamsifia Kama wewe eti aliliweza jiji la Dar, Yani ule upumbavu wake ndio mnasema aliliweza jiji?

Jambo gani amewahi kufanya na linaonekana matunda yake zaidi ya matamko ya kijinga na kushinda majukwaani na akina Wema na Diamond?

Nonsense kabisa
Aliwahi kusema jangwani litajengwa daraja la mita 300
 
Kipindi Paul Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Jiji zima likikuwa lake yaani alikuwa kama mfalme wa Dar maana alijiamini kupitiliza sababu aliyemteua alimvimbisha kichwa akajiona amefika

Enzi hizo Paul alikuwa na wapambe kila kona, wasanii wote walimuita Baba, Wcb wakamuita mlezi wao yaani wasanii walikuwa wanajipendekeza na kumpamba balaa mitandaoni kuanzia Diamond hadi hao akina Shilole ilikuwa ni balaa

Ukija kwa wapambe wake A.K.A Chawa, Chawa mkuu wa Makonda alikuwa ni Lecoconanga nyenyenye, Le Mutuz alikuwa akimpamba Makonda zaidi ya ndugu yake yaani alikuwa anamuita makonda Le commandant fidel marshal sjui

Makonda alikuwa na wapambe wa kumwaga yaani ilikuwa ikifika siku ya Birthday yake istagram nzima ya wasanii inampamba

Ila cha kusikitisha tokea apigwe chini kiladaraka, wale wapambe wake wote kwa sasa ni kama hawamjui wote wamemkimbia huyo lemutuz ndio kabisa skuizi ni kama hawafahamiani yani , hapo ndipo utakapojua kuwa hata wewe ukiwa na madaraka au vijisenti jua wengi watakaokupamba ni wanafki wa hali ya juu yaani utapata marafiki wengi wanafki na wachache wa ukweli
Utakuta hata simu zake hawazipokei tena
 
Yeye mwenyewe alianza kwa kuwa chawa wa Ridhione alipopata Ukuu wa Mkoa akamgeuka Ridhi
Maisha ni kama gwaride tu. Muongozaji akiamuanutangulie sawa,akiamua uwe wa mwisho pia sawa
 
Ni mpumbavu kabisa yule. Hizo ni city plans ambazo zipo Tanroads yeye RC hahusiki kabisa Ile sio miradi anayoisimamia.

Mwanaume akiwa na makalio makubwa akili inahamia kwenye mnyeso
Pole ndugu punguza hasira. Inawezekana asisome huu ujumbe japo moyo wako/nafsi yako imeridhika!. Lakini pole nahisi unaweza kuwa uliumizwa personally
 
Yeye mwenyewe alianza kwa kuwa chawa wa Ridhione alipopata Ukuu wa Mkoa akamgeuka Ridhi
Maisha ni kama gwaride tu. Muongozaji akiamuanutangulie sawa,akiamua uwe wa mwisho pia sawa
Hata narehemu Samwel Sitta....

Mzee alikuwa mbaya sana yule

Kamharibu kijana wa watu makalio yanatanuka tu
 
Kipindi Paul Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Jiji zima likikuwa lake yaani alikuwa kama mfalme wa Dar maana alijiamini kupitiliza sababu aliyemteua alimvimbisha kichwa akajiona amefika

Enzi hizo Paul alikuwa na wapambe kila kona, wasanii wote walimuita Baba, Wcb wakamuita mlezi wao yaani wasanii walikuwa wanajipendekeza na kumpamba balaa mitandaoni kuanzia Diamond hadi hao akina Shilole ilikuwa ni balaa

Ukija kwa wapambe wake A.K.A Chawa, Chawa mkuu wa Makonda alikuwa ni Lecoconanga nyenyenye, Le Mutuz alikuwa akimpamba Makonda zaidi ya ndugu yake yaani alikuwa anamuita makonda Le commandant fidel marshal sjui

Makonda alikuwa na wapambe wa kumwaga yaani ilikuwa ikifika siku ya Birthday yake istagram nzima ya wasanii inampamba

Ila cha kusikitisha tokea apigwe chini kiladaraka, wale wapambe wake wote kwa sasa ni kama hawamjui wote wamemkimbia huyo lemutuz ndio kabisa skuizi ni kama hawafahamiani yani , hapo ndipo utakapojua kuwa hata wewe ukiwa na madaraka au vijisenti jua wengi watakaokupamba ni wanafki wa hali ya juu yaani utapata marafiki wengi wanafki na wachache wa ukweli

Nitacoment na kukujibu kwa aya nikiweza..,

Kuhusu wasanii Chidi Benz the Genius alimaliza kila kitu kumhusu na kumshauri DAB jinsi ya kuishi na bongofleva na bongo movie , nitainsert video/audio nikiisakua.

Dogo DAB one day akiwa na sirens zake alipaki hafla jengo moja ivi posta pale alikua anapanda kwenda gorofani na escalator kupata golden customer care ATM bank moja kapuni, dogo alisimamisha shughuli za chini pale parking na accelleration lane alishuka kama Neyo laggs jeans unbuttoned trech shirt kama sio RC vile ikiwa ni normal weekdays….

Lemutuz na wenzake washahamisha magoli mwenzie anashinda leaders kubemenda the new wateuliwa in town….kwwnye hekaheka za uhuru Lembembez Tuz kaonyesha ujanja wa mjini mchizi hawezi kukaukiwa connection bongo hii ni masterplan ..akina Steve Nyerere (Spika mtarajiw labda wa bongo movie) hali vizuri chamani bila Le mutuz.

DAB has something to learn he will bounce back soon or later ila kuna ushauri nilimpa akiupuzia it will be good for life.
 
ni kawaida hiyo kwa binadamu,ukiwa nacho ndio unaonekana,kama huna no one mind you.social acceptence and recogination depends on one degree of money .Money has become a symbol of stutus in our society ,
 
Back
Top Bottom