password

  1. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wa siku hizi wanapaswa kupeana Password za Simu au kila mtu na yake?

    Kila siku tunasikia mijadala inayoibuka kuhusu privacy kwenye mahusiano, na swali kubwa ni hili: Je, wanandoa wa kisasa wanapaswa kupeana password za simu zao au kila mtu abaki na yake? Tuko kwenye enzi ya teknolojia, ambapo simu imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya mtu binafsi – kuna wale...
  2. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu iongeze umakini katika maombi ya ku recover password

    Nimeona malalamiko ya Wadau wakilalamika password zao zilibadilishwa muda mchache baada ya kuibiwa simu zao na fedha kutolewa kwenye account. Huenda mitandao ya simu hukubali maombi ya kubadilisha password kwa namna dhaifu na matapeli kutumia mwanya huo kuomba kubadilishiwa password na kuweza...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kubadilisha BIOS password

    Habari za mda wadau wa jf. Ndugu zangu mwaka jana nilinunua laptop aina ya dell latitude 3410 hapa kipindi nainunua niliikuta ikiwa na setup ambayo inaiwezesha kuwasha kwa kukunjua tu ile screen yake. Ni kwamba huwezi kuwasha wala kuzima kwa kutumia power button. Kwa mda mrefu nilikuwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimesahau password ya app store nofanyaje

    Wakuu nashindwa download application baadhi baada ya mim kusahau password ya app store nifanyaje ili niweze kupata password
  5. B

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Portal wapo kweli ofisini? Dawati la msaada ambalo halisaidii kitu

    Habari wana JF, kumekuwa na malalamiko ya watu wengi sana kuhusu system ya ajira portal na hata pale unapokuwa na changamoto fulani na kuhitaji msaada kutoka kwao kupitia "help desk" numbers imekuwa changamoto kuwapata. Utapiga simu muda wote zinatumika, labda wanakuwa very busy kuwahudumia...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Haya ndo Makosa huyafanywa wakati wa kutengeneza "Password"

    Makosa Unayofanya Unapotengeneza Neno la siri: Kutumia Jina lako au Tarehe yako ya kuzaliwa Kutumia Neno la Siri moja kwa akaunti zako zote Kutumia herufi peke yake KUMBUKA Unapounda neno la siri, hakikisha unatumia herufi kubwa na ndogo, namba, na alama za uandishi kwa usalama zaidi. Epuka...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kivinjari Salama: Miongozo 5 Bora ya Kulinda Faragha Yako ya Kidijitali

    Kadiri biashara zinavyozidi kuelekea kwenye majukwaa ya kidijitali, uwepo wetu mtandaoni na shughuli zetu zimekuwa muhimu kwa kazi zetu za kila siku. Pamoja na ongezeko la uhalifu wa mtandao, kulinda taarifa kutokana na ulaghai na vitisho vya mtandaoni ni muhimu zaidi kuliko hapo awali. Kulinda...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Can you crack the password?

    Haya Ma-Genius kazi kwenu,
  9. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kurudisha account niliyosahau password

    Habari wanajamvi! Poleni na mahangaiko ya kupambana na maisha. Kama title inavyojieleza, naombeni msaada kwa anayeweza kunielekeza namna ya kurudisha account yangu ya Facebook ya biashara ambayo kiukweli nimesahau password yake. Account hii niliifungua mwaka 2012 nikawa naitumia kwa malengo...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kuhack password ya wi-fi

    Wanasema kizuri kula na nduguyo. Nimehamia mtaa fulani hivi wa raia wamejifungia kwenye mageti yao. Sasa huku fibre hakuna ila raia wamefunga superkasi. Katika kuhangaika nikapata tool moja inaitwa wifite. Aisee haka kadude ukiscan kanakuletea wifi zote zinazopatikana na password zake ndani ya...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Account facebook kuwa hacked na kubadilishwa password

    Kuna rafiki yangu anasema account yake ya facebook wameibadili password na email aliyotumia kufungulia...ila anasema wahuni walianza kuingia na kupost vitu vya ajabu hapo awali kabla hawajambadilishia hizo taarifa zake. Anaomba msaada namna ya kurudisha account yake kwani alishaizoea na ina...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanandoa ni Lazima Wa-share Password za Akaunti Benki na Simu.

    WANANDOA NI LAZIMA WA-SHARE PASSWORD ZA AKAUNTI ZA BENKI NA SIMU Anaandika, Robert Heriel MTIBELI. Dunia ya kitapeli huzalisha ndoa za kitapeli, Wanandoa matapeli, Watoto na kizazi cha kitapeli. Kama mnafichiana namba za Siri za BENKI na akaunti na bado mnadanganyana ni MKE na Mume basi ninyi...
  13. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Unataka Kupewa Penzi Tamu na Totoz? Tumia Password hii Utanishukuru

    Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu. Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto wa kishua fanya hivi. 1. Tenga bajeti ya kutosha kwaajili ya kununua furaha, we mtoto wa kiume...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Password (Nywila) zinazoongoza kudukuliwa zaidi

    Kuvuja kwa data na mashambulizi ya mtandao yanazidi kuwa jambo la kawaida ulimwenguni. Ili kulinda kitambulisho chako mtandaoni na taarifa zako kibinafsi, ni muhimu kutengeneza nywila yako bora. Uchunguzi wa Cybernews na National Cyber Security Centre umebainisha baadhi ya nywila ambazo sio...
  15. King Rabbit

    JamiiForums Tanzania Msaada wa password za Good Vision Smart TV 32

    Mwenye kujua password za goodvision 32" anasaidie aisee. TV yangu ghafla toka majuzi nikiiwasha inareta message hii yani zimebaki dk 4 ijizime automatic yenyewe, nilifikiri kuifanyia system recovery lakini nilipofika hapo inadai password ambazo sijawahi kuweka na sizijui. Msaada kwa wajuzi wa...
  16. Ommy6

    JamiiForums Tanzania Kutojua password

    Nina kifaa cha WiFi asa sijui password mnanisaidiaje? Kifaa nilikua natumia na x wangu na ndio alienipa asa nimeachana nae sijajua Kama kanibadilishia ila kifaa kanipa ninacho wakuu msaada.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini unampa mtu wako wa karibu 'password' zako?

    Nywila (password) ni utambulisho binafsi, ambao hulinda taarifa zote katika ulimwengu wako wa kidijitali: taarifa binafsi, akaunti za benki, mitandao ya kijamii, taarifa za nyeti, picha na maudhui ya aina yoyote. Ndiyo maana ni muhimu kuunda nywila imara ambayo ni ngumu kukisia. Hata nywila...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nywila (password) zako ni imara au ukidukuliwa sehemu moja umekwisha?

    Utahitaji kuwa na password ili kufanya karibu kila kitu kwenye mtandao, kuanzia kuangalia barua pepe hadi benki ya mtandaoni. Na ingawa ni rahisi zaidi kutumia password fupi, ambayo ni rahisi kukumbuka, hii inaweza pia kuleta hatari kubwa kwa usalama wako wa mtandaoni. Ili kujilinda na taarif...
  19. MASSOUD AHMED

    JamiiForums Tanzania Admistrator password recovery

    Je, naweza kupata administrator password kama ameshaisahau au haijui ili isije kunipa shida kwenye kuweka window? I mean password ya BIOS
  20. jT0078

    JamiiForums Tanzania Tunaondoa Bios Password na User Password katika Laptop na Desktop

    Habari wadau! Kama una Laptop au Desktop umesahau Password ya user(admin) au Bios njoo tutatue tatizo. Gharama ya kuondoa user Password without delete data ni 10,000/= tshs na Bios Password 30,000/= Tshs Nipo Machinga Complex Karume Dsm 0718 290779
Back
Top Bottom