password

  1. MR LINKO

    Crack the password

    CHANGAMSHA UBONGO
  2. Cybergates

    Kuna watu bado wanatumia SHA-1 ku encrypt passwords?

    Leo nilikua napitia baadhi ya website za taasisi zetu hapa nchini moja ya taasisi kubwa tu ya IT juzi juzi hapa walifanya update ya system yao wakaongeza baadhi ya features na function mbalimbali Kabla ya hayo maboresho, system yao ilikua moja ya website ngumu kupata loophole Leo nimetest...
  3. Abu Haarith

    Jinsi ya kutoa Password katika simu ya tecno F1 bila kutumia computer

  4. Suley2019

    Fanya haya kulinda Nywila (Password) zako

    NAMNA YA KULINDA NYWILA (PASSWORD) YAKO 1) Usitumie Nywila (Password) moja kwenye kurasa zako zote za Mitandao ya Kijamii. Hakikisha kila mtandao unatumia #Password yake 2) Hakikisha Nywila yako ina jumla ya herufi/alama zisizopungua 16 au na zaidi (Mfano: M1m1$%678abc@£+#) 3) Usitumie maneno...
  5. KENZY

    Nini maana ya kuwa na strong password?

    Habarini humu waungwana? Kuna swala mimi linanitatiza juu ya nywira(password), Kwanini wanatusihi kuwa na nywira ngumu ikiwa Kuna uwezekano wa kuweza kudukuliwa..? Let's say mfano niweke nywira hii Kenzy1234,hii watasema ni dhaifu hivyo strong watataka iwe ya mfano huu X#@Bata52,Sasa hoja...
  6. J

    Nimenusurika kufumwa dakika za mwisho

    Hali zenu? Jamani mwenzenu mume wangu sujawahi mchiti ila yeye nishamfumania mara kadhaa tu. Basi na mimi nkaamua kuchat na kijana tu yupo nje ya nchi wala sipo in relationship naye ilikua tunachat mambo ya sex tu ila si mpenzi wangu wala chochote na ni mara ya kwanza kuongea na jinsia ya...
  7. J

    Njia salama za ulinzi wa 'Password' yako

    1. Ongeza ulinzi kwenye 'accounts' zako mfano 'two factor authentication 2. Usimpe mtu password yako 3. Kuwa na tabia kusasisha 'update' tovuti unazotumia na akaunti zako za mitandao ya kijamii 4. Kuwa na tabia ya kubadilisha nywila mara kwa mara
  8. manchoso

    Nimesahau password account yangu ya yahoo

    Habar zenu Ndugu zangu naomba kama kuna yeyote ana ujuzi wa kuniwezesha kulog in nimesahau pasword na pia kuna secrete questions pia zisikumbuki nimejaribu nimeshindwa Nahitaji sana hiyo email yang kwa mda huu Msaada wenu tafadhali
  9. N

    Napata changamoto kuingia kwenye mfumo kwasababu nilisahau nywila (password)

    Habari wakuu, Tangu kutangazwa kwa hizi ajira za ualimu, napata changamoto kuingia kwenye mfumo kwasababu nilisahau nywila ya kuingilia (password). Nimejaribu mara kadhaa kubadili inaleta ujumbe "Failed to change password" naombeni msaada namna ya kulitatua hilo. Pia na wengine wenye...
  10. ENANTIOMER

    ONLINE SELFOR: Nimesahau password ya ku-login katika account, nifanyenye nipate password mpya?

    Habari za asubuhi ndugu wataalamu. Nilisajili account ktk selform.tamisemi.go.tz ili niweze kubadili tahasusi, bahati mbaya nikashau password niliyoiweka kipindi najisajili. Msaada wenu tafadhali, nifanyenyeje niweze kupata password mpya itayonuwezesha kuingia ktk account yangu ili niweze...
  11. R

    Window hailogin with correct password. Microsoft mnajishushia heshimu yenu

    Habar wadau! Leo nimepata tatizo ambalo sijawah kutana nalo before naomba niweke wazi mm nina password moja tu na ndio io io nalogin kwenye account zangu zote sasa mara ya mwisho nilikuwa nado2nload movie computer ikawa inanipa alert not enough space ckujali sana ilinipa alert mara kadhaa...
  12. Nduka

    Kwanini amebadilisha password ya Netflix?

    Haya maisha tu, kuna leo na kesho. Huwezi kujichukulia uamuzi wa kubadilisha password ya Neflix huku ukijua watumiaji wake ni wengi. Kama ungetaka kutumia tu mwenyewe bila usumbufu usingetuunganisha kuanzia mwanzo.
  13. DUMEGUY

    Nahitaji Hdd Password Remove Service

    Habari, Natafuta anae jihusisha na kutoa Hdd password.. Nipo Dar
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    How to review the Wifi password connected on Windows

    When you have connected to a Wifi network and so on and sometimes forget the password you entered to connect to that Wifi. Here's how to review it There are many cases when you are connected to a Wifi network and so on and sometimes forget the password you entered to connect to that Wifi. Not...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    How to see the wifi password is connected on the computer and phone

    Instructions to view Wifi passwords saved on Windows / Mac OS / Linux computers, and on mobile phones using Android and iOS. When you ask for the Wifi password and connect successfully, the computer will automatically connect for the next time. On a beautiful day you want to see the password to...
  16. E

    Uthibitishaji kwa njia ya SMS (OTP au One Time Password)

    Kwa biashara, App au website inayo hitaji ku verify matumizi ya wateja wake kupitia SMS Anaweza kuwasiana nami Bei ni rahisi sana. 0620 736 315
  17. kikoozi

    Msaada wenu wajuzi wa computer: Bitlocker password kwenye external HDD

    Habarini za muda huu, naomba msaada wenu, kwenye ili, nina HDD (Hard Disk Drive) niliitaji kuiwekea password basi siku ya ijumaa saa 3 asubuhi nikafanya ilo zoezi nilifata procedure zote ila ilipoanza kufanya zoezi la kusoma percentage baada ya ku-react password, ilisoma percentage siku nzima...
  18. IamMrLiverpool

    Naomba kujuzwa jinsi ya kuweka Password kwenye Folder ya Windows 10

    Wakuu na wataalamu naombeni msaada wa namna ya kuweka Password au pass code kwenye specific folders Ya Computer Ili niwe na private access na some of the folders kwangu tu.
  19. DUMEGUY

    Msaada kutoa password HDD

    Habari za Musa huu wadau, Niliweka password Kwa harddrive yangu sasa nashangaa password zinakataa laptop ni Dell latitude naomba msaada kuelekezwa jinsi ya kuiformart au kuibypass maana hata ukipiga Window ukifika maala ya kuchagua disk ipo empty.
  20. Determinantor

    COVID-19: Jinsi ya kutumia Simu yenye Password ili kumsaidia Mgonjwa ambaye simu yake ina Password

    Wakuu, Poleni kwa kuwapoteza Wapendwa wenu kwa namna moja ama. Kuna nyakati inabidi kuna mambo tukumbushane au tufundishane, si dhambi. Kwa kipindi hiki cha Corona kuna wenzetu wanaweza kuzidiwa ghafla na tukahindwa kumsaidia kwakuwa hatuawafahamu ndugu zao na kwakua simu zao zina Passwords...
Back
Top Bottom